President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,760
- 89,782
Important to who?Do you see how busy the are😂, this shows how important Kenya is
Important to who?Do you see how busy the are😂, this shows how important Kenya is
Asante sana kwa kutimiza ahadi. If you ever think running for election hook me up ntakuwa kwenye kampeni team yako![]()





Pamoja Mkuu. 
Sgr or mgr?
Hapo itakuwa ni MGR maana imehamishiwa huko... Port link ya SGR itapita juu.Hapa sina Uhakika ila kama niliwahi sikua Nyuma kwamba reli itapita chini na magari Juu so sijajua ni SGR kwenda Bandarini au MGR. tutaconfirm
We don't give a *** whether the competitors are happy or not. The most important thing is the gas is readily available and cheap. Who gets what's is not of importance to us.So you think competitors will be happy?
Ha ha ha.We don't give a JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala whether the competitors are happy or not. The most important thing is the gas is readily available and cheap. Who gets what's is not of importance to us.
Hiyo ilikuwa ni typo si unajua waandishi wetu tena.Kwani kusoma Hass and Hashi ni ngumu aje?
Moshi airport inakarabatiwa piaKigoma, Tabora, Musoma, Iringa, Songea, Sumbawanga, Katavi, Mtwara, na Mwanza je?
Kuna Nairobi halafu kuna other African cities
Ni sgr kwenda bandarini. Inareplace mgr walisema mgr itapita mitaa ya banda la ngozi kwenda bandariniHapa sina Uhakika ila kama niliwahi sikua Nyuma kwamba reli itapita chini na magari Juu so sijajua ni SGR kwenda Bandarini au MGR. tutaconfirm
Mukiambiwa ukweli munakasirika 😆😆😆Do you see how busy the are😂, this shows how important Kenya is