Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu, ndio sababu nikakuambia waulize wafanyabiashara wakubwa ambao wanakwenda Kenya kuwekeza, hao ndio wanaowajua wakenya, wewe hujawahi kuwa mfanyabiashara mkubwa ambaye unaweza kuwa tishio kwa wafanyabiashara wa Kenya, wewe uliajiriwa na kufanya kazi na wakenya.

Wewe unachanganya kati ya utendaji kazi wa wakenya na Kenya kuwa ni nchi inayoruhusu biashara huru, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa. Wewe ulifanyakazi na wakenya, kwahiyo unawajua vizuri utendaji wao wa kazi ukilinganisha na watanzania, lakini hujawahi kwenda Kenya kuwekeza, huko hukujui vizuri, wanaowajua vizuri wakenya katika uwekezaji ni
1)Serikali ya Uganda
2) Rostam Aziz
3)Aliko Dangote
4)Mo Dewji
5) Bakhresa
Waulize watakujuza vizuri.

Kuhusu kuondoa vikwazo vya biashara, Hilo kwa wakenya Wala lisikupe matumaini yoyote, hakuna vikwazo vyovyote vya biashara kati ya Kenya na Uganda, lakini Kenya wanaamua tu kuzuia bidhaa za Uganda bila kufuata taratibu za makubaliano.

Mkuu jipe muda vizuri wa kuwajua wakenya, usifurahie maneno na maandishi Kama hayo ya kwenye magazeti, inapofika kwenye utekelezaji, wakenya wanaangalia maslahi Yao, kamwe hawajali Kama kulikua na makubaliano yoyote, Kenya ni "man eat man society", never trust them.
Hana hio akili wala exposure unapoteza muda.
 
Huyu jamaa nilibisha nae siku moja akakosa hoja akanitukana. From that day namuangalia tu anavyogombana na watu nikajua ana shida sio bure.
Wewe tuusan Wacha ujinga, niliamua kuachana kujibishana na wewe zaidi ya miezi 6 baada ya kugundua wewe sio mstaarabu.

Ninashangaa Leo ghafla umeamua kujibu post yangu ambayo ilikua haikuhusu nilimjibu mtu mwengine, nilitegemea utaijibu kwa staha na ustaraabu, lakini umejibu kihuni na kutumia maneno ya kishenzi.

Kwahiyo ukinijibu kihuni, Mimi nitarudisha kwa mama yako, lengo ni kukulazimisha ujiheshimu, Kama unavuta bhangi zako, acha kabisa kunihusisha ujinga wako, Jiheshimu.
 
Yani twitter wanalia hawa jamaa wanawivu bro acha kabisa wana roho mbaya ya ajabu yani rostam amekua gumzo kenya nzima mpaka kwa watoto wanaozaliwa sasa hvi😆😆😆😆😆😆😆😆

Wivu ni nyinyi mko nayo. Yaani mkenya asikie vibaya juu bei ya gas itapungua?
 
Hawa jamaa wanaogopa kuruhusu matajiri wakubwa wa kibongo kuwekeza uko kwao kwasababu wanajua kitakachofuata ni kuwatawala, vikampuni vyao ni vile vingii uchwara uchwara sasa wakiruhusu kampuni kubwa za Tz zitie miguu nchini mwao vikampuni vyao vyote vitajifia. Imagine Bakhresa akaweke plant ya unga kubwa na vinywaji hapo kwao kuna kampuni Gani ya kutunishiana misuli na Mwamba kwenye sector hiyo.?
Mbona mnaona Tanzania investors kuwekeza Kenya ni a big deal? Tangu ukoloni kuna wazungu wenye hela ndefu kuliko ata huyo bahkresa wameinvest huku and they reaping huge margin profits back to Europe on the expense sisi waafrica kufungiana borders.
 
Inshu ya NALA inatuacha uchi sana waTz, ukisikiliza interview nyingi za Benji Fernandes huwa always analalamika vile sisi kama nchi tuko nyuma sana ki Teknolojia hasa hizi FINTECH, imagine ameenda kuifanya Nairobi iwe makao makuu ya NALA badala ya Dar es Salaam kwa sababu ya market forces including sisi kuwa nyuma kwenye masuala hayo, na ile ni startup still anahitaji wawekezaji zaidi kwenye kampuni yake, in Eest Africa ni Burundi tu ndiyo tumewashinda, huwa nasikitika sana humu kuona waTz wenzangu wanafanya arguments based on propaganda na siyo reality.
Unajua kwamba Kenya ndo wanaongoza kwa remittances na Business ya Nala Money ni remittance based , sasa kama kenya wanapata Remittance kubwa kuliko tourism at 4Bn usd last year while tourism kwao ni 2.1bn usd (2022)hauoni kama Nala money wana take adavantage of that ?

Sisi Tz Remittance last year ni 500mil usd

Sababu za Remittance kuwa ndogo ni Tz
1. Kenya wanaruhusu Dual Citizenship Tz hairuhusu
2.Wakenya wako nje wengi kuliko wa Tz

Issue sio hio kwamba angeweka HQ Tz cause hamna Tech, ki Techonoligia aseme Tech gani kaikosa Tz na ameifwata Kenya , its is purely business reason , kama Business Ya remittances ingekuwa kubwa Tz na anaona tuna lack Tech angeiweka Tz na Ku employ Kenyans if he thinks that way.

But i think Nala is in Kenya cause Kenya gets 8x remittances Than Tanzania

NairobiWalker
 
Kuhusu Rostam Kuweka Mtambo wa Gas Kenya

Kenya kulikuwa na company chache za Gas kuliko Tz , plus sio kwamba Rostam hakufungua Gas facility in Tz

Anayo na ni kubwa tu ipo kigamboni

Ila anashindana na Lake Gas , Oryx na wenyewe wana facilities kubwa
Screenshot_20230226-065937_Chrome.jpg
 
Hizi hapa ni nchi kumi bila hata kuhesabu the tourism Giants of North Africa. Wewe leta University kumi amabazo zina specialize on Tourism and Hospitality pekee.
Top 10 tourism-ready countries in Africa | World Economic Forum
Data ya 2015

Toursim Revenue last year 2022 Tanzania,2.56bn usd kwa 1.48mil tourist

Kenya 2.1bn usd 2022

Kama unadata zako za kupinga weka
 
Napenda watu ambao hutoa objective views kama wewe bila kuweka personal biases na emotions. Same thing na Rostam kuweka his biggest plant Kenya badala ya Tanzania. Haya ni maswali ambayo Watanzania yafaa wakue wanajiuliza badala ya kujipiga vifua.
Hakuna maswala ya kuniuliza hapo,soko la Kenya ni kubwa kuliko la Tanzania,pia Tanzania kampuni ziko nyingi za LPG na huyo Rostam ana facility ilizinduliwa na Mwendazake nakumbuka.
 
Hakuna maswala ya kuniuliza hapo,soko la Kenya ni kubwa kuliko la Tanzania,pia Tanzania kampuni ziko nyingi za LPG na huyo Rostam ana facility ilizinduliwa na Mwendazake nakumbuka.
Kenya Ina users wengi wa LPG kuliko Tanzania despite Tanzania kuwa producer wa LPG. Alafu sijui hiyo data ya kampuni za gas kuwa nyingi Tz umeitoa wapi. Anyway, kilicho cha maana ni quantity of gas consumed sio number of companies providing the gas.
 
Hakuna maswala ya kuniuliza hapo,soko la Kenya ni kubwa kuliko la Tanzania,pia Tanzania kampuni ziko nyingi za LPG na huyo Rostam ana facility ilizinduliwa na Mwendazake nakumbuka.
Taifa gas imeanza kitambo mwaka 2005,aliozindua Pres Magufuli kule kigamboni ilikua 2019 mradi wa Tsh 150B

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Unajua kwamba Kenya ndo wanaongoza kwa remittances na Business ya Nala Money ni remittance based , sasa kama kenya wanapata Remittance kubwa kuliko tourism at 4Bn usd last year while tourism kwao ni 2.1bn usd (2022)hauoni kama Nala money wana take adavantage of that ?

Sisi Tz Remittance last year ni 500mil usd

Sababu za Remittance kuwa ndogo ni Tz
1. Kenya wanaruhusu Dual Citizenship Tz hairuhusu
2.Wakenya wako nje wengi kuliko wa Tz

Issue sio hio kwamba angeweka HQ Tz cause hamna Tech, ki Techonoligia aseme Tech gani kaikosa Tz na ameifwata Kenya , its is purely business reason , kama Business Ya remittances ingekuwa kubwa Tz na anaona tuna lack Tech angeiweka Tz na Ku employ Kenyans if he thinks that way.

But i think Nala is in Kenya cause Kenya gets 8x remittances Than Tanzania

NairobiWalker
Same lines nikiandika mm natukanwa
Kuna watu humu ni wa ajabu sana kwakwel
Nmeshaambiwa nihamie Burundi kama nataka kisa remittance

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kenya Ina users wengi wa LPG kuliko Tanzania despite Tanzania kuwa producer wa LPG. Alafu sijui hiyo data ya kampuni za gas kuwa nyingi Tz umeitoa wapi. Anyway, kilicho cha maana ni quantity of gas consumed sio number of companies providing the gas.
Na ndicho Fostam kafuata huko Kenya maana ukweli ni kwamba middle class Kenya ni kubwa kuliko Tanzania..

Watzn wengi ni maskini huu ni ukweli mchungu just imagine kujaza mtungi mdogo wa 18,000-23,000 ni tatizo na Bado tunatumia 90% mkaa ,gas na umeme Huwa ni Kwa dharula tuu.
 
Serikali si kwamba haitilii maanani maswala ya ICT,Inatambua role yake na itanatambua mapinduzi ya nne ya viwanda duniani dhima ni ICT, mimi kwa ufuatiliaji wangu mdogo tu nimeona imejikita kwny kuweka miundo mbinu wezeshi, ikiwemo;
Ku-oversee na ku-support Incubation Centers, kuongeza ICT lab na kuhakikisha zinaendana na ulimwengu wa sasa,Swala la masafa, backups, coverage na kuongeza kasi ya internet, data centers pamoja na tracking ya wanafunzi waliomaliza vyuo vikuu kwny maswala ya ICT wako wapi wanafanya nini na wanapitia changamoto gani.Wangapi wanajua status ya hiv vitu?!
 
Back
Top Bottom