Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,879
- 103,740
Kigoma, Tabora, Musoma, Iringa, Songea, Sumbawanga, Katavi, Mtwara, na Mwanza je?Tanzania airports 21 kenya 19 na bado tunajenga Msalato.
View attachment 2530662View attachment 2530663
Kigoma, Tabora, Musoma, Iringa, Songea, Sumbawanga, Katavi, Mtwara, na Mwanza je?Tanzania airports 21 kenya 19 na bado tunajenga Msalato.
View attachment 2530662View attachment 2530663
Mkuu basi.Imeandikwa, ikiwa nyinyi kwa nyinyi mnagombana basi mtamalizana.Hukatazwi kujibu, unapaswa utumie lugha ya staha, lete hoja ujibu hoja, Sasa ukianza kutumia maneno ya dharau, lazima yarudishwe kwa mama yako, Kama unadhani maneno uliyotumia ni mazuri, mbona yakirudishwa kwa kutumia anuani ya mama yako unakasirika?.
Kwa mfano nikisema mjinga ni mama yako hutokasirika?, kwamba aliyekosa adabu ni baba yako unajisikiaje?. Lini niliikuambia Mimi ni mzalendo, nani anayethibitisha uzalendo wa mtu?,.
Wewe Jenga hoja utajibiwa kwa hoja, ukileta maneno ya ajabu ajabu, tutayafunga katika vifurushi na kumtumia mama yako, utayakuta huko, sawasawa?




Bro kausheni. Amani, Amani kwa kila mmoja.Man up and mind your business, no body cares about what you think or who your
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app






Wakenya mnazidi kuwa wanyonge siku baada ya siku Rostam pekee kawekeza huko kenya $200m.
Mwisho wa siku u own old 3 aircrafts + loss 😆😆KQ Vs ATLC😂😂😂 surely,mnatoa wapi nguvu ya kujilinganisha
View attachment 2530634View attachment 2530635
Amesema the entire Hass energy outlets were bought by Tanzanian Lake oil company.Juu hass ni kampuni ya tanzania ama?
Na sasa bakhresa ataingia kwenye unga ili akamalize viwanda vyao vilivobakia 😆😆😆Amesema the entire Hass energy outlets were bought by Tanzanian Lake oil company.
Kwa kifupi alot of investment in energy sector is coming from Tanzania.
Kwani kusoma Hass and Hashi ni ngumu aje?Amesema the entire Hass energy outlets were bought by Tanzanian Lake oil company.
Kwa kifupi alot of investment in energy sector is coming from Tanzania.
He knew diaspora wa Bongo kwa uzalendo wao watatumia, lakini anawapataje hawa wapenda sifa? Ngoja awapelekee kwao na lugha tamu wampe hela……na wameingia king wanajisifu😅😅 jinga sana hizi jamaa😂😂Jamaa mjanja katumia lugha rahisi ili afanye biashara pasipo na usumbufu, ameipamba Kenya ili apate soko.
So you think competitors will be happy?Wivu ni nyinyi mko nayo. Yaani mkenya asikie vibaya juu bei ya gas itapungua?
Asante sana kwa kutimiza ahadi. If you ever think running for election hook me up ntakuwa kwenye kampeni team yako😂😂😂Hapa ndio sehemu ya DMDP Park karibu na kituo cha Mwendokasi magomeni.
View attachment 2530504
View attachment 2530505
View attachment 2530507
View attachment 2530508
View attachment 2530509
View attachment 2530510
View attachment 2530511
Sgr or mgr?Hapa ndio pale Karibu na Chang’ombe flyover ambapo Train inapita Chini magari Juu.
View attachment 2530500
View attachment 2530501
View attachment 2530502
View attachment 2530503
Mistaken identityHuyo ni kijana wa sumbawanga,sio mzalendo wa nchi yake hata kidogo anaiponda nchi yake kwa kila kitu hadi kwenye threads za ndani,sijui tatizo ni nini?
Do you see how busy the are😂, this shows how important Kenya isMwisho wa siku u own old 3 aircrafts + loss 😆😆