ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,426
- 85,254
Watanzania wa kawaida na ukweli ni maji ma mafuta poleWe jamaa ni kenyan supporter .. u ar always against Tz kila takataka discrediting Tz we unakubaliananayo hata kama huna details na hiyo takataka, u ar either an ignorant or stupid..
Ila kwa mimi nasema wewe ni KIANDE![]()
Ukweli haupungwi na msimamo we bwege nnHuna msimamo bwege wewe, kila kitu kinachoponda Tz na wewe umo. Pita kule usiwe unani quote.
Wewe ni kiande, aren't you.?Watanzania wa kawaida na ukweli ni maji ma mafuta pole
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Kiande ni wewe usie na akili kichwaniWewe ni kiande, aren't you.?
Wewe huna facts zako ni kupinga nchi yako bwege wewe.. hizo zinaitwa kasumba
Wewe unasumbuliwa na kasumba
Hujui hata maana ya kasumbaWewe unasumbuliwa na kasumba
Mkuu, duniani huwezi kufanya Kila kitu kwa wakati mmoja, nchi lazima iwe na vipaumbele vyake, hakuna nchi hata Moja duniani ambayo ipo mbele katika Kila kitu.
Tanzania na Africa kwa ujumla lazima tuanze na mambo "simple" ambayo hayahitaji Sana "HITECH", Ili kuwashirikisha watu wengi ambao Wana elimu ya kawawaida Sana.
Mkuu, bado nchi zetu hizi zinasumbuliwa na matatizo ya msingi kabisa, chakula, maradhi, upatikanaji wa maji safi, huduma za afya Bora, miundombinu ya usafirishaji, kilimo duni Cha kutegemea mvua, upungufu wa umeme wa kutosha, na ajira kwa vijana.
Anayofanya huyo Kijana wa Fernandez, sio kwamba sio muhimu, ila kwa Sasa hivi sio kipaumbele kwa Sasa, Wacha sector binafsi waingie kwa nguvu huko, serikali yetu sidhani Kama unapaswa kuilakamikia kwa Sasa.
Ngoja nikuulize swali, kwa kitendo Cha HQ ya NALA kuwa Kenya, Tanzania tumepungukiwa na lipi, hasa katika kutatua hayo niliyokutajia?
Nimesoma HKL mimi mzee
Usilazimishe vitu unavyoona wewe ni muhimu kwako ukataka Kila mtu aone umuhimu hivyo hivyo unavyoona wewe.Usitafute sababu ya kujificha kwenye udhaifu uliopo
Kijana kaeleza bayana kwamba ni vitu gani tukoviboresha tutakua vizuri ...hapa sio kukimbia tatizo ni kulikabili.kama tunaweza kujenga miundombinu ya msingi kama barabara na vituo vya kutolea huduma za afya na elimu Basi tujue pia kuna mambo kama hayo ambayo ni ya muhimu pia.
Tujipange hakuna kinachoshindikana lakini tusianze kutafuta sababu nyepesi za kutooona umuhimu kwasabu tumeshindwa kutimiza wajibu wetu
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wewe ni mpuuzi tu usipoteze wakati wako kuandika gazette lakijinga kama hilo ku prove your ignorance again,tafuta shughuli za kufanyaUsilazimishe vitu unavyoona wewe ni muhimu kwako ukataka Kila mtu aone umuhimu hivyo hivyo unavyoona wewe.
Kwa hivi Sasa serikali imeona ujenzi wa hiyo miradi ya miundombinu uliyotaja kwasasa ndio kitu muhimu kwake ndio sababu wanajenga, sio kwamba serikali haina uwezo wa kufanya hayo mambo yako unavyoona ni muhimu, uwezo inayo lakini kwasasa imeamua kufanya hayo inayofanya.
Sasa wewe unayedhani ni lazima yafanyike hivi Sasa, jibu ni kwamba serikali kwake sio kipaumbele. Wewe kwako Kama ni kipaumbele kwasasa, subiri 2025, kagombee urais Ili uanzishe hiyo miradi yako, au unaweza kuhamia huko ambako hiyo miradi inakooatikana, otherwise huna lolote unaloweza kufanya zaidi ya kupiga Domo ambalo hakuna mtu yeyote atakusikiliza.
Nala itakuwaje Tanzania wakati remittances ziko chini hata wewe ungepeleka wapi head quarters za kampuni? These guys dream yao kubwa ni kwenda kufanya kazi nje.We nawe hupendi kuelezwa ukweli uko kama jiwe .
Bure kabisa wewe
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Usilazimishe vitu unavyoona wewe ni muhimu kwako ukataka Kila mtu aone umuhimu hivyo hivyo unavyoona wewe.
Kwa hivi Sasa serikali imeona ujenzi wa hiyo miradi ya miundombinu uliyotaja kwasasa ndio kitu muhimu kwake ndio sababu wanajenga, sio kwamba serikali haina uwezo wa kufanya hayo mambo yako unavyoona ni muhimu, uwezo inayo lakini kwasasa imeamua kufanya hayo inayofanya.
Sasa wewe unayedhani ni lazima yafanyike hivi Sasa, jibu ni kwamba serikali kwake sio kipaumbele. Wewe kwako Kama ni kipaumbele kwasasa, subiri 2025, kagombee urais Ili uanzishe hiyo miradi yako, au unaweza kuhamia huko ambako hiyo miradi inakopatikana, otherwise huna lolote unaloweza kufanya zaidi ya kupiga Domo ambalo hakuna mtu yeyote atakusikiliza.












