Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi unadhani Tz kuna tofauti ama? Kila siku Mimi huwaambia humu, tofauti ya Kenya na Tz ninkuwa Kenya tunazo data za standards of living kibao na tunaziweka wazi. Hapo Bongo bado mko kwa ignorance in bliss.
Tulieni tuwaoneshe maana ya investment, c mlikuwa mnawabania Watz ku invest huko kwenye shit hole yenu sasa rais Ruto ni mtu safi sana keshaturuhusu tuje tuwakomboe, sasa mkae kwa kutulia Kenya ipo mikononi mwetu kwa ss. Uchumi wenu upo kwenye mikono salama ya Watz.
 
Another Tanzanian investment in Kenya.

View attachment 2528737
Yani apo tukipiga hesabu inakuwa hivi

Kampuni mbili za Tanzania zime invest kiasi cha dollar mil 205 huko Kenya. Taifa gas ($200mil ) and Nala ($5mil)

200+5 = 205
205/2 = $102mil
So, two Tanzanian coy zime invest wastani wa $102 mil kila moja.

Kampuni 534 za Kenya zime invest kiasi cha $1700mil huku Tz.
1700 ÷ 534 = 3.1
So, kwa wastani unapata kila kampuni ime invest kiasi cha $3.1mil.

Ama kwa hakika mnaona utofauti hapo kwamba Wakenya huku Tz wamekuja kucheza na sio ku invest, huwa najiuliza hizo kampuni zina deal na nn usijekuta nyingi ya hizo kampuni ni washona viatu
 
Orodha ya watanzania waliochukiwa zaidi na wakenya hapa JF 2022

1)Ichoboy01
2)The best007
3)Gezaulole
4)Magonjwa mtambuka
6)Simon
7)Coodip1

Note: Kigezo kikubwa walichotumia wakenya ni muonekano wa mtu, ie facial expression.

Joto la jiwe wamemtoa baada ya kugundua kwamba yeye ni "handsome"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Yani apo tukipiga hesabu inakuwa hivi

Kampuni mbili za Tanzania zime invest kiasi cha dollar mil 205 huko Kenya. Taifa gas ($200mil ) and Nala ($5mil)

200+5 = 205
205/2 = $102mil
So, two Tanzanian coy zime invest wastani wa $102 mil kila moja.

Kampuni 534 za Kenya zime invest kiasi cha $1700mil huku Tz.
1700 ÷ 534 = 3.1
So, kwa wastani unapata kila kampuni ime invest kiasi cha $3.1mil.

Ama kwa hakika mnaona utofauti hapo kwamba Wakenya huku Tz wamekuja kucheza na sio ku invest, huwa najiuliza hizo kampuni zina deal na nn usijekuta nyingi ya hizo kampuni ni washona viatu
Umesahau lake oil ameekeza kwa kununua depot na vituo vya mafuta hashi kenya nzima 😆😆😆😆 na hatupigi kelele humu ndani na bado kuna matajiri kama oil com wana depot na vituo vya mafuta kenya hususan nairobi mombasa and kisumu
 
Hizi nyimbo tumezisikia tangu enzi za Nyerere
Enzi za Nyerere kulikuwa na electrifitried SGR?

Enzi za Nyerere kulikuwa na bwawa kubwa la umeme?

Enzi za Nyerere kulikuwa na BRT?

Enzi za Nyerere kulikuwa na barabara za kisasa?

Enzi za Nyerere kulikuwa big population?

Enzi za Nyerere tulikuwa middle income?

Enzi za Nyerere tulikuwa tunaongoza Africa kwa inclusive economy?
 
Umesahau lake oil ameekeza kwa kununua depot na vituo vya mafuta hashi kenya nzima na hatupigi kelele humu ndani na bado kuna matajiri kama oil com wana depot na vituo vya mafuta kenya hususan nairobi mombasa and kisumu
Hapo ukipiga hesabu unakuta kampuni nne tu za Tz huko Kenya zime invest pesa nyingi kuliko kampuni 534 za Kenya hapa Tz.
 
Yani apo tukipiga hesabu inakuwa hivi

Kampuni mbili za Tanzania zime invest kiasi cha dollar mil 205 huko Kenya. Taifa gas ($200mil ) and Nala ($5mil)

200+5 = 205
205/2 = $102mil
So, two Tanzanian coy zime invest wastani wa $102 mil kila moja.

Kampuni 534 za Kenya zime invest kiasi cha $1700mil huku Tz.
1700 ÷ 534 = 3.1
So, kwa wastani unapata kila kampuni ime invest kiasi cha $3.1mil.

Ama kwa hakika mnaona utofauti hapo kwamba Wakenya huku Tz wamekuja kucheza na sio ku invest, huwa najiuliza hizo kampuni zina deal na nn usijekuta nyingi ya hizo kampuni ni washona viatu
Mind you Nala walisha invest in Kenya hiyo ni top up tuu.
 
tuusan nimeona mpuuzi mwengine yule fake Bond 007 akisema eti nyumba kama hii utazipata zimejaa kila mahali hapo Dar Uswahilini. Hivi hawa ndugu zako akili zao hufanya kazi? 🤣 🤣

Screen-Shot-2015-02-28-at-3.46.19-AM.png
 
Back
Top Bottom