Inshu ya NALA inatuacha uchi sana waTz, ukisikiliza interview nyingi za Benji Fernandes huwa always analalamika vile sisi kama nchi tuko nyuma sana ki Teknolojia hasa hizi FINTECH, imagine ameenda kuifanya Nairobi iwe makao makuu ya NALA badala ya Dar es Salaam kwa sababu ya market forces including sisi kuwa nyuma kwenye masuala hayo, na ile ni startup still anahitaji wawekezaji zaidi kwenye kampuni yake, in Eest Africa ni Burundi tu ndiyo tumewashinda, huwa nasikitika sana humu kuona waTz wenzangu wanafanya arguments based on propaganda na siyo reality.