



Umeona hoteli Gani ya maana Kenya?Wewe ni pimbi! Majority ya hoteli hapo Kenya tu sio wakenya. Sembuse nchi nyingine! Nyie ni mameneja kwenye gesti zenu Tu uchwara. Sijawahi kuona hoteli ya maana hapo Kenya ikiwa na bosi wa kikenya.
Correction, kilifiThis is Ronald Ngala Utalii University Mombasa
View attachment 2529555




sumajktccl.go.tz
www.sumajktguard.co.tz
Inshu ya NALA inatuacha uchi sana waTz, ukisikiliza interview nyingi za Benji Fernandes huwa always analalamika vile sisi kama nchi tuko nyuma sana ki Teknolojia hasa hizi FINTECH, imagine ameenda kuifanya Nairobi iwe makao makuu ya NALA badala ya Dar es Salaam kwa sababu ya market forces including sisi kuwa nyuma kwenye masuala hayo, na ile ni startup still anahitaji wawekezaji zaidi kwenye kampuni yake, in Eest Africa ni Burundi tu ndiyo tumewashinda, huwa nasikitika sana humu kuona waTz wenzangu wanafanya arguments based on propaganda na siyo reality.Another Tanzanian investment in Kenya.
View attachment 2528737![]()
Tanzania's payment platform NALA to invest Sh633.3 million in Kenya
NAIROBI, Kenya, Feb 24 - Tanzania’s money transfer company Nala will invest Sh633.3 million ($5 million) in Kenya, allowing the country to create more Kenya breaking news | Kenya news today |www.capitalfm.co.ke