Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa tuko driven na ulimwengu wa Teknolojia lazima tutaendelea kufanya kazi za catch up maana hayo mambo yanategemea Elimu Bora ndio ilete innovation..

But Kwa Nchi ambazo sio resource rich lazima zitategenea hiyo innovation maana hawana option kwenye Hilo.
Ni mtu asiyetumia akili peke yake ndiye anayeweza kufikiria kwamba Afrika inaweza kupambana na matatizo yake kwa kutegemea "HITECH technology", sisi ni lazima kwanza tuanze na kilimo kwa kutumia "technologia rahisi kabisa itakayoboresha kilimo, ufugaji, uvuvi na uchimbaji madini, huko ndiko kutakakoikomboa Africa, haya mengine yatakuja baadae Sana, tusijidanganye eti kwa Sasa Afrika inaweza kuendana na maendeleo ya sayansi yalipofikia.
 
Ni mtu asiyetumia akili peke yake ndiye anayeweza kufikiria kwamba Afrika inaweza kupambana na matatizo yake kwa kutegemea "HITECH technology", sisi ni lazima kwanza tuanze na kilimo kwa kutumia "technologia rahisi kabisa itakayoboresha kilimo, ufugaji, uvuvi na uchumbaji, huko ndiko kutakakoikomboa Africa, haya mengine yatakoja baadae Sana, tusijidanganye eti kwa Sasa Afrika inaweza kuendana na maendeleo ya sayansi yalipofikia.
Hiyo Teknolojia Rahisi ndio imeshindwa Sasa pamoja na kujifanya una akili 😁😁
 
Ni mtu asiyetumia akili peke yake ndiye anayeweza kufikiria kwamba Afrika inaweza kupambana na matatizo yake kwa kutegemea "HITECH technology", sisi ni lazima kwanza tuanze na kilimo kwa kutumia "technologia rahisi kabisa itakayoboresha kilimo, ufugaji, uvuvi na uchumbaji, huko ndiko kutakakoikomboa Africa, haya mengine yatakoja baadae Sana, tusijidanganye eti kwa Sasa Afrika inaweza kuendana na maendeleo ya sayansi yalipofikia.
Sema Tanzania ukisema Africa hapa unakosea

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Leo ndo nimegundua MO nae anatengeneza chai. Makampuni ya kikunya sidhan kama zitakuwa salama kwa huu ushindan
View attachment 2529987View attachment 2529988
Duniani kote hakuna biashara inayolipa kama ya chakula. Ukiweza kupata niche yako nzuri utapiga sana hela.

Mfano mzuri kwa mazingira yetu ya Africa especially Kenya biashara ya Unga itakutoa sana.
 
Acha kuzunguka sana
Nitukane mimi apa huo ni uoga na kushindwa hoja, Umesahau na wewe una mama But siwezi kua na akili za kimafi kama wewe

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Wewe tuusan Wacha ujinga, niliamua kuachana kujibishana na wewe zaidi ya miezi 6 baada ya kugundua wewe sio mstaarabu.

Ninashangaa Leo ghafla umeamua kujibu post yangu ambayo ilikua haikuhusu nilimjibu mtu mwengine, nilitegemea utaijibu kwa staha na ustaraabu, lakini umejibu kihuni na kutumia maneno ya kishenzi.

Kwahiyo ukinijibu kihuni, Mimi nitarudisha kwa mama yako, lengo ni kukulazimisha ujiheshimu, Kama unavuta bhangi zako, acha kabisa kunihusisha ujinga wako, Jiheshimu.
 
Ni mtu asiyetumia akili peke yake ndiye anayeweza kufikiria kwamba Afrika inaweza kupambana na matatizo yake kwa kutegemea "HITECH technology", sisi ni lazima kwanza tuanze na kilimo kwa kutumia "technologia rahisi kabisa itakayoboresha kilimo, ufugaji, uvuvi na uchumbaji, huko ndiko kutakakoikomboa Africa, haya mengine yatakoja baadae Sana, tusijidanganye eti kwa Sasa Afrika inaweza kuendana na maendeleo ya sayansi yalipofikia.
Unajua mm huyo jamaa munaebishana nae hua sielew anaongelea technology gan labda anawaza nuclear science manake mm sijaona technology yoyote kenya wanayo tanzania ikakosekana labda atupe evidence ilioshiba 😆😆😆😆
 
Wewe mwenyewe ni shahidi, Kila siku unatuwekea miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali ya awamu ya sita, hiyo ni dalili kwamba technoljia rahisi inafanikiwa Sana, kwasabu nchi inasonga mbele Kila siku
Na hana taarifa kua miradi yote ya awamu ya sita ni muendelezo wa awamu zilizopita na pia ni nafas nzuri wezesh zilizoachwa na awamu zilizopita pia 😆😆😆
 
Inshu ya NALA inatuacha uchi sana waTz, ukisikiliza interview nyingi za Benji Fernandes huwa always analalamika vile sisi kama nchi tuko nyuma sana ki Teknolojia hasa hizi FINTECH, imagine ameenda kuifanya Nairobi iwe makao makuu ya NALA badala ya Dar es Salaam kwa sababu ya market forces including sisi kuwa nyuma kwenye masuala hayo, na ile ni startup still anahitaji wawekezaji zaidi kwenye kampuni yake, in Eest Africa ni Burundi tu ndiyo tumewashinda, huwa nasikitika sana humu kuona waTz wenzangu wanafanya arguments based on propaganda na siyo reality.
Napenda watu ambao hutoa objective views kama wewe bila kuweka personal biases na emotions. Same thing na Rostam kuweka his biggest plant Kenya badala ya Tanzania. Haya ni maswali ambayo Watanzania yafaa wakue wanajiuliza badala ya kujipiga vifua.
 
Sasa rostam kabadililiwa baada ya kuskia mtamzania kafanya kufuru kenya mumebadilisha gear angani sasa 😆😆 bahat nzuri tanzania kuna ushindani mkubwa sana wa gas ziko kampuni zaidi ya 7 na zote ni giant kama huyo rostam sasa kama kaekeza kwenu zaidi mujue hamuna ushindani nyinyi ndio maana gas kwenu ni ghali kuliko roho zenu na tanzania gas sio ghali kwasababu kuna ushindani mkubwa sana wa kibiashara

Na labda nikukumbushe kuna gas pipeline itajengwa from dar mombasa na mpokeaji mkubwa atakua rostam hilo usisahau 🤣🤣🤣🤣

Na labda nikufungue macho rostam kalenga nchi zaidi ya 15 africa sio kenya pekee 😆😆

Kenya nzima inamuongelea rostam aliewaroga nyinyi kabla ya kutubia alikufa 😆😆😆😆😆

Back
Top Bottom