Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR Tanzania ni full loan.
View attachment 2452931
ona ulivyo mbumbumbu, kiswahili ni shida sana hata kuelewa, Raisi Samia amezungumzia awamu za SGR alizozisimamia yeye kama raisi. Phase one ilijengwa kwa fedha za ndani wakati wa Magufuli, phase ya pili tulijenga kwa fedha za ndani na mkopo kidogo. Hapa inazungumziwa phase ya tatu na kuendelea mpaka DRC!
 
Acha kufafanua vitu vinavyoeleweka ,kama wamechukua loans awamu sita ama wanatumia hela zipi sisi sala sio issue kwetu,Reli ikamilike na tuone tija ya huo uwekezaji
 
ona ulivyo mbumbumbu, kiswahili ni shida sana hata kuelewa, Raisi Samia amezungumzia awamu za SGR alizozisimamia yeye kama raisi. Phase one ilijengwa kwa fedha za ndani wakati wa Magufuli, phase ya pili tulijenga kwa fedha za ndani na mkopo kidogo. Hapa inazungumziwa phase ya tatu na kuendelea mpaka DRC!
Hakuna shida yakwetu ni ya umeme wacha wakunya waumie
 
Mombasa has better port and infrastructure than any city in Tanzania
Hakuna kitu kipo Kenya kikakosa kuwepo Tz, expressway ni road kama road nyingine ni kama kibaha highway na ndiyo maana mkiweka picha ya expressway humu huwa mnaweka ile km 6 iliyoinuka ili kuleta utofauti lkn bado hiyo sehemu iliyoinuka inakaa flyover ambayo pia Tz zipo, ila mm nikikutajia kitu ujue hakuna hata mfano wake hapo kundustan.
 
Tanzania hawawezi hata kuassamble baiskeli. Polisi wanatumia land rover za 30 years ago zimewekwa fence ya nyumba ya kuku kwa dirisha.🤣 🤣 🤣

Tanzania Govt Set to Probe 'Irregularities' in the Purchase of Police  Vehicles - allAfrica.com'Irregularities' in the Purchase of Police  Vehicles - allAfrica.com
kaa kimya wewe mbumbumbu, hujui mambo ya usalama! unajua kazi ya uhuo wavu?
 
na watanyongwa kweli, wakunya wamezidi mno utegemezi , hata deni la china lilipo washinda walienda IMF kusaidiwa. KUKOPA DENI ILI WALIPE DENI hahahhaha
Mkenya yoyote duniani ukikaa ukamsikiliza unaeza sema wako level za europe ukija kwenye maisha halisi hata congo pamoja na vita wana nafuu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom