Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Kweli kabisa, watu wanataka kuupindisha ukweli kwa sababu ya incompetence kama REAL Comrade Kipepe anavyosema.Dar hadi Moro ndiyo fedha za ndani, na hadi JPM anaondoka ilikuwa imeshakamilika reli yote ilibaki vitu vya ziada tu.
Na alisema phase inayofuata mpaka Makutupora Dodoma ndiyo mkopo kwa asilimia kadhaa na alishauchukua yeye mwenyewe wa ujenzi huo aliusaini.
Atuambie mkopo aliyochukua ni wa phase ya ngapi.