Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
What's your point exactly? Do you know better than your president who says all your major projects ni za loan? Ama unataka uwongo za mwendazake who even lied to you about the existence of covid, only to die of the same?Ninyi wakenya hakuna zaidi ni wivu tu, mnataka tulingane katika ujinga. Swali la kujiuliza ni kwamba, Tanzania ndiyo inayoongoza kwa miradi mikubwa hapa EA, thamani ya miradi iliyoanzishwa na JPM ni zaidi ya thamani ya miradi yote ya KE, UG, RW + BRD combined, iweje Tanzania iwe ndiyo nchi yenye deni dogo zaidi kuliko nchi zote?, Tanzania Debt to GDP ratio was 36% by the time Magufuli anakufa, the lowest in the region
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

