Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar hadi Moro ndiyo fedha za ndani, na hadi JPM anaondoka ilikuwa imeshakamilika reli yote ilibaki vitu vya ziada tu.
Na alisema phase inayofuata mpaka Makutupora Dodoma ndiyo mkopo kwa asilimia kadhaa na alishauchukua yeye mwenyewe wa ujenzi huo aliusaini.

Atuambie mkopo aliyochukua ni wa phase ya ngapi.
Magufuli kaondoka phase one na two ziko asilimia ngapi? Wewe unajua utaratibu wa malipo Serikalini ni wa awamu (as per certificate), unadhani hizo percentage pesa zilitoka wapi? Alafu vipi kuhusu phase 3,4,5 na leo 6……hizo hela zinatoka wapi?

Magufuli aliacha Bwawa liko below 20% leo linakimbia over 70%, hizo zote ni hela.

Magufuli aliacha BRT phase 2 ikiwa inasuasua, leo tumepata pesa hadi ya phase 5.

Magufuli aliacha ndege 6 nadhani, Samia kaongeza tano zinakuja.

Mji wa Serikali Dodoma, Magufuli aliacha wizara zinatumia majengo madogo, Samia kaongeza hela wizara zote zinamalizia majengo yao makubwa kuwezesha watumishi wote kuamia kule.

Barabara, Samia kaweka hela za kujenga ring road Dodoma over 105km, hapo sijaweka za TARURA.

Daraja la Busisi JPM aliacha liko chini ya 20% leo limefika 60%,

Miradi iko mingi na hizo zote ni hela ambazo bajeti yetu haiwezi kussuport. Huu ndio ukweli. Tuendelee kukopa au tulipe kodi, tuchague tunataka nini…..!!
 
Dar hadi Moro ndiyo fedha za ndani, na hadi JPM anaondoka ilikuwa imeshakamilika reli yote ilibaki vitu vya ziada tu.
Na alisema phase inayofuata mpaka Makutupora Dodoma ndiyo mkopo kwa asilimia kadhaa na alishauchukua yeye mwenyewe wa ujenzi huo aliusaini.

Atuambie mkopo aliyochukua ni wa phase ya ngapi.
Phase 3 Phase 4 zote combined zimekuwa signed under Samia and they will cost combimed 2.9 billion usd

Phase 6 Tabora kigoma imekuwa signed under samia 2.2bil usd

BRT phase 3 and 4 and Phase 5 soon to be signed

JNHPP 3bil usd

AtCL expansion dreamliner ,767 , Max 9 mbili almost 726mil usd

Port expansion Tanga , Dar

You cant to do all that without loans and hamna Mtazania anaweza akakataa maana budget kila mwaka iko wazi huwa tunatenga about 500mil usd za SGR for all phases

Na ndo ukweli Dar Moro was done without loans Na phase 2 was Done with loan ya standard chattred about 80% na ulichukulikwa kipindi cha Magu

We are punching above , and we are still sustainable na hamna risk ya distress lets say like Kenya or Ghana
 
Samia says Tanzania has borrowed $10B for SGR. Let's see if all the phases done and others not done but funding secured can reach $10B.

Phase 1 $1.2B
Phase 2 $1.46B
Phase 3 $1.9B
Phase 4 $0.9B
Phase 5 $1.32B
Phase 6 $2.2B

The total cost for these six phases is $8.98B. Add the cost of trains, coaches and wagons and you will get to $10B.
Tafuta sehem kasema hvo ukipata nitag nifunge acc mbona huja copy and paste 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Helloooo🖐️👋👋👋

View attachment 2452877
hahaha...😁😁
inanikumbusha sana mbwa wakifanya ivo
Screenshot_20221220-174604_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom