Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanataka kudanganyia mama yet tuliwaambia humu hawana uwezo was kujenga SGR na pesa zao hawakuskia. Tukawaambia tofauti ya Tz na Kenya ni kuwa Kenyan government is more open to criticism hawakuskia. Waache taasubi ya kiume kumuonea mama bure.

Cc Geza Ulole tuusan Walker255 game over Simon
This was too obvious, I repeatedly said it! economy yao ni ndogo, nchi ni kubwa na wako wengi but pato ni kidogo!, annual revenue haitoshi to meet recurrent expenditure inabidi wakope to meet budgetary allocations, pesa wanatoa wapi? taifa fukara, they need to be humble, wajikubali wasonge mbele..., Dar ni slum like 80% 😂 😂 😂 😂 😂 , hawataki kukubali na inaonekana, vast confused houses with panya routes(corridors) for access are clearly seen to cover most of the city on aerial views, hawa watu wana misifa hewa, mifukara wa kujigamba😂😂😂😂😂😂..,
 
Hakuna kitu kipo Kenya kikakosa kuwepo Tz, expressway ni road kama road nyingine ni kama kibaha highway na ndiyo maana mkiweka picha ya expressway humu huwa mnaweka ile km 6 iliyoinuka ili kuleta utofauti lkn bado hiyo sehemu iliyoinuka inakaa flyover ambayo pia Tz zipo, ila mm nikikutajia kitu ujue hakuna hata mfano wake hapo kundustan.
Nmeelewa kwa nini wewe ni watchman, huna uwezo wa kufikiria, you need a brain transplant kufananisha expressway na kubaha ugly road. Kenya kuna expressway Tanzania hakuna
 
Mimi ni mwanamke ila siwezi shika makende ya kilaza kama wewe. Nina class mimi.

PS - Kushikwa makende ni figure of speech. Hukuenda shule wewe?
If the niggas use less than 1% of their brain expect below average reasoning., a figure of speech hashikanishi, hii thread imekua comedy zone sasa, battle iliisha😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Danganyika nightmare
FB_IMG_16684439243620971.jpg
 
Attachments

  • tapatalk_1669896510066.jpg
    tapatalk_1669896510066.jpg
    130.1 KB · Views: 10
Hakuna kitu kipo Kenya kikakosa kuwepo Tz, expressway ni road kama road nyingine ni kama kibaha highway na ndiyo maana mkiweka picha ya expressway humu huwa mnaweka ile km 6 iliyoinuka ili kuleta utofauti lkn bado hiyo sehemu iliyoinuka inakaa flyover ambayo pia Tz zipo, ila mm nikikutajia kitu ujue hakuna hata mfano wake hapo kundustan.
Maumivu haya, Kibaka road huwezi linganisha na Expressway wala Thika Superhighway.., or Uganda's Entebe express highway.., mko nyuma bado.., elavated section ya expressway ni 11.2KM inakuuma sana hadi unajaribu kuidunisha eti 6km., pole mjukuu ukweli inauma sana., mko below Uganda 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 flyover gani hizo ziko Tz?.., ama ni zile ziko Dar pekee?.., mko down bado wacha kujitetea sana, haubadilishi lolote, unatia huruma tu..,
 
Nmeelewa kwa nini wewe ni watchman, huna uwezo wa kufikiria, you need a brain transplant kufananisha expressway na kubaha ugly road. Kenya kuna expressway Tanzania hakuna
Kabisaaa😂😂😂😂😂😂
 
Like wise is very cristal clear for Kenyans who are always jealous especially when they see their country can't even build a single kilometer of electric railway to believe that there is a country can do that just next to them, nothing but jeolous

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Bongolala our sgr can be electrified anytime we feel there's a need to do so. At the moment, our electricity demand can't allow us to do so. Remember Kenya produces more electricity than your country but due to our high demand, we still aren't able to electrify ours.

Nyinyi mnatengeneza umeme kidogo but due to your low electricity demand, you managed to electrify your sgr. Don't get emotional bongolala. We have no business getting jealous of a neighbour who produces less electricity and has lower demand for the same than us!
 
Sijawahi kupamia posts zako na pia lazima utambue hili ni jukwaa huru na kila mtu ana uhuru wa kuchangia mawazo yake bila kupangiwa na mwingine.

Kikwete katika mkutani mkuu wa CCM, ameweka wazi kuwa kuna uwezekano wa Samia kutogobea akisema "Kama mambo yataaribika sana basi itawalazimu". Mtu yeyote aliye kuwa akijali ada ya masomo ya mzazi wake, anatambua kuwa mambo yameshaharibika. Neno "sana" kwenye sentence ni kama "so" ambayo ni conjunction na adverb ila hapo imetumika kama adverb "If things go so wrong"

Nnchi ina kwenda kufuatana na mtazamo, uwezo wako wa kuchanganua mambo ndio ulipofikia, sioni sababu ya kukwazika na mtazamo wako huru. Nashangaa unamatatizo na mitazamo huru ya wengine, huoni wewe hauko sawa?
Wacha kujifariji! CCM si wajinga wanajua hilo litaleta mpasuko na ndo itakuwa mwisho wa chama!
 
Bongolala our sgr can be electrified anytime we feel there's a need to do so. At the moment, our electricity demand can't allow us to do so. Remember Kenya produces more electricity than your country but due to our high demand, we still aren't able to electrify ours.

Nyinyi mnatengeneza umeme kidogo but due to your low electricity demand, you managed to electrify your sgr. Don't get emotional bongolala. We have no business getting jealous of a neighbour who produces less electricity and has lower demand for the same than us!
Aawapiii..hii ilikuwa attempt 2018..👇👇😃

shughulikieni njaa kwanza mambo ya ujenzi achieni wanaume!
 
Sijawahi kupamia posts zako na pia lazima utambue hili ni jukwaa huru na kila mtu ana uhuru wa kuchangia mawazo yake bila kupangiwa na mwingine.

Kikwete katika mkutani mkuu wa CCM, ameweka wazi kuwa kuna uwezekano wa Samia kutogobea akisema "Kama mambo yataaribika sana basi itawalazimu". Mtu yeyote aliye kuwa akijali ada ya masomo ya mzazi wake, anatambua kuwa mambo yameshaharibika. Neno "sana" kwenye sentence ni kama "so" ambayo ni conjunction na adverb ila hapo imetumika kama adverb "If things go so wrong"

Nnchi ina kwenda kufuatana na mtazamo, uwezo wako wa kuchanganua mambo ndio ulipofikia, sioni sababu ya kukwazika na mtazamo wako huru. Nashangaa unamatatizo na mitazamo huru ya wengine, huoni wewe hauko sawa?
Nawashangaa sana watu wanaodhan Samia atakuwa Rais baada ya uchaguzi 2025.. niwahakikishieni niko hapahapa .. mda ukifika nitawakumbusha 😀
Kazi yangu itakuwa kusearch 2025 na kuwaletea comments za nyuma
 
Stop blaming her for speaking the truth unlike her predecesor who excelled in lies. Sgr ilianza kujengwa kwakati wa JPM so when you want to put the blame solely on her you are not being fpp>air and honest. JPM borrowed money for sgr but he made most Tanzanians believe that ilijengwa na pesa za ndani. Very poor leadership quality
It was impossible for him to get a loan from the west to fund this project, they don't provide funds of this kind in Africa. China was the only country that was willing to do so but JPM didn't want them to have full control of the project, like they do in your country.

JPM thought process was ahead of the curve, he wanted us to participate fully in the project, without having to rely on any foreign entity in decision making, so he declined the offer (Chinese). Phase one was divided into five sections, each one was to start individually whenever funds were available.

To keep the ball rolling, GOT fully funded the first section (Dar es salaam - Morogoro) and provided a portion of the money to start the second one (Morogoro - Makutupora), AfDB funded what was left off. So to say we never funded any part of it with our own money, you must be higher than giraffe pussy.
 
Back
Top Bottom