Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bajeti ya trillion 35 ni bajeti ya mwaka mmoja, SGR itamalizika 2026 kuanzia 2017, hiyo ni miaka 9, Kama ukifanya hesabu ni 35trl x 9 = 315trl. Kwa kutumia akili yako vipi inawezekana au haiwezikani kujenga SGR ya 23trl kutoka kwenye bajeti ya 315trl?.

Halafu hiyo miradi mingine uliyotaja BRT, Dar na Msalato Airports sio pesa za ndani, ila Bwawa la Nyerere ni pesa za ndani. Jaribu kufikiria kabla ya kuandika kitu, sio wote hapa ni mbumbumbu Kama wakenya.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hiyo yako ina fungu asilimia ngapi ya pesa za maendeleo? Kati ya hizo kiasi gani inatokana na mikopo na misaada na kiasi gani ni mapato ya kodi? Kwahiyo tujenge reli tu tuache kila kitu? Ndio shuleni kwako mlifundishwa uchumi wa namna hiyo?

Yes hiyo miradi ni mikopo, kwani hapa tunazungumzia kitu gani? Samia kakopa ajenge ndio unaona hilo deni limekua. So wewe ndio mwanafunzi kipanga wa REAL Comrade Kipepe umekuja kumtetea mwalimu wako? Kumbe baba zenu waliuza ng’ombe wapeleke ng’ombe zingine shule…….bure kabisa!!!
 
Flyover zimejaa kibao Tz kwa ss, hakuna infrastructure ipo Kenya isiwepo Tz ila kuna infrastructures kibao zipo Tz huwezi pata East and Central Africa hata ulie huwezi badili huo ukweli
Mko na flyover mbili pekee Tanzania nzima.
 
Unadhani Assembly ni kama kurusha flying toilets.
Enda uskie vibaya na huko.
Hamuwezi shikanisha hata baiskeli.

Image
 
Hiyo yako ina fungu asilimia ngapi ya pesa za maendeleo? Kati ya hizo kiasi gani inatokana na mikopo na misaada na kiasi gani ni mapato ya kodi? Kwahiyo tujenge reli tu tuache kila kitu? Ndio shuleni kwako mlifundishwa uchumi wa namna hiyo?

Yes hiyo miradi ni mikopo, kwani hapa tunazungumzia kitu gani? Samia kakopa ajenge ndio unaona hilo deni limekua. So wewe ndio mwanafunzi kipanga wa REAL Comrade Kipepe umekuja kumtetea mwalimu wako? Kumbe baba zenu waliuza ng’ombe wapeleke ng’ombe zingine shule…….bure kabisa!!!
Tulia mkuu, wacha kufedheheka na kupaparika. Mimi nilijibu hoja ya kwamba hatuwezi kujenga mradi wenye thamani ya 23trl, Kutokana na bajeti yetu ya 35trl.

Lengo langu ni kukukumbusha kuwa, hiyo 35trl ni bajeti ya mwaka mmoja tu, wakati hiyo 23tr inatokana na bajeti ya miaka 9 ambayo ndiyo (project life span). 40% ya bajeti ya Tanzania ni bajeti ya maendeleo, ukichukua 315trl, 40% yake ni zaidi ya 110trl.

Nina uhakika ulikua hulijui Hilo, wewe ni miongoni mwa wale wenye kusikiliza makelele ya watu na kuyaingiza kichwani bila ya kuyachakata na kuyapima kwa undani, ukikumbushwa unarukaruka kwa hasira, hovyo kabisa wewe

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe baba zenu waliuza ng’ombe wapeleke ng’ombe zingine shule…….bure kabisa!!!
😂 😂 😂 Nimecheka sana huo mstari! Mimi nimezaliwa Muhimbili na kukulia Ubungo NHC, Nyuma ya Ubungo Plaza kuna Rubada na nyuma kuna kota huko. Hakukua na mtu aliyekuwa na Ng'ombe hizo pande ndugu.

Shukran kwa kunichekesha na mstari wako wa Ng'ombe.😂😂
 
Toyota Land cruiser 76 zote za East and Central Africa zinakua assembled Mombasa, ukipata Assembler mwingine within East Africa nitag nifunge account.
Nimekwambia ukipata ushahidi tu mm nafunga acc jamii forum mamaee🤣🤣🤣🤣 hvi ww unaeza nifundisha mm chochote kuhusu magari ww
 
😂 😂 😂 Nimecheka sana huo mstari! Mimi nimezaliwa Muhimbili na kukulia Ubungo NHC, Nyuma ya Ubungo Plaza kuna Rubada na nyuma kuna kota huko. Hakukua na mtu aliyekuwa na Ng'ombe hizo pande ndugu.

Shukran kwa kunichekesha na mstari wako wa Ng'ombe.😂😂
Umenifanya mpaka na mimi nianze kucheka kama chizi………..😅😅😅 acha nongwa we Mzee, Samia anajenga nchi haijapata tokea……..😂😂
 
Back
Top Bottom