ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Na haijawah zalisha faida mpaka dunia itasimama 🤣🤣🤣🤣🤣Our SGr has been functioning for 5 years now. Yenu bado inangoja trains za mitumba ndio ianze kazi🤣😂🤣🤣
Na haijawah zalisha faida mpaka dunia itasimama 🤣🤣🤣🤣🤣Our SGr has been functioning for 5 years now. Yenu bado inangoja trains za mitumba ndio ianze kazi🤣😂🤣🤣
Destination yake ni wapi!?Our SGr has been functioning for 5 years now. Yenu bado inangoja trains za mitumba ndio ianze kazi🤣😂🤣🤣
Does this dispute the fact that mlikopa kuanzia phase one hadi mwisho?😂😂🤣😂🤣
Mimi naona kwa sasa apunguze rate aiseh , tumeichukua sana toka ameingia



Focus on your loans achana na Kenya. Magufuli aliwadanganya ati mnajenga SGR kwa pesa za ndani, saa hii ukweli inajulikana😂😂🤣😂Na haijawah zalisha faida mpaka dunia itasimama 🤣🤣🤣🤣🤣
Akikuonesha nitag nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣Destination yake ni wapi!?
Tuambie revenue ya SGR yenu.
Tupatie profit mliopata.
Focus on your loans achana na Kenya. Magufuli aliwadanganya ati mnajenga SGR kwa pesa za ndani, saa hii ukweli inajulikana😂😂🤣😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hujanijibu swali zinatoka kenya au laa
View attachment 2452605
Nina uhakika utakimbia siyo muda mrefuOur SGr has been functioning for 5 years now. Yenu bado inangoja trains za mitumba ndio ianze kazi🤣😂🤣🤣
Kumbe phase two ni from tabora to kigoma to rwanda and burundi and congo and to uganda also ndio nimejua leo 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2453027
Loan for phase two then nisawa 🤣🤣🤣 phase one dar to mwanza tulishamaliza sasa ni phase two
Hatujaikataa ati tulikopa. Nyinyi mlidanganywa na yule kiparangoto ati mnajenga SGR kutumia pesa za ndani kumbe ni full loan kwanza centimeter ya Kwanza hadi mwisho🤣😂😂😂Nina uhakika utakimbia siyo muda mrefu
Kenya borrowed more than $3 billion from China to build the 472-kilometer railway from Mombasa to Nairobi.
Pesa za ndani indeed 😂😂😂🤣Hata ulie but haiondoi ukweli kwamba massive projects kama bwawa la JNHPP na electrifitried SGR phase 1 ni pesa za ndani.
Mwenye aliwadanganya kashakufa bana, come back to reality now😂😂🤣😂Tutajenga kwa pesa za ndani kaa utulie hivyohivyo.
Nchi ya mitumba😂. Our SGR is working very well.Destination yake ni wapi!?
Tuambie revenue ya SGR yenu.
Tupatie profit mliopata.
Karibu mkuu.Narudi tena kwenye uzi wetu pendwa niwanyooshe wakunya.