Mkwanzania
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,352
- 5,414
TABORA KIGOMA SGR- CONTRACTOR AMEPATIKANA
Tanzania inakwenda kuwa among of the top giant wa public transport and logistics in Africa. 1800km of electrified SGR sio mchezo, hapo hujaweka over 100km za BRT Dar only, hatujazungumza kuhusu meli zinazojengwa kwenye maziwa makuu na bahari, alafu nimesahau……..kuna pia viwanja vya ndege na bus stages sijaona ukanda huu. Yaani utakuwa unachagua tu……niruke juu, nidandie gogo, nizame majini au ni-hit the road? Tukimaliza haya tunaanza kurestructure miji yetu iwe ya kisasa zaidi. Maniner…….the future is bright, I need sunglasses.
Majirani mtatukuta pale juu tumepumzika mkifanikiwa kufika, probably by 2050😂😂