Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Katika kijiji kuna vitongoji,unaweza kuta kijiji chenye umeme 3/4 ya vitongoji vyake hawajaunganishwa ,Ndio mana wizara inaenda kwa awamuNaombeni kueleweshwa hapa hasa kwenye kipengele cha umeme.
Tanzania tuna vijiji 12,000.Vijiji 10,000 tayari vina umeme, bado vijjji 2,000 tu.
Swali langu hawa wapiga takwimu wametumia vigezo gani kuweka asilimia 33% za kuunganishwa umeme wakati karibia tusambaze Tanzania nzima?
Hapo umeme unakuwa unaenda wapi, TANESCO wanawawashia wanyama?
Miziki inayochezwa sana ni gengetone, kapuka, Afrobeats na amapiano.Huko club zinapigwa nyimbo za kikenya?
Je Nikikuletea picha ya hiko kichwa kikikokota mabehewa ya abiria utabadili msimamo?Picha iko dhahiri. Tazama hio picha utaona.
Wao waweke nguvu kwenye Mbio za kitumwa m100,000 hapo sawa.Kelele zenu zote hizo, amefika wap saa hiz? Hata top 3 hayupo
Kelele zenu zote hizo, amefika wap saa hiz? Hata top 3 hayupo
Hawezi kukuruhusu ufanye hivyo atapita kimya tuuJe Nikikuletea picha ya hiko kichwa kikikokota mabehewa ya abiria utabadili msimamo?



Sama boy 255 wewe ndio huwa unapenda kusifu real estate ya China kwamba China ina majengo mengi marefu. Kumbe yamejengwa kutumia madeni na sasa hali inaanza kuwa mbaya. Tunazungumzia deni la $9.2 trillion.
Hawezi kukuruhusu ufanye hivyo atapita kimya tuu![]()
So east upanga ni sawa na mombasa yote 😂😂😂😂.
Akijibu swali nitag plz 😂😂😂So huu ushuzi mliubomoa au? Na kama hamkuubomoa kwnn mnapiga picha za upande upande ili umuongopee nani sasa.View attachment 2292786
Sasa walikuja kufanya nn??😂😂😂KRA 2.14TRILION
TRA 1.2TRILLION
Kuna kitu ya kujifunza hapo!!!
Kuna nchi walikuja kujifunza juzi kati.