Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mombasa, a second tier city just like Dar es Salaam.,
1657960628228.png

1657960149117.png

1657960614238.png

1657960598883.png

1657960207985.png

1657960285195.png

1657960330533.png

1657960379653.png

1657960403084.png

1657960508655.png
 
Mzee kariakoo ni financial district kwenye map ya TRA, eti apartments

Kariakoo inaleta nchi zote za eastern, central and southern Africa kufanya manunuzi, Usilinganishe na ushuzi kunuka wa CBD yenu ambayo kazi yake ni kuratibu misaada ya chakula kutoka Saudi Arabia



View attachment 2292493
Ukiwa kariakoo utasikia watu wanazungumza kifaransa, kihindi , kiarabu , kingereza na kiswahili . Kuna wetu kutoka nchi mbalimbali za ukanda huu SADC na EAC , plus wacomoro wako wengi halafu kwao wanawake ndio wafabiashara maana wako wengi sana
 
Tazama how a real city looks like.., sio apartments za waarabu na wahindi unatuwekea humu eti density

Mifano ya Business and Office blocks, sio makazi ya watu

Tazama how The Mighty Jozi looks, kisha linganisha na huo upuzi wako.., (Johannesburg)
View attachment 2292455
The Emerging Nairobi., muonekano karibu sawa na Jozi.,

View attachment 2292456

Alafu ujinga inakudanganya chongchung unaweka hii takataka., ni kama tu soko la Eastleigh type
View attachment 2292458
Vimajengo vyenyewe vitatu ndio unalingisha hapa, angalia mshale huo uone ushuzi unaozunguka CBD ukibisha napost hyo CBD
Screenshot_20220716-111250.jpg
 
Tazama how a real city looks like.., sio apartments za waarabu na wahindi unatuwekea humu eti density

Mifano ya Business and Office blocks, sio makazi ya watu

Tazama how The Mighty Jozi looks, kisha linganisha na huo upuzi wako.., (Johannesburg)
View attachment 2292455
The Emerging Nairobi., muonekano karibu sawa na Jozi.,

View attachment 2292456

Alafu ujinga inakudanganya chongchung unaweka hii takataka., ni kama tu soko la Eastleigh type
View attachment 2292458
Eti huu ushuzi unapigwa picha ya upande upande zen unalinganishwa na jozi kamuongopee babaako co cc tunaoshinda mitandaoni. Dunia ya leo humuongopei mtu bro, haya niambie haya majengo mliyabomoa au? Na kama hamkuyabomoa kwnn mnayaficha alafu ndio mnalinganisha na jozi, mbn cc hatufichi kitu, narudia tena kamuongopee babaako
tapatalk_1594761297252.jpg
Screenshot_20220716-111218.jpg
 
Alafu ukicheki
Dar CBD.., tuusan tofautisha tu. Na ujue hii ndio mwanzo na mwisho wa Dar CBD., outside hapa hakuna any other.., View attachment 2292612

Nairobi Old CBD..,
View attachment 2292620
CBD ya Dar imejaa apartments ,tena old apartment..ukitoa hizo apartments hio city inabaki sijui aje..na watu wanaishi CBD..Nairobi huwezi pata watu wanaishi CBD..CBD Mostly ni za offices and business
 
Back
Top Bottom