Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu ukicheki

CBD ya Dar imejaa apartments ,tena old apartment..ukitoa hizo apartments hio city inabaki sijui aje..na watu wanaishi CBD..Nairobi huwezi pata watu wanaishi CBD..CBD Mostly ni za offices and business
Dar CBD ni kadogo, it is now clear., wamechukua kama sehemu ya Eastlands wakaweka ndani, nyumba za wahindi na waarabu.., na soko ya Eastleigh., 😂 😂 😂
 
Atokee mkunya anayejiamini alete picha kama hii huko Kunyaland ili niondoke JF, hv nyie mnafanya masihara na Dar eehhh
tapatalk_-840971079_500x281.jpg
 
Eti huu ushuzi unapigwa picha ya upande upande zen unalinganishwa na jozi kamuongopee babaako co cc tunaoshinda mitandaoni. Dunia ya leo humuongopei mtu bro, haya niambie haya majengo mliyabomoa au? Na kama hamkuyabomoa kwnn mnayaficha alafu ndio mnalinganisha na jozi, mbn cc hatufichi kitu, narudia tena kamuongopee babaako
emoji116.png
emoji116.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
View attachment 2292703View attachment 2292707
Yaani unaweka Nairbi ya 90s, hakuna upperHill pale background, next to KICC hakuna parliament towers na CBK towers na bado unajikaza kulinganisha na Dar is slum ya 2020s..,ona downtown hivi sasa 👇 👇 😂 😂 😂 😂 nyumba za waarabu
1657963172237.png

1657963148891.png


Nairobi ambayo hautaki.., without Ngara., bana nyie tulieni na Mombasa, nasio tafadhali, it's where u belong😂😂😂
1657963365387.png

Tofautisha na hii 👇 👇 ya 90s, tumepiga hatua kubwa kilaza, unaumia na kuteseka sana😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
1657963501231.png
 
Ferdinand Omanyala ametajwa sana kwa video ya huyu jamaa. Ferdinand Omanyala saa hii ni global superstar. Hii youtube channel ndio the biggest athletics channel on youtube.

Did you watch this one? it was epic!!.., mixed relays.,
 
Yaani unaweka Nairbi ya 90s, hakuna upperHill pale background, next to KICC hakuna parliament towers na CBK towers na bado unajikaza kulinganisha na Dar is slum ya 2020s..,ona downtown hivi sasa nyumba za waarabu
View attachment 2292713
View attachment 2292712

Nairobi ambayo hautaki.., without Ngara., bana nyie tulieni na Mombasa, nasio tafadhali, it's where u belong
View attachment 2292719
Tofautisha na hii ya 90s, tumepiga hatua kubwa kilaza, unaumia na kuteseka sana
View attachment 2292724
So huu ushuzi mliubomoa au? Na kama hamkuubomoa kwnn mnapiga picha za upande upande ili umuongopee nani sasa.
tapatalk_-988065614_512x352.jpg
 
Tanzania tuna maeneo mengi ya hatari sana, wanachotuzidi hawa mbwa ni make up tu, cc hatuna tabia ya kuweka ma make up kama wao. Mfano picha hii hapa imepigwa upande upande ikawekwa shedo wanafananisha na Jo'burg, alafu wanajisahau wanatuongopea mpk cc tunaowajua nje ndani. Angalia hapa picha iliyopigwa make up alafu ikakatwa kaeneo kadogo ikafananishwa na Jo'burg na picha ya uhalisia
Screenshot_20220716-111218.jpg
tapatalk_-988065614_512x352.jpg
 
Tanzania tuna maeneo mengi ya hatari sana, wanachotuzidi hawa mbwa ni make up tu, cc hatuna tabia ya kuweka ma make up kama wao. Mfano picha hii hapa imepigwa upande upande ikawekwa shedo wanafananisha na Jo'burg, alafu wanajisahau wanatuongopea mpk cc tunaowajua nje ndani. Angalia hapa picha iliyopigwa make up alafu ikakatwa kaeneo kadogo ikafananishwa na Jo'burg na picha ya uhalisia View attachment 2292793View attachment 2292794
Umeongea kwa hasira na maumivu sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom