Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha upuuzi mzee. Nani amekuambia kwamba tuna locomotive aina moja? Tuna locomotives aina tofauti tofauti. Sijui unapingana na mimi kwa nini? Tazama hii video. Hio ya pili ndio passenger locomotive. Hizo zingine tatu ni cargo locomotive.

Cc Geza Ulole Sama boy 255
Hata horsepower ni tofauti. Nipo sure ya cargo ina horsepower kubwa kushinda ya passenger.
Na hii mbona haifananii kama locomotive ya passengers njoo na uongo mwingine tafadhali.
Screenshot_20220717-150435.jpg
 
I don't care whether South Africa produces a lot of power or not. Nchi yoyote yenye 8 hour power cuts per day is a failed state. Period. Sitaki hadithi mingi za Abunuasi, sijui eti wanaproduce a lot of power. 8 hour power cuts inaonyesha ni jinsi gani hio nchi sio developed na ni failed state. Ujinga kama huu wa 8 hour black out huwezi kuusikia ndani ya developed countries kama za Europe au Northern America.
Vipi kuhusu nchi watu wanakufa njaa hii nayo sio failed state?
 
Wanazalisha > 49 000 MW of electricity lkn bado hauwatoshi, wana shida ya umeme ni kweli, lkn huwezi kuicheka au kuikejeli AK na kuiita nchi ya ujinga wakati nchi yako hata 2000 MW hakuna!
Sisi hatuna power cuts mzee. Power cuts ni dalili la nchi kuwa failed state.
 
Sisi hatuna power cuts mzee. Power cuts ni dalili la nchi kuwa failed state.

Hakuna Power kwa sababu hakuna uchumi wowote wa maana otherwise unawezaje kuelezea 2000 MW of electricity kwenye nchi yenye watu zaidi milioni 45?
 
Hakuna Power kwa sababu hakuna uchumi wowote wa maana otherwise unawezaje kuelezea 2000 MW of electricity kwenye nchi yenye watu zaidi milioni 45?
Endelea kusifia 8 hour black outs. Eti South Africa wanaproduce megawatts nyingi kwa hivyo wana haki ya kuwa na power blackouts. Hahaha. Akili mgando.
 
Endelea kusifia 8 hour black outs. Eti South Africa wanaproduce megawatts nyingi kwa hivyo wana haki ya kuwa na power blackouts.

Ni wapi nimesifia? Nimesema wana matatizo ya umeme na hata tangia enzi za Zuma, sasa source of power watapata wapi ? Wamesha tumia kila kitu hydro, coal, wind, geo na bado haiwatoshi kilichobakia ni nuclear lkn hiyo technology ina ishu zake pia …
 
Ni wapi nimesifia? Nimesema wana matatizo ya umeme na hata tangia enzi za Zuma walikuwa wanajaribu kupata nuclear power lkn walizuiwa na Wazungu, sasa source of power watapata wapi ? Wamesha tumia kila kitu hydro, coal, wind, geo na bado haiwatoshi kilichobakia ni nuclear lkn hiyo technology wanazuiwa/ hujumiwa, …
Kwa habari yako South Afrika hawastahili kuwa na blackout. Wacha kuwatetea kwamba tayari wanaproduce umeme mwingi kwa hivyo powercut yao inaeleweka. Wao wana blackout kwa sababu ya corruption ya Eskom. Wao walikuwa wanapanga kujenga 2 big coal powerplants ambazo zinaitwa Medupi and Kusile powerplants na kwa pamoja zinge-generate zaidi ya 9,000 MW. Ila kwa sababu ya corruption, ujenzi wa powerplants zenyewe ziko behind schedule na hata units zinazozalisha umeme zina break-down kila wakati. Walitumia teknolojia mbaya na corner cutting kwa sababu ya corruption. Nenda kamwambie mtu yeyote kutoka South Africa eti inaeleweka South Afrika kupata powercuts kwa sababu tayari wanazalisha 49,000 MW uone akikupiga mangumi na mateke.
 
Wacha upuuzi mzee. Nani amekuambia kwamba tuna locomotive aina moja? Tuna locomotives aina tofauti tofauti. Sijui unapingana na mimi kwa nini? Tazama hii video. Hio ya pili ndio passenger locomotive. Hizo zingine tatu ni cargo locomotive.

Cc Geza Ulole Sama boy 255
Hata horsepower ni tofauti. Nipo sure ya cargo ina horsepower kubwa kushinda ya passenger.

Ata tony ukipanda ile passenger train utaona sometimes speed infika 120 .. ,waga kuna electronic signboard inakuonyesha speed ,time na room temperature.
 
Train yenu ya abiria inavutwa na locomotive hamna EMU na hata train yenu ya mizigo inatumia locomotive sasa nataka unithibitishie kuwa hiyo sio passenger train bali ni ya mizigo ujibu swali uache kurukaruka hapa max speed 100kph.
Hawa watu wajinga hivi utawajibu aje!!!
So sura ya Mercedes Benz na Toyota wish huwezi jua kwa kuangalia?
 
Kwa habari yako South Afrika hawastahili kuwa na blackout. Wacha kuwatetea kwamba tayari wanaproduce umeme mwingi kwa hivyo powercut yao inaeleweka. Wao wana blackout kwa sababu ya corruption ya Eskom. Wao walikuwa wanapanga kujenga 2 big coal powerplants ambazo zinaitwa Medupi and Kusile powerplants na kwa pamoja zinge-generate zaidi ya 9,000 MW. Ila kwa sababu ya corruption, ujenzi wa powerplants zenyewe ziko behind schedule na hata units zinazozalisha umeme zina break-down kila wakati. Walitumia teknolojia mbaya na corner cutting kwa sababu ya corruption. Nenda kamwambie mtu yeyote kutoka South Africa eti inaeleweka South Afrika kupata powercuts kwa sababu tayari wanazalisha 49,000 MW uone akikupiga mangumi na mateke.

Sawa, turudi hapa kwetu sasa!
 
Back
Top Bottom