Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naombeni kueleweshwa hapa hasa kwenye kipengele cha umeme.

Tanzania tuna vijiji 12,000.Vijiji 10,000 tayari vina umeme, bado vijjji 2,000 tu.

Swali langu hawa wapiga takwimu wametumia vigezo gani kuweka asilimia 33% za kuunganishwa umeme wakati karibia tusambaze Tanzania nzima?

Hapo umeme unakuwa unaenda wapi, TANESCO wanawawashia wanyama?
Kwa sababu nyinyi mnafanya ujinga wa kuhesabu idadi ya vijiji vilivyounganishwa kwa umeme badala ya idadi ya nyumba zilizounganishwa kwa umeme. Idadi ya nyumba Tanzania ambazo zimeunganishwa kwa umeme ni chini ya 45%. Hapa Kenya idadi ya nyumba zilizounganishwa kwa umeme ni zaidi ya 75%.
 
Ninajua hii inakuuma Sana, lakini hakuna jinsi lazima utazoea tu
7seven
Tony254

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hizi data ni kipindi cha Kalemani, ana muda ameondoka kwenye Wizara maana asilimia zineshaongezeka zaidi ya hapa.
 
8 hour power-cuts in South Africa. The most developed country in Africa. Africa sijui tulirogwa na nani?
Hukumsikia Speaker wa bunge la Tanzania katika mkutano wa SADC alitoa ahadi kwamba Tanzania tunajenga bwawa kubwa la umeme na tutauza ziada ktk nchi za SADC?, nadhani hivi Sasa unaanza kujua umuhimu wa Tanzania katika SADC.

Si ni wewe uliyekua unasema tutazalisha umeme mwingi kuliko mahitaji yetu kwahiyo huo mradi hauna faida?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwa sababu nyinyi mnafanya ujinga wa kuhesabu idadi ya vijiji vilivyounganishwa kwa umeme badala ya idadi ya nyumba zilizounganishwa kwa umeme. Idadi ya nyumba Tanzania ambazo zimeunganishwa kwa umeme ni chini ya 45%. Hapa Kenya idadi ya nyumba zilizounganishwa kwa umeme ni zaidi ya 75%.
Swali langu ni moja tu huko umeme unakopita hakuna nyumba? Wasipounganishia watu maana yake umeme unapotea bure,Kwanini TANESCO wajipige hasara? Kazi yao ni nini hasa,kwamba wanapeleka umeme vijijini au wanawapelekea wananchi umeme ambao wako vijijini baada ya kuwaunganishia wa mjini?
 
8 hour power-cuts in South Africa. The most developed country in Africa. Africa sijui tulirogwa na nani?

Nafikiri ungedili na matatizo ya nchini kwako kwanza ambapo bado ni basic needs kama chakula, maji, choo na hata nguo, Afrika Kusini inazalisha >49 000 MW of electricity vs Kenya <2 000MW , hizo ni Dunia mbili tofauti, AK ni level nyingine kabisa, Johannesburg Stock Exchange peke yake ni one of the largest in the World (namba 16 Duniani), AK inashinda nchi nyingi tu za Ulaya kiuchumi.

Na hiyo 49 000 MW ya umeme bado haiwatoshi kukidhi mahitaji yao ya kiuchumi, hapa kwetu kujenga tu MW 2000 za umeme bado kuna watu wanatupiga vita eti kutunza miti, na ni watu wakubwa wenye maamuzi Serikalini, leo hii Nyerere dam inahujumiwa siajabu kwa makusudi kabisa, …
 
Umeme hadi kijijini ndio access to electricity kwamba umeme umefika kila eneo sasa kuunganisha ni mapenzi ya mteja mwenyewe ila sio kwamba umeme hakuna hiyo ndio acess hata akienda kwa jirani kuchaji simu bado ni access to electricity hiyo.
Hio ni according to akili zenu za kitanzania....sisi wengine duniani tunapima access to electricity na the number of households connected to electricity
 
Kwa sababu nyinyi mnafanya ujinga wa kuhesabu idadi ya vijiji vilivyounganishwa kwa umeme badala ya idadi ya nyumba zilizounganishwa kwa umeme. Idadi ya nyumba Tanzania ambazo zimeunganishwa kwa umeme ni chini ya 45%. Hapa Kenya idadi ya nyumba zilizounganishwa kwa umeme ni zaidi ya 75%.
Hahahaha, huu Sasa ni wivu tu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom