Mkuu, wakati Magufuli anaingia madarakani, vijiji vilivyokua vimeunganishwa na umeme vilikua ni vijiji 2000 tu, Kati ya vijiji vyote 12,0000, idadi hiyo ukijumlisha na asilimia ya umeme mijini, wastan ndio hiyo 33%.
Katika kipindi cha miaka 5 ya uongozi wa Magufuli, aliunganisha vijiji 7000 na mijini akafikisha zaidi ya 90%, ndio sababu hivi Sasa coverage nchi nzima ni 83%
Energy Minister Dr Medard Kalemani has announced that Tanzania has recorded its highest percentage in access to electricity so far with 84.6% in 2020.
www.esi-africa.com
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app