Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Watanzania hawajui kiswahili wala kizungu.
Kaaaaahhhhhhh hizi picha za kishenzi namna hii umezitowa wapi ? Uchafu hadi kwenye njia za juu za wapita kwa miguuHii kweli next level
Middle income and part of CBD area
View attachment 2292240View attachment 2292241View attachment 2292242View attachment 2292243View attachment 2292244View attachment 2292245View attachment 2292246View attachment 2292247View attachment 2292248View attachment 2292249View attachment 2292250View attachment 2292251View attachment 2292252View attachment 2292253View attachment 2292254View attachment 2292255View attachment 2292256



sasa nimeiamini ile picha ya ng'ombe wakipita kwenye njia za juu za kenya...mwanzoni nilijua ni uongo

Tony254 MK254 komora096 NicxieMkuu, wakati Magufuli anaingia madarakani, vijiji vilivyokua vimeunganishwa na umeme vilikua ni vijiji 2000 tu, Kati ya vijiji vyote 12,0000, idadi hiyo ukijumlisha na asilimia ya umeme mijini, wastan ndio hiyo 33%.Naombeni kueleweshwa hapa hasa kwenye kipengele cha umeme.
Tanzania tuna vijiji 12,000.Vijiji 10,000 tayari vina umeme, bado vijjji 2,000 tu.
Swali langu hawa wapiga takwimu wametumia vigezo gani kuweka asilimia 33% za kuunganishwa umeme wakati karibia tusambaze Tanzania nzima?
Hapo umeme unakuwa unaenda wapi, TANESCO wanawawashia wanyama?
www.esi-africa.com
Dar can never have such a view, ukipinga tuma picha za the three blue towersingekua Dar wangesema hakuna towers ni vibanda tu
Sema hiyo mikunjo kwenye barabara zetu ni hatari sijui nini tatizo kwa mainjinia ?? Au ni ufisadi wa kurefusha urefu wa barabara ili wapige pesaWakunya ukitaka ukosane nao waambie wakuletee barabara mpya kama hizi

...maana mikunjo kama hiyo inasababisha ajali za barabarani kwa asilimia 70 pia inasababisha uchovu kwa dereva ,inasababisha vyuma vya gari kuchoka kwa kukata kata kona mara kwa mara na kuvunjika na kusababisha ajali...Sio rahisi. Ingawa ukifuatilia mitandaoni utaona kama nchi itavunjika kesho maana yake wayoruba wanapiga kelele huku waigbo nao wanataka Biafra yao. Wote wanalia kuwa Buhari (bokohari) anataka kutimiza ndoto ya Usman Dan Fodio kwa kuwapendelea wafulani wa kaskazini na kuiweka Nigeria chini ya himaya ya kiislamu. Nina hakika hizi kelele zitapita na Nigeria kuendelea kuwa nchi moja baada ya uchaguzi mwaka ujao, licha ya hisia za ukabila na udini kushika kasi.Nigeria iko siku itazunjika na sio mbali. Next year wana general election na ruling party (Apc) flag bearer ni muislamu na vice wake pia muislamu. Second biggest party (PDP) flag bearer muislamu. Foolani na Yorubas wameungana dhidi ya wakristoView attachment 2293484
Shida ni takwimu, NBS huwa wanachelewa sn ku update taarifa, Tz mashirika ya umma yamelala lala sana sijui kwanini tunakuwa wazembe wazembe kwenye vitu serious namna hii.Mkuu, wakati Magufuli anaingiza madarakani, vijiji vilivyokua vimeunganishwa na umeme vilikua ni vijiji 2000 tu, Kati ya vijiji vyote 12,0000, idadi hiyo ukijumlisha na asilimia ya umeme mijini, wastan ndio hiyo 33%.
Katika kipindi cha miaka 5 ya uongozi wa Magufuli, aliunganisha vijiji 7000 na mijini akafikisha zaidi ya 90%, ndio sababu hivi Sasa coverage nchi nzima ni 83%
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ukabila unawasumbua kama Kunyaland.Nigeria iko siku itazunjika na sio mbali. Next year wana general election na ruling party (Apc) flag bearer ni muislamu na vice wake pia muislamu. Second biggest party (PDP) flag bearer muislamu. Foolani na Yorubas wameungana dhidi ya wakristoView attachment 2293484
Hawa ndio watalii huko kwenu, mbn wachache hivi? Mnatia huruma wallahiWakija hawataki kutoka kabisa.











Unataka kusema hii locomotive haivuti mabehewa ya abiria? Nikipata mahali inakokota abiria?Cargo train max speed 100km/h, passenger train 120km/h
Maybe nchi nyingine lakini si KenyaUnataka kusema hii locomotive haivuti mabehewa ya abiria? Nikipata mahali inakokota abiria?
Sikatai kuwa hali ni mbaya lakini hiyo nchi haitavunjika vipande vipande kirahisi kama unavyofikiri. Sio tu Nnamdi Kanu (Igbo) ambaye kwa sasa yuko mahabusu Abuja baada ya kukamatwa Nairobi; hata Sunday Igboho (Yoruba) naye kwa sasa yuko ukimbizini Benin Republic baada ya kukoswa kuuawa na watu wanaodhaniwa walitumwa na serikali.Hali ni mbaya sana nigeria na kila siku ikipita ni miujiza kwa nini haijavunjika. Ukienda north bunge zao zimepitisha sharia law ndo manake wakamua yule msichana deborah bila uwoga. Kuna kitengo maalum cha polisi kinaitwa hisbah na kazi yao nikuhakikisha sheria za kiislamu zinafatwa.
Ukija south east kuna igbos ambao wanataka kujitenga. Kiongozi wao Nnamdi Kanu alikua extredicted from Kenya to Nigeria sahivi anasubiri hukumu.
Tatizo lao ni udini kama tanganyika na zanzibar.Ukabila unawasumbua kama Kunyaland.