Kwenye maneno 100 ya mkunya usichukue hata moja, alafu ukweli walikuwa wanaujua lkn wote wakiwa wanaitetea wanasema 120, Wakenya ni wajinga sana. Mbn cc hatupo hivi?
Wamepigwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye maneno 100 ya mkunya usichukue hata moja, alafu ukweli walikuwa wanaujua lkn wote wakiwa wanaitetea wanasema 120, Wakenya ni wajinga sana. Mbn cc hatupo hivi?View attachment 2293297
Lakini kunya nchi nzima mnaomba msaada wa chakula kwenye nchi zilizo kwenye majangwa . Kuleni malls tuone . Sifa za kikunya haaaaaaEastleigh kuna malls nyingi kuliko tanzania nzima[emoji23][emoji23]
Kwasababu mahali popote duniani uunganishwaji wa umeme unapimwa kwa idadi ya nyumba zilizounganishwa kwa umeme against idadi ya nyumba zote... Nyinyi tu ndo mnatumia vigezo vya vijijiNaombeni kueleweshwa hapa hasa kwenye kipengele cha umeme.
Tanzania tuna vijiji 12,000.Vijiji 10,000 tayari vina umeme, bado vijjji 2,000 tu.
Swali langu hawa wapiga takwimu wametumia vigezo gani kuweka asilimia 33% za kuunganishwa umeme wakati karibia tusambaze Tanzania nzima?
Hapo umeme unakuwa unaenda wapi, TANESCO wanawawashia wanyama?
Cargo train max speed 100km/h, passenger train 120km/h
Tz bullet train 160km/h😂😂😂Cargo train max speed 100km/h, passenger train 120km/h
Corona ilifanya ikapunguza route zake kwa TZLakini KLM imekuwa na daily flights kwa miaka mingi sasa hapa Tanzania
Ni meno unatumia kama akili
Njaa Njaa Njaa KENYA
Ndo lengo la kuipost humu thou sikuweka comment yoyote😅
[emoji28][emoji28]Tz bullet train 160km/h[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kama hawa watz wanaogopa kufikiria most times. Wacha tungoje majibu zao kama there cargo/passenger locomotives will run same speed.Hakuna aliyewadanganya nyinyi watu wa Republic of Lazystan.
Ulisikia wapi kwamba cargo trains za Kenya zina maximum speed ya 120 km/h? Hii sio passenger train. Passenger train ndio inagonga 120 km/h.
Hawajanijibu. Wamenyamaza when they realised they were being stupid.Ni kama hawa watz wanaogopa kufikiria most times. Wacha tungoje majibu zao kama there cargo/passenger locomotives will run same speed.
Kuna nchi walikuja kujifunza juzi kati.