Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20220717_140942.jpg
 
Nafikiri ungedili na matatizo ya nchini kwako kwanza ambapo bado ni basic needs kama chakula, maji, choo na hata nguo, Afrika Kusini inazalisha >49 000 MW of electricity vs Kenya <2 000MW , hizo ni Dunia mbili tofauti, AK ni level nyingine kabisa, Johannesburg Stock Exchange peke yake ni one of the largest in the World (namba 16 Duniani), AK inashinda nchi nyingi tu za Ulaya kiuchumi.

Na hiyo 49 000 MW ya umeme bado haiwatoshi kukidhi mahitaji yao ya kiuchumi, hapa kwetu kujenga tu MW 2000 za umeme bado kuna watu wanatupiga vita eti kutunza miti, na ni watu wakubwa wenye maamuzi Serikalini, leo hii Nyerere dam inahujumiwa siajabu kwa makusudi kabisa, …
Hata ujitetee vipi, nchi ambayo ina 8 hour power cuts kila siku ni nchi la ujinga sana na sioni kwa nini wanaitwa the most developed ikiwa hata kuzalisha umeme kukidhi mahitaji yao kunawashinda. Unajua wanapoteza productivity ya aina gani wakati wa powercuts? Wanapoteza billions of dollars wakati wa powercuts.
 
Sasa mkuu ushauri wako ni upi?. Serikali imeshusha Bei ya kulinganisha umeme vijijini hadi TSH 27,000 ili kuwezesha wananchi wengi kuingiza umeme majumbani mwao. Kama mtu Hana uwezo wa kulipia hata hiyo pesa, ni wazi kwamba hawezi kulipia bili za kila mwezi kwa hiyo hata TANESCO wakiunganisha Bure, hawawezi kupata faida.

Mkuu, unalosema kwa TANESCO unapaswa pia ulise kwa wizara ya maji, walishafikisha maji mitaani, pia waingize majumbani ili watu watumie maji kwa wingi wapate faida.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yaani nilikuwa namuuliza Tony ikiwa umeme unakwenda vijijini tu pasipo kuunganishia watu lengo Lao ni lipi?

Maana yake umeme hauwezi kupita eneo pasipo kuunganishia watu.Yaani utoke DAR hadi MWANZA ,kutokea mjini hadi Magu, Simiyu, hii miji hadi vijijini ni kusimika tu nguzo pasipo watu kupata umeme.?

Tony anasema kufanya hivi ni ujinga. Akili ni ipi sasa hapa. Ninajaribu kuwaza jinsi wanavyokataa data za waliounganishiwa umeme kwamba ni asilimia 33%

Kama kote huko umepita hawaoni ni ngumu kupitisha nguzo za umeme pasipo watu kuunganishiwa?.Ushauri wangu kwa Serikali na shirika lake la TANESCO wanafanya kazi nzuri sana waendelee hivyo hivyo maana target yao ipo karibu kufikiwa hizi kelele za majirani zisiwasumbue wasubiri tu kuuziwa umeme.
 
Katika kijiji kuna vitongoji,unaweza kuta kijiji chenye umeme 3/4 ya vitongoji vyake hawajaunganishwa ,Ndio mana wizara inaenda kwa awamu
Ni sawa lakini me ninakataa kwamba tuko asilimia 33.
 
Train yenu ya abiria inavutwa na locomotive hamna EMU na hata train yenu ya mizigo inatumia locomotive sasa nataka unithibitishie kuwa hiyo sio passenger train bali ni ya mizigo ujibu swali uache kurukaruka hapa max speed 100kph.
Wacha upuuzi mzee. Nani amekuambia kwamba tuna locomotive aina moja? Tuna locomotives aina tofauti tofauti. Sijui unapingana na mimi kwa nini? Tazama hii video. Hio ya pili ndio passenger locomotive. Hizo zingine tatu ni cargo locomotive.

Cc Geza Ulole Sama boy 255
Hata horsepower ni tofauti. Nipo sure ya cargo ina horsepower kubwa kushinda ya passenger.
 
Hata ujitetee vipi, nchi ambayo ina 8 hour power cuts kila siku ni nchi la ujinga sana na sioni kwa nini wanaitwa the most developed ikiwa hata kuzalisha umeme kukidhi mahitaji yao kunawashinda. Unajua wanapoteza productivity ya aina gani wakati wa powercuts? Wanapoteza billions of dollars wakati wa powercuts.

Wanazalisha > 49 000 MW of electricity lkn bado hauwatoshi, wana shida ya umeme ni kweli, lkn huwezi kuicheka au kuikejeli AK na kuiita nchi ya ujinga wakati nchi yako hata 2000 MW hakuna!
 
Indeed SA is the most developed Nation in Africa,
The difference between Kunya and South Africa considering power outages is that South Africa consumes more power than it generates,
South Africa produces over 50,000 MW na bado hautoshi, Kenya produces only 2,000 MW (see the difference?)
Reason : Massive Industries in SA consume a lot power, plus huge mines kule Witwatersrand.
I don't care whether South Africa produces a lot of power or not. Nchi yoyote yenye 8 hour power cuts per day is a failed state. Period. Sitaki hadithi mingi za Abunuasi, sijui eti wanaproduce a lot of power. 8 hour power cuts inaonyesha ni jinsi gani hio nchi sio developed na ni failed state. Ujinga kama huu wa 8 hour black out huwezi kuusikia ndani ya developed countries kama za Europe au Northern America.
 
Back
Top Bottom