Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Naombeni kueleweshwa hapa hasa kwenye kipengele cha umeme.Huitaji akili kugundua hizi data zimepikwa kutoka nchi gani.
Sawa nimekuelewaAnamaanisha Kilimanjaro KIA! Frequency ilipungua kipindi cha covid19 na baada!
Wamepigwa



Naombeni kueleweshwa hapa hasa kwenye kipengele cha umeme.
Tanzania tuna vijiji 12,000.Vijiji 10,000 tayari vina umeme, bado vijjji 2,000 tu.
Swali langu hawa wapiga takwimu wametumia vigezo gani kuweka asilimia 33% za kuunganishwa umeme wakati karibia tusambaze Tanzania nzima?
Hapo umeme unakuwa unaenda wapi, TANESCO wanawawashia wanyama?