Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

DAILY DOSAGE (1×7)
images-25.jpg
images-33.jpg
FB_IMG_16550243613880044.jpg
FQ1v2WRXsAAX7zT.jpg
JamiiForums-304346782.jpeg
 
Nimeshakueleza mara nyingi kwamba watu wengi ambao wanaandikwa kazi na hizi international companies ni Wakenya. Hii WHO ambayo inakuja Kenya ni UN organisation na itaajiri watu 150 na kati ya hao lazima kuwe na wapishi, drivers, secretaries na kadhalika na wengi wao watakuwa ni Wakenya. Kwenye speech ya rais Uhuru jana kwenye hafla hii alisema kwamba WHO itaajiri watu 150 mwanzoni kisha itaongeza idadi ya wafanyikazi kadri mahitaji yatakavyoongezeka.
Nani kakudanganya kuwa wataoajiriwa ni wakenya tuu unaijua vizuri recruitment system ya WHO.
 
Magufuli ali lie nn?

Hakujenga electrifitried SGR?

hakujenga BRT?

Hakujenga bus terminals nchi nzima?

Hakujenga masoko ya kisasa nchi nzima?

Hakujenga meli kubwa na za kisasa kuliko zote East and Central Africa?

Hakujenga JNHPP?

Hakujenga ports?

Hakujenga Ikulu ambayo nyie mpk leo rais wenu anakaa kwenye choo cha mkoloni?

Hakuijenga Dodoma inayowapea stress kila kukicha?

Hakusambaza umeme kila kijiji kwa bei rahisi?

Hakupeleka maji sehemu ambazo zilikuwa na shida ya maji hususan vijijini?

Hakujenga cable stayed bridges?

Hakujenga biggest airport in East and Central Africa?

Hakujenga hospitali za kisasa nchi nzima?

Hakujenga flyovers?

Hakujenga interchange?

Hakujenga barabara za kiwango nchi nzima?

Hakujenga madaraja nchi nzima?

Hakununua ndege za kisasa na kubwa?

Hakukarabati mgr? Magufuli aliongopa nn?

Magufuli na Uhuru nani muongo?

Uhuru aliwaahidi atajenga electrifitried SGR, alijenga?

Uhuru aliahidi laptop kwa kila mwanafunzi alitoa?

Uhuru aliahidi kumaliza njaa Kenya imeisha?

Uhuru aliahidi kupunguza tatizo la ajira, je alipunguza?

Uhuru aliahidi kuondoa ma slums Kenya je kayaondoa?

Tell me, Magufuli na Uhuru nani muongo
"Tunajenga na hela za ndani" 😂😂😂

Hebu nionyeshe mahali Uhuru alisema atajenga electric sgr

Nionyeshe mahali alisema atamaliza slums Kenya. (Na mbona Magu hakumaliza uswazi zinazokaba jiji lenu koo?)

Where did he promise to end hunger in Kenya?

Wacha kuweweseka bongolala.
 
Nimeshakueleza mara nyingi kwamba watu wengi ambao wanaandikwa kazi na hizi international companies ni Wakenya. Hii WHO ambayo inakuja Kenya ni UN organisation na itaajiri watu 150 na kati ya hao lazima kuwe na wapishi, drivers, secretaries na kadhalika na wengi wao watakuwa ni Wakenya. Kwenye speech ya rais Uhuru jana kwenye hafla hii alisema kwamba WHO itaajiri watu 150 mwanzoni kisha itaongeza idadi ya wafanyikazi kadri mahitaji yatakavyoongezeka.
Achana na huyo. Availability of skilled labour is one of the reasons why these organisations are trooping to Kenya sasa yeye Anasema nini
 
waliambiwa "Rafuzi nyenu si ya ki tanzania..."

ni rafuzi ama lafudhi...

pia mi nakumbuka neno 'lafudhi' pale high-school katika somo la kiswahili riwaya..

Ubaya wenu ni kwamba hamkubaliani na data kama hizi. Ubishi za kijinga sana. Sasa toa povu basi

Hahahaha,
How I like these mbukinya stats,
Imagine by 2020 Tz had 10K out of 12K villages electrified through REA project, by 2024 we will have all the villages across Tz electrified.
Anyway keep those stats as they makes you feel good
 
waliambiwa "Rafuzi nyenu si ya ki tanzania..."

ni rafuzi ama lafudhi...

pia mi nakumbuka neno 'lafudhi' pale high-school katika somo la kiswahili riwaya..

Kwanini wakenya mkiambiwa hamuongei kama Watanzania mnakasirika?

Kuna mtanzania aliigiza accent ya kikenya ikafika twitter eti wakenya wakawa wanashangaa kumbe kuna accent ya kitanzania na ya kikenya 😂😂😂

Sasa ninyi mlifikiri mnaongea kama sisi? Na hicho ndio kitu hao Dada zenu kimewauma, mnapigana muonekane kama Watanzania lakini situation inawakataa
 
Dude that is a stale data alot of big investments zimefanywa kwenye electrification in Tz for the past 3 years.
Access to electricity in Tz for rural areas is >85% and for urban centres ni 95% kama hutaki kalilie chooni hatutishiki na vidata vya mchongo.
Kwani kuna siku mewahikubaliana na data yoyote hapa ndani? Si mnazipinga kila siku?

Alafu mlivyowajinga you can't even take a minute to think! Your government says that the total number of connected households is 2.7m and at the same time eti electricity access rate yenu ni 85%! How sensible is this?

Assuming that the average number of people per household is 6 (which is even a higher figure), how does this translate to 85% access rate?
 
Kwanini wakenya mkiambiwa hamuongei kama Watanzania mnakasirika?

Kuna mtanzania aliigiza accent ya kikenya ikafika twitter eti wakenya wakawa wanashangaa kumbe kuna accent ya kitanzania na ya kikenya 😂😂😂

Sasa ninyi mlifikiri mnaongea kama sisi? Na hicho ndio kitu hao Dada zenu kimewauma, mnapigana muonekane kama Watanzania lakini situation inawakataa
tanzania itabaki kua tanzania, kenya itabaki kua kenya.. kila mtu abambane na hali yake mchizi wangu.......
 
Back
Top Bottom