Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Ni mradi mzuri.
Ni mradi mzuri.
Hawa ni moja wapo ya kundi la wafanyakazi hewa.Watu wasiofika ht 2% wanakula nusu ya mapato ya serikali...hii sio sawa.
Tunaserikali yenye wafanyakazi wengi wasio kazi za kufanya na wengine wanaproduce less than 20%.
Infact nna washkaji zangu wapo serikalini now wame abandon post zao ili wafanye mambo yao, wengine wapo Moro na Singida wanalima, wengine wapo Dar wana fanya mishe zao and still wanapata salary km kawaida. Ukiwauliza wanakwambia Mzee alibana sana wacha wapumue. na bado wanalilia mishahara ipande.
Naunga mkono hili, tena liwekwe kwenye katiba kwamba wataongezewa mishahara pale uzalishaji unapoongezekaWewe akili zako zimekojolewa na mbwa ...watumishi walipwe vizuri wakati awafanyi kazi yoyote zaidi ya upumbavu. Mishahara ya wafanyakazi wa serikali ni lazima iwe asilimia 25% tu ya makusanyo ya mwezi ...ili nchi iweze kupata maendeleo ya kweli kwa haraka.
Mkuu tafadhali kapitie quantity theory of money, tuje tubonge kidgoOngezeko la mishahara linasaidia kuongeza money supply kwenye economy hivyo Tz kwa miaka mitano iliyopita money supply was below recommended margins. Aliyesoma uchumi atajua maana ya broad and narrow money supply M1 M2 and even M3
Mnyonge mnyongeni aki yake mpeni mkuu unajua awamu iliyo pita inflation ilikuw stead sana pamoja na badhi ya piza kupanda kwa kipindi flani lakini over all inflation ilikuw vyema,mfano kwa miaka 5 nauli za usafiri hazikubadilika kabisaMishahara haijaongezwa kwa miaka zaidi ya 5 huku inflation ikiongezeka kila mwaka pia gharama za maisha zikiendelea kupanda kila mwaka. Wakati JPM anachukua nchi mafuta yalikuwa sh 1300 kwa lita leo ni sh 3300 bado unataka mishahara ibakie hapo hapo tuu. Suala la kuongeza Mishahara si suala la mapenzi ya mtu ni takwa la kusheria pia husaidia kuchochea ukuaji wa uchumi meaning people will be able to afford vitu vinavyozalishwa viwandani hivyo kusaidia kuongeza production ambayo itapelekea kuongezeka kwa ajira zaidi na kiasi cha makusanyi ya kodi kuongezeka pia.
Kwani Kenya Kuna SGR?, tunaomba muache kushusha hadhi ya neno "SGR" tafadhali Sana, pamoja na "technical specifications", SGR inabema maana zaidi ya hiyo.We endela kufanya wishful thinking. SGR ya Tanzania haifiki bandarini kama ya Kenya View attachment 2254667





Nimefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 15, sidhani Kama unanizidi kuzielewa hizo Sheria na taratibu za ajira serikalini, nadhani unachonizidi ni ubinafsi na kulalamika tu.Unaelewa maana ya mtumishi wa serikali au napoteza wakat tu hapa?kuna sheria za kazi na taratibu za muajiri wewe unaleta hard feelings naona
Kwani Azory Gwanda alitokea kaskazini?, Nilikuambia kwamba Magufuli alikua ni mtu katili, kiburi na alikua anakandamiza uhuru wa kisiasa, lakini hakuwa akilenga jamii Fulani, vitendo vyake vya kikatili walifanyiwa watu wote bila kujali kabila Wala jamii Fulani, kwanini umewekeza nguvu nyingi huko Kaskazini?.siyo Sabaya tu, kuna mtangulizi wake pia DC wa Hai Bwn Gelacius Byakanwa!
Mzee maoni yangu si lazma uyajibu ki-shallow jibu kwa points! Jamaa yako alikuwa mkabila aliyepitiliza na roho ya ajabu utafikiri alipewa guarantee ya kuishi milele! Huu
Inanishangaza kutojali maovu waliyotendewa wengine. Hawakuwa Watanzania nn? Azory Gwanda wa Mwananchi aliyepotezwa mwili wake upo wapi?
BTW nafurahi kunibatiza Umachame! Sioni ubaya maana ni Watanzania pia! Mama yupo Biharamulo kusimikwa uchifu! Washam-denounce JPM na sera zake za Usukumagang!
Hizo ni gari mbili tofauti ilo la kwanza ndiyo ulilokuwepo ndani ni kipanya chenye fangasi na kutu na kimejaa kungunihivi kwako. hii sasa inamaanisha nnView attachment 2254570




Uchafu uchafu uchafu hata hiyo uliyo post ni kipanya ila siyo ile uliyo panda ni chafu zaidi nionyeshe hizi rangi kwenye hizo gari na hizo finger print za vidole za maShuttle kwetu ama SA, inamaana kua kidude kinabeba tu mtu kumi. hivi hakuna kufinywa
View attachment 2254605View attachment 2254606View attachment 2254607View attachment 2254608










Ilo siyo basi ni kipanya tu kuita huo uchafu aliopost ni basi ni kutukana mabasiHamna luxury yoyote hapa, na buses zenye choo wasemeje?
sio luxury hasa.. ata nimekosea, shuttle ndo jina sahihi maana starehe za luxury hupatikana kwenye mabasi


wakunya bwana 

jina zuri sijui SHUTTLE kumbe ndiyo umepanda kipanya chenyewe kwa jina la tanzania







nikama miji yao utasikia majina makubwa sijui the berrgam, sijui kingwashington ,sijui bangladesh , sijui upper hillton kumbeee ni maslum ya kufa mtu...... Tony254 njoo uone shuttle huku mimi nilijua ni bonge la buses kumbe ndiyo " VIPANYA"Kakuingiza chaka hata hiyo pro box siyo aliyosafiria, kasafiri na kipanya kichafu chenye kutu hiki hapa ...kama mnabisha nionyesheni hiyo point na rangi ya pati kwenye hiyo garinilitaka kushangaa yani probox isionekane ingekua maajabu sana![]()
Kabla ya kujua kuwa kenya nzima watu wanaishi kwa slum na kabla ya kujua kuwa kuna slum inaitwa kibera nilikuwa nasikia watu wanasema hapa tanzania haya maneno sikujua yametokana na kenya na ubovu wa maisha ya slamu maneno yenyewe utamsikia mtu anasema ,..nayapeleka maisha "kibera kibera mwanangu " hali si hali ....kumbe ndiyo nikaja kujua kibera ni slum hatari kama jehanam huko kenyaeti enhhh na hawa pia ni biashara haramu hvi ww unaniona mm boya sana
View attachment 2254681View attachment 2254683View attachment 2254684View attachment 2254685


Huyu jamaa niliwaambia mniachie mm....kama nyinyi mnavyo mkimbia ndivyo yeye anavyo nikimbia mm hua nikimjibu tu anazima data na kupotea jf masaa 5 ndiyo anakuja tena wewe chunguza utagundua hilo kama sasa nilipo mjibu utagundua kakimbia utamuona tena hapa hadi baadae au keshoMkuu, kwa faida ya huu Uzi, tunashauri kuacha kujibu posts za huyu jamaa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Endelea kujiliwaza kwa uongoKwani Kenya Kuna SGR?, tunaomba muache kushusha hadhi ya neno "SGR" tafadhali Sana, pamoja na "technical specifications", SGR inabema maana zaidi ya hiyo.
SGR lazima iwe na sifa zifuatazo;
1)Speed
2)Modernity
3) Beautiful
4)Electricity
5)Continuous welded
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
So itabidi mtabomoa bomoa kila kitu in the name of sgr kufika port? Mgr imebana space zote reli inaeza pitia.Mbona unashindwa kuelewa? SGR itatumia njia ya MGR kuingia bandarini na MGR imetafutiwa access nyingine ya kuingia bandarini near Kamata station ambapo compensation imeshafanyika na eneo kuwa cleared for ujenzi
Maana ni kwamba kumekuwa na swap ya access route to the port between SGR and MGR.