The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,183
Usiwe mjinga na usikariri,unaelewa hata unachoongea? 👇Na kizuri zaidi alijitaidi kulinda mfumuko wa bei
Usiwe mjinga na usikariri,unaelewa hata unachoongea? 👇Na kizuri zaidi alijitaidi kulinda mfumuko wa bei
Uharibifu wa mashamba ya gharama (greenhouse n irrigation systems) au kwa vile Chato hamna, hotelI, club billicanas na Tanzania Daima je? Kisa Mbowe mpinzani?Mkuu usipiteze muda wako, ule ulikua ni uzushi Kama uzushi mwengine, huwezi kupata ushahidi, miradi mingi Sana tulikosa mikopo na Magufuli aliamua kutumia pesa za ndani, mfano ni Barabara ya Morocco - Mwenge, daraja la Kigongo -Busisi lenye thamani ya TZS 700B, reli ya SGR kipande cha kwanza na Barabara nyingi za mikoani zilijengwa na bado zinaendelea kujengwa kwa pesa za ndani baada ya kukosa mikopo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Toa ujinga wako wewe,alijaza watu wa kabila lake kuanzia DSO,RSO,DED na DC nk ..Mkuu, hili la kwamba Magufuli alikua akijali watu wa kabila lake ulilijua lini?, Mkuu sidhani Kama unamtendea haki. Magufuli alikua na mapungufu mengi Sana, katili, kiburi, aliendesha nchi kwa mkono wa chuma, alisiriga Katiba, hakuwa akisikiliza ushauri, na mengine mengi, lakini hili la ukabila, ninapingana na wewe, Kama unaviashiria vya ukabila wa Magufuli, ebu tuwekee wazi mkuu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Shida akai stoner....maboyz hawamuamini.Ni njia tu ya kusaka kuraHuyu jamaa ambaye anawania kiti cha urais na anasema anataka kuhalalisha bangi Kenya kumbe amesoma sana kama Wazimu.
Nje wapi alikokubarika ilhali hata tuzo yeyote ya appreciation hajawahi pata?Hayo ni mawazo yako mkuu na tunayaheshimu ila jpm alikubalika ndani na njee ya tanzania na ilo lipo wazi bila chenga
Kwakua umezungumzia Mishahara let me give u the numbers.Labda sijui heshima manake nn,
Naona kuna mahali umenitaja na kusema suala la mishahara, Kuna mikataba ,sheria na utaratibu ambazo zipo na kitaalamu zinatambulika,suala la kuongeza mishahara halihusiani na ujenzi wa madaraja ama ujenzi wa aina yoyote ile...Sasa bad enough unapogusa maslahi ya watu usitegemee ueleweke watakuelewa wale ambao hawana direction na maisha yao tu.
Raisi ni mwanasiasa wako watu wanaofanya kazi lazima awathamini Jpm hakua anaheshimu wafanyakazi alikua anaamini yeye mwenyewe ndio anaweza kufanya kazi,Kitu ambacho sio kweli,Binafsi naweza sema alijitahidi kufanya kazi ila kipengele icho sijawahi kumkubali hata siku 1
We jamaa huwa ni kilaza tu wewe, no wonder watu wote wanakudharau humu ndani, unaropoka alaf still unapost miradi aliyoitengeneza Magufuli .. kwa bahati mbaya sasa hakuna unaweza post ambacho tz tunajivunia ambacho kwasasa kisiwe kimefannywa JPM, taja barabara, taja masoko,taja stendi, taja Afya, taja utalii, taja Maji, taja umeme na kila kitu Magufuli ndio Mwanaume alithubutu kutekeleza hivyo vitu kwa ukubwa zaidi ya Raisi yeyote yule kuwahi kutokea hapa TzUkisikia sifa za Sukuma gang wanavyosimuliana kwa mihemko hapo unaweza dhani Mwendazake alifanya vitu spesho Sana kumbe wanahemka na ka mradi ka bandari la bil.35 😆😆😆😆..
This time around Samia is doing all that bila excuses zozote za kijinga..Eti sikupandisha Salary Kwa sababu najenga miradi..
Samia alivyoingia tuu alipandisha madaraja watumishi wote waliostahili na miradi ilisonga,katoa maajira kwa maelfu kwa maelfu...
Kwa mda huu tuu mfupi Rais Samia kafunika legacy zenu zote kila sekta..kuanzia michezo Hadi Miundombinu na anajua kutafuta pesa 👇
Wewe wacha kuvuta bangi. Kenya wakati huo hata kama tulikuwa na uchumi mbovu bado tulikuwa nchi imara sana kiusalama. Moi alikuwa hana ujuzi wowote wa kiuchumi lakini area moja ambao alikuwa perfect ni eneo la usalama. Nchi ya Kenya wakati wa Moi ilikuwa ni salama sana. Sisi ndio tungewapiga, nyie hamngeshinda hio vita. Pamoja na uchumi mbaya, kiusalama Kenya ilikuwa dhabiti.Huyo dictator aliwekwa na nani madarakani?, Sasa upuuzi wenu wa ndani kutokana na maamuzi yenu ya kijinga ndio unayatumia Kama kisingizio?, Ni sawa na mlevi ajitetee kwamba ameshindwa kujenga kununua Nyumba kwasababu alikua akimaliza pesa yake kwa kununua pombe, Sasa hiyo ni sababu ya msingi?, mbona wakenya hamkutorokea Tanzania kuja kuomba msaada wa kumpindua Moi Kama walivyokuja waganda, Kabila, John Garang na waafrika wengine?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Umesema maneno mazuri sana BroKwakua umezungumzia Mishahara let me give u the numbers.
1. Mama kapandisha mishahara kwa 1.59T. Now wages bill inasoma 9.7T kwa mwaka.
2. Leo Mwigulu wakati ana table bajeti yake amesema 9.09T ni ya kulipia madeni.
3. Ukichukua madeni na mishahara total ni 18.79T kwa mwaka or average ya 1.57T kwa mwenzi just kwa mambo hayo mawili.
4. Nenda kaangalie average ya mapato ya TRA kwa mwezi then uone km inakidhi hayo mambo mawili.
5. So where do we get pesa za maendeleo na matumizi mengineyo?kifupi from now onward we cant finance miradi kwa pesa za kodi(ukweli mchungu).
8. How come watumishi wa serikali ambao hawafiki ht milioni mgawane nusu ya kodi zetu za watanzania baki 54M?
9. Kwann ile 1.57T ktk wages bill isingemalizia bwawa la nyerere or reli ASAP then tulipane mishahara kwa faida itakayopatikana?
10. Nway kupanga ni kuchagua. Mimi ni muumini wa nitoke jasho now, nijinyime now ili wanangu na wajukuu wasijetoa lawama na mimi niishi kwa raha mushtarehe ktk uzee wangu, hii kauli mbiu la lamba asali, kula bata maisha ndo haya haya does go well with my soul.
Mkuu, wafanyakazi serikalini hawazidi 1M, wakulima ni zaidi ya 30M hapa Tanzania, mbona sisikii ukizungunzia maslahi ya wakulima ambao ni zaidi ya 70% ya watanzania badala yake unazungumzia maslahi ya watu 1M ambao ni chini ya 2% ya watanzania wote?, hivi unadhani nchi hii inajengwa na wafanyakazi wa serikalini pekee?.Sasa unapombana mtu aweze ku deliver lazima umboreshee maslahi yake,No wonder SSH kaamua kutumia iyo nafasi kurekebisha hayo madudu,
Kujenga nchi nani aliewazuia?kwani kazi ya raisi ni zipi mbona watz tunavichwa vigumu sana, na nani aliesema wewe ukijenga nchi watu wengine wagande wakungoje wewe ufanye yako..Ndio maana nchi za hovyo nataja kama (Russia) unakuta budget kubwa kwenye majeshi alafu hawana mambo ya maana kwenye huduma za kijamii,hivi ni vipaumbele tu vya aliemadarakani sio lazima sana viwe vipaumbele vya watu anaowaongoza
Huyo jamaa havuti bangi. Anadanganya watu tu. Ni njia tu ya kutafuta kura kutoka kwa vijana.Shida akai stoner....maboyz hawamuamini.Ni njia tu ya kusaka kura
Rudisha ongezo la mshahara ulilopewa basi!Kwakua umezungumzia Mishahara let me give u the numbers.
1. Mama kapandisha mishahara kwa 1.59T. Now wages bill inasoma 9.7T kwa mwaka.
2. Leo Mwigulu wakati ana table bajeti yake amesema 9.09T ni ya kulipia madeni.
3. Ukichukua madeni na mishahara total ni 18.79T kwa mwaka or average ya 1.57T kwa mwenzi just kwa mambo hayo mawili.
4. Nenda kaangalie average ya mapato ya TRA kwa mwezi then uone km inakidhi hayo mambo mawili.
5. So where do we get pesa za maendeleo na matumizi mengineyo?kifupi from now onward we cant finance miradi kwa pesa za kodi(ukweli mchungu).
8. How come watumishi wa serikali ambao hawafiki ht milioni mgawane nusu ya kodi zetu za watanzania baki 54M?
9. Kwann ile 1.57T ktk wages bill isingemalizia bwawa la nyerere or reli ASAP then tulipane mishahara kwa faida itakayopatikana?
10. Nway kupanga ni kuchagua. Mimi ni muumini wa nitoke jasho now, nijinyime now ili wanangu na wajukuu wasijetoa lawama na mimi niishi kwa raha mushtarehe ktk uzee wangu, hii kauli mbiu la lamba asali, kula bata maisha ndo haya haya does go well with my soul.
ALL THE GREAT NATIONS WERE BUILT BY PEOPLE WHO PREPARED THEIR GENERATION FOR THE FUTURE and NEVER WORRIED BY THEIR CURRENT WELL BEING.
Wewe ni fala na hao mnao mnaojazana ujinga huku mkikenua,ntaendelea kuwapa vitasa hadi mpasuke kwa kuchukia.We jamaa huwa ni kilaza tu wewe, no wonder watu wote wanakudharau humu ndani, unaropoka alaf still unapost miradi aliyoitengeneza Magufuli .. kwa bahati mbaya sasa hakuna unaweza post ambacho tz tunajivunia ambacho kwasasa kisiwe kimefannywa JPM, taja barabara, taja masoko,taja stendi, taja Afya, taja utalii, taja Maji, taja umeme na kila kitu Magufuli ndio Mwanaume alithubutu kutekeleza hivyo vitu kwa ukubwa zaidi ya Raisi yeyote yule kuwahi kutokea hapa Tz
Watu wasiofika ht 2% wanakula nusu ya mapato ya serikali...hii sio sawa.Mkuu, wafanyakazi serikalini hawazidi 1M, wakulima ni zaidi ya 30M hapa Tanzania, mbona sisikii ukizungunzia maslahi ya wakulima ambao ni zaidi ya 70% ya watanzania badala yake unazungumzia maslahi ya watu 1M ambao ni chini ya 2% ya watanzania wote?, hivi unadhani nchi hii inajengwa na wafanyakazi wa serikalini pekee?.
Mkuu, sisi wote tulishawahi kuitumikia serikali katika nyadhifa tofauti, Kuna tafiti zilionyesha kwamba, wafanyakazi wengi serikali wanapaswa kulupwa 30% ya kile wanacholipwa kwasababu wengi wanaofanya kazi/wanazalisha 30% ya kile wanachopaswa kuzalisha.
Tafiti hizo zilizofanywa katika utawala wa Kikwete zilisema kwamba, utendaji wa kazi serikali hauwezi kuongezeka kwa kuongeza mapato, Bali kwa kuweka usimamizi mzuri kwasababu hakuna utamaduni wa kupenda kufanya kazi kwa kujituma.
Mkuu, mishahara imekua ikiongezwa kila baada ya vipindi kadhaa toka enzi za Nyerere, lakini ufanisi maofisini haukuwa uliongezeka *accordingly". Lakini pale ambapo usimamizi umeongezeka, basi ufanisi umeongezeka kwa Kasi Sana, kumbuka uongozi wa Augustino Mrema, Keenja alipokabidhiwa Jiji la Dar es Salaam, na Utawala wa Magufuli, hiyo ni baadhi tu ya mifano.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nchi ilikuwa ime stack ,kila sehemu madeni yamejaa,miradi inasua sua hakuna pesa, uchumi umesorora na upuuzi mwingine..Kwakua umezungumzia Mishahara let me give u the numbers.
1. Mama kapandisha mishahara kwa 1.59T. Now wages bill inasoma 9.7T kwa mwaka.
2. Leo Mwigulu wakati ana table bajeti yake amesema 9.09T ni ya kulipia madeni.
3. Ukichukua madeni na mishahara total ni 18.79T kwa mwaka or average ya 1.57T kwa mwenzi just kwa mambo hayo mawili.
4. Nenda kaangalie average ya mapato ya TRA kwa mwezi then uone km inakidhi hayo mambo mawili.
5. So where do we get pesa za maendeleo na matumizi mengineyo?kifupi from now onward we cant finance miradi kwa pesa za kodi(ukweli mchungu).
8. How come watumishi wa serikali ambao hawafiki ht milioni mgawane nusu ya kodi zetu za watanzania baki 54M?
9. Kwann ile 1.57T ktk wages bill isingemalizia bwawa la nyerere or reli ASAP then tulipane mishahara kwa faida itakayopatikana?
10. Nway kupanga ni kuchagua. Mimi ni muumini wa nitoke jasho now, nijinyime now ili wanangu na wajukuu wasijetoa lawama na mimi niishi kwa raha mushtarehe ktk uzee wangu, hii kauli mbiu la lamba asali, kula bata maisha ndo haya haya does go well with my soul.
ALL THE GREAT NATIONS WERE BUILT BY PEOPLE WHO PREPARED THEIR GENERATION FOR THE FUTURE and NEVER WORRIED BY THEIR CURRENT WELL BEING.
Baadhi ya Mambo hapa ninakubaliana na wewe, hasa yanayohusu Chato, lakini hayo ya maduka ya kubadilishia pesa Arusha, serikali kupitia Gavana wa Benki kuu aliyatolea maelezo vizuri Sana, Kama hukupata bahati ya kusikiliza bado unaweza kutafuta "video clips YouTube"Uharibifu wa mashamba ya gharama (greenhouse n irrigation systems) au kwa vile Chato hamna, hotelI, club billicanas na Tanzania Daima je? Kisa Mbowe mpinzani?
Je uporaji wa fedha za wenye bureau de Change haswa Arusha na Moshi? Au kwa vile Chato na Mwanza hamna?
Huku akiharibu tourism Industry Arusha na Moshi kwa wivu, alikuwa busy kujaribu kuhamishia kizuri hicho Chato! Mara ajenge ferry Chato, Mara aanzishe Mbuga Chato! Mara ajenge international Airport Chato, mara alazimishe TANAPA kujenga hoteli Chato! Viko wapi?
Kuna madai mpaka leo kwa wale account zao zilifungwa hela zikachukuliwa na fedha hazijulikani zilienda wapi! Doto James mpwa wake katibu Mkuu Hazina main culprit!Baadhi ya Mambo hapa ninakubaliana na wewe, hasa yanayohusu Chato, lakini hayo ya maduka ya kubadilishia pesa Arusha, serikali kupitia Gavana wa Benki kuu aliyatolea maelezo vizuri Sana, Kama hukupata bahati ya kusikiliza bado unaweza kutafuta "video clips YouTube"
Mambo mengi unayoyasema ni shutuma ambazo hakuna uhusiano wowote na kuwapendelea wasukuma, hata Kama ni kweli (90% huna ushahidi), lakini hakuna uhusiano na ukabila, kwasababu huko Arusha pia Kuna wasukuma wenye hayo maduka ya kubadilishia pesa
Kwa ufupi mengi unavyosema ni maneno na shutuma ambazo kila rais aliyepo madarakani lazima atapakwa matope, Kama ambavyo Samia anavyopakwa matope kwamba anapeleka pesa nyingi Zanzibar, kwamba anaendeshwa na Kikwete, kwamba anatembea na vijana wadogo kimapenzi, wenye akili wanajua kwamba hizi ni shutuma ambazo nyingi hazina nguvu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa kiasi kikubwa fedha za miradi ya maendeleo imekuwa ikifadhiliwa na grants na loans tangu zamani.Kwakua umezungumzia Mishahara let me give u the numbers.