Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe joto la jiwe huwa unaamini kabisa kwamba hakuna ukabila Tanzania japo Watanzania wenzako wanakueleza kwamba upo. Kwa nini unajitia hamnazo?
Kwani jukumu la kusema Kenya Kuna ukabila ni la baadhi ya watu wachache, Kuna tafiti za kijamii ndio zinapaswa kuonyesha Hilo, ambapo zinapita mitaani na kuuliza wananchi, zaidi ya 75% ya wananchi wakisema Kuna ukabila, ndio inakubalika

Sasa Kama Kuna watu wachache kwasababu zao binafsi wanasema hivyo, hayo ni maoni Yao. Unadhani ukabila unaota Kama "mushrooms?", Kwamba miaka yote huko nyuma Tanzania imekua ni nchi Haina ukabila, lakini ghafla ameingia kiongozi usiyempenda, ghafla tu Kuna ukabila Tanzania

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwani yeye ni rais wa kwanza kuongeza mishahara?, Labda Kama ajira ulianza kipindi cha Magufuli, lakini Kama ulianza nyuma ya Magufuli, utakumbuka Kikwete alikua akipandisha mishahara kila mwaka, na hakuna lolote lilisaidia kwa kuongeza mishahara, badala yake upigaji na rushwa serikalini viliongezeka.

Kaka, ni lazima serikali kutoa mishahara kulingana na uwezo wake, sio kutokana na matakwa ya wafanyakazi, yapo Mambo mengi muhimu zaidi nchi, ni muhimu yapatikane kwanza, hivi Kama ni wewe utaacha kununua madawa na vifaa Hospitalini ili ulipe mishahara?, au utaacha kushughulikia na upatikanaji wa maji na chakula nchi ili kulipa mishahara ya watumishi serikalini kwanza?, hebu punguzs ubinafsi?

Kaka, ajira serikalini hakuna pesa nyingi, Kama unadhani vipi, wewe jiachie na uingie mtaani upambane, wacha kulakamika wakati serikali haina uwezo huo unaotaka, hata Hilo ongezeko dogo aliloongeza, Kamwe so lolote kutokana na gharama za maisha zilivyo kubwa, bado utaendelea kulakamika kila siku.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Serikali haina uwezo nani amekudanganya,umeona wap nikilalamika?Tatizo wewe ndio mbinafsi kwasababu unaona kuongezwa mishahara ni hisani au matumizi mabaya wewe umesoma shule wapi kwani?

Watu walisubiri for 7years bila nyongeza kwahyo ulitaka waendelee kusubiri hadi lini
 
Nimependa huyu kijana anajiiita 'Explore with Bertin' anavyoielezea na kuichambua miradi ya Tanzania..tena kwa kingereza...

Mfano hapo chini kaielezea vzr stendi ya magufuli...kumbe bado haijaisha na wanajenga flyovers mbili hapo hapo mbezi..

JPM alikuwa controversial kinoma humu wengi wanaomshangilia kwa nguvu ni jamaa wanaotoka kanda ya ziwa yaani beneficiary wake in one way or another! Ukitaka ujue true colours za JPM kuwa mtu wa nje alafu itikadi za kichama uwe upinzani haswa CHADEMA! Si mtu aliyeheshimu hard working and business accumenship!

Jamaa wa hii lodge

Aliifunga na kukimbilia SA!
Mkuu upo biased Sana kwa Magufuli, hivi watanzania wote waliokua wanamkubali ni watu toka Kanda ya ziwa?, Waafrika wote waliomlilia, mfano PLO wa Kenya, pia alifaidika kwa mujibu wako?, Rudi YouTube na angalia clips za wakenya walivyokua wanamkubali, wote hao ni wajinga au walifaidikaje Moja kwa Moja?. mkuu jitathmini katika hilo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
SSH Jana kaupiga mwingi kwa kupokea utambulisho wa Mabalozi wa Nchi 4 👇
 
Attachments

  • IMG-20220607-WA0459.jpg
    IMG-20220607-WA0459.jpg
    98.9 KB · Views: 15
  • IMG-20220607-WA0433.jpg
    IMG-20220607-WA0433.jpg
    108.8 KB · Views: 15
  • IMG-20220607-WA0456.jpg
    IMG-20220607-WA0456.jpg
    101.1 KB · Views: 14
  • Screenshot_20220608-110731.png
    Screenshot_20220608-110731.png
    219.5 KB · Views: 13
Kwani yeye ni rais wa kwanza kuongeza mishahara?, Labda Kama ajira ulianza kipindi cha Magufuli, lakini Kama ulianza nyuma ya Magufuli, utakumbuka Kikwete alikua akipandisha mishahara kila mwaka, na hakuna lolote lilisaidia kwa kuongeza mishahara, badala yake upigaji na rushwa serikalini viliongezeka.

Kaka, ni lazima serikali kutoa mishahara kulingana na uwezo wake, sio kutokana na matakwa ya wafanyakazi, yapo Mambo mengi muhimu zaidi nchi, ni muhimu yapatikane kwanza, hivi Kama ni wewe utaacha kununua madawa na vifaa Hospitalini ili ulipe mishahara?, au utaacha kushughulikia na upatikanaji wa maji na chakula nchi ili kulipa mishahara ya watumishi serikalini kwanza?, hebu punguzs ubinafsi?

Kaka, ajira serikalini hakuna pesa nyingi, Kama unadhani vipi, wewe jiachie na uingie mtaani upambane, wacha kulakamika wakati serikali haina uwezo huo unaotaka, hata Hilo ongezeko dogo aliloongeza, Kamwe so lolote kutokana na gharama za maisha zilivyo kubwa, bado utaendelea kulakamika kila siku.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Aisee hata umpe fact zipi hawezi kuelewa, ameshaongezwa laki moja amelidhika.
 
Yaani Uganda itaingia middle-income in the next two years hata kabla ya ujenzi wa EACOP kukamilika. Yaani kilimo pekee kimewapeleka Uganda hadi middle income bila kutegemea mafuta. Kenya pia ilikuwa middle income bila kutegemea madini. Tusipuuze sector ya agriculture kwa sababu hio sector ni muhimu.
Kenya pekee ndiyo inapuuza sector ya kilimo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Nimependa huyu kijana anajiiita 'Explore with Bertin' anavyoielezea na kuichambua miradi ya Tanzania..tena kwa kingereza...

Mfano hapo chini kaielezea vzr stendi ya magufuli...kumbe bado haijaisha na wanajenga flyovers mbili hapo hapo mbezi..

Huu mradi una awamu kama tatu ndo kwanza wapo awamu ya kwanza awamu ya pili kuna expansion ya parking ya mabasi na ujenzi wa hoteli
 
Ndio mana tunasema kuongezeka kwa mishahara ni kama kuendelea kujitia kitanzi , ila kuongeze mishahara kufikia 9T ni nyingi, huwezi kulaumu kwanini mwenda zake alianzisha miradi yenye faida kwa nchi sababu hatukusikia ikikwama, na inahitajika kwakusonga mbele kwa nchi, apa ndio pakuminyana ikamilike ndio turudi kulimbikiziana mishahara.
Ongezeko la mishahara linasaidia kuongeza money supply kwenye economy hivyo Tz kwa miaka mitano iliyopita money supply was below recommended margins. Aliyesoma uchumi atajua maana ya broad and narrow money supply M1 M2 and even M3
 
Yupo sahihi alichosema, kwamba ili uweze kutangaza, lazima hiyo per Capita iwe sustained for three consecutive years, ila kwao mwaka huu ni mwaka wa kwanza hata hao WB na IMF wanajua, wacha wivu

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ni kweli. Jambo moja ambalo limesaidia nchi hizi tatu kufikia middle income status kwa haraka ni East African Community (EAC) iliyoanzishwa mwaka wa 2001. Uwezo wa kutrade bila tariffs na trade barriers vya kijinga ni moja ya sababu kuu ya nchi hizi tatu kufaulu kiuchumi. vikwazo vya kibiashara, trade quotas, trade tariffs na kadhalika vinahujumu trade kufanyika. Nchi zote isipokuwa Zambia ambazo zimezunguka hizi nchi tatu ni LDC. Ethiopia, Somalia, South Sudan, Rwanda, DR Congo, Burundi, Malawi na Mozambique zote ni LDC. Zambia tu ambayo imepakana na Tanzania ndio MIC na ilikuwa middle income zamani sana. Yaani original EAC members Tanzania, Kenya na Uganda soon sote tutakuwa middle income na majirani zetu waliotuzunguka bado watabaki kuwa LDC kwa miaka kadhaa. Rwanda iliyojoin EAC mwaka wa 2007 inaweza kuwa next kujoin MIC baada ya Uganda. Kwa watu kama Geza Ulole ambaye anapenda kusema kwamba Tanzania ifunge border na Kenya natumai umeanza kuona manufaa ya free trade. Trade bila vikwazo inafaidi kila mtu. Uwache kuchocha rais Samia kwamba afunge border na Kenya. Mazungumzo yanatosha kusuluhisha matatizo ya kibiashara.
 
Back
Top Bottom