The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Sawa lkn hiyo haiondoi ukweli kwamba mna ndege tatu chakavu, hiyo Embraer huenda co yenu.Ningekushangaa bana, thats still KQView attachment 2254363
Sawa lkn hiyo haiondoi ukweli kwamba mna ndege tatu chakavu, hiyo Embraer huenda co yenu.Ningekushangaa bana, thats still KQView attachment 2254363
Unajua hizo hela kwanini serikali inalipa ? Hata kama a,ikuwa za serikali ila zilikuwa mikononi mwa serikaliWewe kwa akili yako hukumsikia mkuu wa nchi akisema hela ya escrow sio mali ya serikali au unajitoa ufahamu tuu. Mbona huyo mkuu wa malaika hakuthubitu kwenda kuchimba mzizi wa yote haya. Na bado jambazi mwingine akaja ikulu mchana kweupe kupiga deal la kumuachia mdogo wake ambae ni muua tembo mbona hukumlalamikia mkuu wa malaika? Saa nyingine mtumie busara tuu kuliko kuhara mambo msioyajua.
Zoom hiyo picha utaona hadi alama za videle vichafu kwenye hiyo garikuanzia lini Mololine Shuttle ikawa na kunguni... nugu hii![]()
Design ya SGR Tanzania Marshalling yard ipo Ruvu ikisaidiwa na Kwala ICD, ndani ya Dar Port kutakuwa na lines za SGR kuunga treni fupi na ku-evacuate cargo to Ruvu!Shida ya nyie wakenya mna Tabia ya kujifanya mnaijua TZ lakin niwaambie tu ukweli hamujui chochote kuhusu TZ DAR Port Iko na eneo kubwa tu la kujenga hiyo marshalling .. 👇View attachment 2254474View attachment 2254475na hapa jamaa wanafanya design and build, kwahyo tegemea kuona marshalling Yard DAR PORT
Umesahau Bus Terminal, soko la Kisasa na on paper deceivingly Tshs 11 bln 3 star (but actually a 5 star hotel) Burigi Chato lodge by TANAPA funds! Kumbuka nearly completion 16 floor 5 star Hotel ya NSSF Mwanza iliachwa kuoza kwa 5 years!Magufuli aliipendelea Chato tuseme tu ukweli. Alijenga airport kubwa, hospitali kubwa, national park ambayo amehamisha wanyama kutoka maeneo mengine na kuwaleta Chato. Sasa bado watu wanapinga kwamba Magufuli aliipendelea Chato? Mbona lipo wazi kwamba aliipendelea Chato? Mimi siishi huko lakini hata mimi naona ndani ya miaka mitano ya uongozi wake alipeleka miradi mingi huko Chato. Lakini yote tisa, kumi ni kwamba Magufuli amejenga miundo mbinu Tanzania nzima na ameibadilisha sura ya Tanzania. Kwenye kujenga miundo mbinu hana mshindani. Bado nakubali alifanya makubwa kwenye ujenzi wa miundombinu huko TZ.
Naona goal post imeshift, for ATCL ifikie KQ mtahema, aviation business nowadays is very cloudy kwanza nganganeni kubreak evenSawa lkn hiyo haiondoi ukweli kwamba mna ndege tatu chakavu, hiyo Embraer huenda co yenu.
Lini KQ ime break even. Si bora sisi tunatamba na ndege zetu wenyewe, nyie shirika lenu mpk li break even itawachukua miaka 1000 mana ndege za watu chapa ya KenyaNaona goal post imeshift, for ATCL ifikie KQ mtahema, aviation business nowadays is very cloudy kwanza nganganeni kubreak even








siwezi ogopa kuonesha ndani masera wangu.... hauwezi pata kunguni ndani ya Shuttle bamdogoDunakuona upo ndani ya kipanya unaogopa hata kuonyesha ndani
kunguni kama wote
uhuru ni wa kwako.. u can zoom it if u so pleaseZoom hiyo picha utaona hadi alama za videle vichafu kwenye hiyo gari
Magufuli hapendwi jamiiforums tu mzee mana humu kuna wafanyakazi wa serikalini wengi.Nimetoka jukwaa la siasa na nimegundua magufuli hapendwi kama wanavyo tudanganya hapa
Wewe ukona wazimu Kq broke even eons ago, kq has been making serious profits which atcl has never dreamnt ofLini KQ ime break even. Si bora sisi tunatamba na ndege zetu wenyewe, nyie shirika lenu mpk li break even itawachukua miaka 1000 mana ndege za watu chapa ya Kenya![]()
Usinifanye mjinga mimi onyesha hiyo sehemu hapasiwezi ogopa kuonesha ndani masera wangu.... hauwezi pata kunguni ndani ya luxury shuttle bamdogo
View attachment 2254521View attachment 2254523View attachment 2254524
kwenye hiyo garihivi kwako. hii sasa inamaanisha nnUsinifanye mjinga mimi onyesha hiyo sehemu hapakwenye hiyo gariView attachment 2254565
Huyo ameskia hilo neno Jana sasa anataka alitumie aonekane msomi baada ya kuitwa soja. Hajui kq ili break even so many decades ago.Wewe ukona wazimu Kq broke even eons ago, kq has been making serious profits which atcl has never dreamnt of
Hii ndio luxury yenu? 😅😅😅😅😅siwezi ogopa kuonesha ndani masera wangu.... hauwezi pata kunguni ndani ya luxury shuttle bamdogo
View attachment 2254521View attachment 2254523View attachment 2254524