instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,602
- 19,781
Basi mbezi patapendeza sana...Huu mradi una awamu kama tatu ndo kwanza wapo awamu ya kwanza awamu ya pili kuna expansion ya parking ya mabasi na ujenzi wa hoteli
Basi mbezi patapendeza sana...Huu mradi una awamu kama tatu ndo kwanza wapo awamu ya kwanza awamu ya pili kuna expansion ya parking ya mabasi na ujenzi wa hoteli
Umeongea vyema kaka ,tuanze tena marathon ya upper middle incomeNi kweli. Jambo moja ambalo limesaidia nchi hizi tatu kukuwa middle income kwa haraka ni East African Community (EAC) iliyoanzishwa mwaka wa 2001. Uwezo wa kutrade bila tariffs na trade barriers vya kijinga ni moja ya sababu kuu ya nchi hizi tatu kufaulu kiuchumi. vikwazo vya kibiashara, trade quotas, trade tariffs na kadhalika vinahujumu trade kufanyika. Nchi zote isipokuwa Zambia ambazo zimezunguka hizi nchi tatu ni LDC. Ethiopia, Somalia, South Sudan, Rwanda, DR Congo, Burundi, Malawi na Mozambique zote ni LDC. Zambia tu ambayo imepakana na Tanzania ndio MIC na ilikuwa middle income zamani sana. Yaani original EAC members Tanzania, Kenya na Uganda soon sote tutakuwa middle income na majirani zetu waliotuzunguka bado watabaki kuwa LDC kwa miaka kadhaa. Rwanda iliyojoin EAC mwaka wa 2007 inaweza kuwa next kujoin MIC baada ya Uganda. Kwa watu kama Geza Ulole ambaye anapenda kusema kwamba Tanzania ifunge border na Kenya natumai umeanza kuona manufaa ya free trade. Trade bila vikwazo inafaidi kila mtu. Uwache kuchocha rais Samia kwamba afunge border na Kenya. Mazungumzo yanatosha kusuluhisha matatizo ya kibiashara.
Mishahara haijaongezwa kwa miaka zaidi ya 5 huku inflation ikiongezeka kila mwaka pia gharama za maisha zikiendelea kupanda kila mwaka. Wakati JPM anachukua nchi mafuta yalikuwa sh 1300 kwa lita leo ni sh 3300 bado unataka mishahara ibakie hapo hapo tuu. Suala la kuongeza Mishahara si suala la mapenzi ya mtu ni takwa la kusheria pia husaidia kuchochea ukuaji wa uchumi meaning people will be able to afford vitu vinavyozalishwa viwandani hivyo kusaidia kuongeza production ambayo itapelekea kuongezeka kwa ajira zaidi na kiasi cha makusanyi ya kodi kuongezeka pia.Sasa Kama umeachiwa miradi mingi na pesa ni kidogo, jukumu lako Kama kiongozi ni kuongeza mapato zaidi na kubana matumizi(ikiwemo kutokuongeza mishahara), ni upuuzi Kama unajua kipato ni kidogo lakini unazidi kuongeza matumizi.
Tony, Magufuli alikua anajua ni maeneo gani angeweza kuongeza mapato nje ya Makusanyo ya TRA, nadhani ulishuhudie katika kipindi chake jinsi tulivyokua tukikamata "Kilograms of gold and Tanzanite" zilizokua zikitoroshwa nje ya nchi na kuzitaifisha, Ina maana tangu kufariki kw Magufuli watu wameacha kutorosha madini, mbona hatusikii tena kukamatwa?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Miradi ya maji huku inazinduliwa na magavana..kweli tunatofautianaSSH anazindua miradi ya maji na barabara nyie mnazindua majengo...tunatofautiana kidogo
Kuna watu wapuuzi sana humu ndani! Watu wanafikiria patriotism inajengwa na grandiose monuments alone! Miaka mitano bila nyongeza ya mshahara huo si uuaji?Mishahara haijaongezwa kwa miaka zaidi ya 5 huku inflation ikiongezeka kila mwaka pia gharama za maisha zikiendelea kupanda kila mwaka. Wakati JPM anachukua nchi mafuta yalikuwa sh 1300 kwa lita leo ni sh 3300 bado unataka mishahara ibakie hapo hapo tuu. Suala la kuongeza Mishahara si suala la mapenzi ya mtu ni takwa la kusheria pia husaidia kuchochea ukuaji wa uchumi meaning people will be able to afford vitu vinavyozalishwa viwandani hivyo kusaidia kuongeza production ambayo itapelekea kuongezeka kwa ajira zaidi na kiasi cha makusanyi ya kodi kuongezeka pia.
Wacha niache kupigia mbuzi guitarWewe ndio umesema ombaomba wakitanzania ni wengi sasa thibitisha kauli yako
Sawa , ilikua what type of aircraft?Ok tulia nitahakikisha ikitua this time naipiga picha.
Sisi tuko mbali kwenye transport matters. We don't buy tickets like you do in Kenya we have our own online system kama ile Galileo ya airline ticket system kwa upcountry buses za Tanzania. You buy ticket online you wait for departure time kwenye world class facility full AC with restaurants, bars and shopping areas.Yaani kwa mtanzania Clasic bus ni Luxury? hizi za ku bargain, kila mtu anaingia na bei yake ni Luxury?.., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Suluhisho sio kutoongeza mishahara kwa miaka kumi, suluhisho ni kuongeza pato la taifa kwa kupanua tax bracket. Nchi za Kiafrika zina informal sector kubwa sana. Unakuta watu wa jua kali wanatengeneza vitanda, dawati za mashule, maelfu ya viti vya mashule, wanatengeneza mamilioni ya masufuria na vijiko na hawatozwi ushuru. Kuna wakulima wengi sana ambao hawatozwi ushuru katika nchi zetu. Unakuta mkulima analima mboga ya kabeji au nyanya anavuna, anaipeleka sokoni, anaiuza yote kisha anapeleka pesa yote kwa benki bila kulipa ushuru. In fact majority ya wakulima hawalipi ushuru hata wakulima wakubwa wanakwepa kulipa ushuru. Halafu kuna wafanyibiashara wakora wanaokwepa kulipa ushuru ilhali wanamiliki viwanda vikubwa vya kutengeneza juice au pombe na kadhalika. Hawa wanastahili kufuatwa kwa nguvu zote ili walipe ushuru. Kila nchi ina wafanyibiashara wajinga wasiotaka kulipa ushuru, hata Marekani wapo na huwa wanafungwa gerezani. Hata sisi tuanze kufunga hawa watu gerezani ili walipe ushuru.Mishahara haijaongezwa kwa miaka zaidi ya 5 huku inflation ikiongezeka kila mwaka pia gharama za maisha zikiendelea kupanda kila mwaka. Wakati JPM anachukua nchi mafuta yalikuwa sh 1300 kwa lita leo ni sh 3300 bado unataka mishahara ibakie hapo hapo tuu. Suala la kuongeza Mishahara si suala la mapenzi ya mtu ni takwa la kusheria pia husaidia kuchochea ukuaji wa uchumi meaning people will be able to afford vitu vinavyozalishwa viwandani hivyo kusaidia kuongeza production ambayo itapelekea kuongezeka kwa ajira zaidi na kiasi cha makusanyi ya kodi kuongezeka pia.
Tz kuna majengo mengi mapya yanajengwa mazuri sana yenye ghorofa 12 kuja juu kwenye cbd yetu tu yanaweza kufika15tuusan hili ni jengo la pili ndefu kuzinduliwa Nairobi ndani ya wiki moja na rais Uhuru Kenyatta. Hili lina 19 floors na ile ya last week ilikuwa na 27 floors. Halafu bado kuna watu wanaosema uchumi wa Kenya ni wa makaratasi.
View attachment 2253952View attachment 2253954
Mimi kabila gani ? Jpm tunamkubali watu wote wa makabila yote isipokua mafisadi tu mm wala siyo msukuma.tatizo lako wewe ni ukabila unakusumbua
Kwani media freedom ilikuwepo kuwaruhusu waliokua wakimpinga waongee?Mkuu upo biased Sana kwa Magufuli, hivi watanzania wote waliokua wanamkubali ni watu toka Kanda ya ziwa?, Waafrika wote waliomlilia, mfano PLO wa Kenya, pia alifaidika kwa mujibu wako?, Rudi YouTube na angalia clips za wakenya walivyokua wanamkubali, wote hao ni wajinga au walifaidikaje Moja kwa Moja?. mkuu jitathmini katika hilo
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa huyu Geza Ulole anayo akili gani hata elimu yake ni feki kama anabisha aje hapa tuone elimu yake ....kisha mimi nitamuul8za maswali kumi tu ya elimu ....hilo geza ni zuzu ..lilikuwa linanicheka mm kwa kutokujua kiswahili vizuri likadhani sina elimu.Hivyo vyote vilitokea kwa sababu' usiwe mpumbavu kisa elimu unayojitapa nayo humu haikupi wigo wa kuchanganua mambo....
Umekua kama kuku alokatwa kichwa na kuachwa unaropoka tuu haijulikani unataka nini View attachment 2253959
Nuna Vimba na kupasuka hupasuki n'go[emoji51]