Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
I blame Naikuni for Kqs downfall with project mawingu, otherwise we would be very far.He thinks KQ is about aircrafts onlyHuyo ameskia hilo neno Jana sasa anataka alitumie aonekane msomi baada ya kuitwa soja. Hajui kq ili break even so many decades ago.
Shuttle kwetu ama SA, inamaana kua kidude kinabeba tu mtu kumi. hivi hakuna kufinywaHii ndio luxury yenu? 😅😅😅😅😅
Acha kutuwaza kihivyo bana,mtu kama anamambo yako sababu hazikosekaniMagufuli hapendwi jamiiforums tu mzee mana humu kuna wafanyakazi wa serikalini wengi.
Hamna luxury yoyote hapa, na buses zenye choo wasemeje?luxury kwetu ama SA, inamaana kua kidude kinabeba tu mtu kumi. hivi hakuna kufinywa
View attachment 2254605View attachment 2254606View attachment 2254607View attachment 2254608
Nenda kawaongopee watoto wenzio hapa kuna watu wazima tunaojielewa.Wewe ukona wazimu Kq broke even eons ago, kq has been making serious profits which atcl has never dreamnt of
sio luxury hasa.. ata nimekosea, shuttle ndo jina sahihi maana starehe za luxury hupatikana kwenye mabasiHamna luxury yoyote hapa, na buses zenye choo wasemeje?
Clearly wewe ni mtoto, niletee loss ya Kq below 2012Nenda kawaongopee watoto wenzio hapa kuna watu wazima tunaojielewa.
Boss unajua maana ya ku break even.Nenda kawaongopee watoto wenzio hapa kuna watu wazima tunaojielewa.
Wewe nilishakuambia mm co size yako, tafuta rika lako, mm mzito kwako heavy weight.Boss unajua maana ya ku break even.
Yes flight number moja inaweza ikatumiwa na equipment zenye usajili tofauti kwa mfano dreamliner moja ya atc inayoenda mumbai kila mara kama haitakuwepo nafasi yake inaweza kujazwa na dreamliner nyingine lakini flight number inabakia hivyo hivyo. Hata kama ulitumia ndege ya kukodi ambayo haina livery ya shirika bado flight number itabakia hiyo hiyo kwa flight ya mda huo.Hyo flight number ndiyo route ya ndege mkuu, kwa mfano TC inaenda mara mbili ka Nairobi, ikienda saa 11 alfajiri inakuwa na flight number ya TC 200, ikirudi Dar saa 3 asb inakuwa TC 201, ikiondoka jioni inakuwa TC 202 ikirudi ucku inakuwa TC 203. Kesho tena miruko inajirudia ila wakiongeza mruko mwengine flight number pia inaongezeka kutoka hizo nilizokutajia.
asante kwa render 🤣🤣Another 30floors coming soon!View attachment 2253365
Bora umeweka hii picha nikuoneshe branch ya kuingia bandarini ambayo inachepuka kabla ya kufika kwenye passenger terminal ambayo iko CBD.Hakuna hata space ya kujenga any tangible infrastructure ya kuunganisha port na SGR. Kumebana kila mahali majumba. Dar port imejaa. View attachment 2254378
nilitaka kushangaa yani probox isionekane ingekua maajabu sana 😂😂nikiwa nasafiri leo kwenye dude in the middle of nowhere. somewhere btwn kisumu and nakuru
View attachment 2254276manthari View attachment 2254320View attachment 2254321View attachment 2254322
Mkuu, ninarudia tena na tena, humtendei haki Magufuli, sijui alikukosea kitu gani, Hilo kosa lilifanywa na mkuu wa wilaya mmoja tu, Kati ya zaidi ya wakuu wa wilaya 14 wanaopatikana katika hiyo mikoa ya kaskazini, Kwanini Kama kulikua na kampeni chafu ya kuadhibu watu toka Kaskazini wakuu wengine wasifanye Hilo?, Sabaya anajulikana kwa tabia zake mbovu hata kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya, mkuu Kuna kila dalili kwamba wewe umetokea mikoa hiyo, na ninaanza kuamini kwamba mkuu una chembechembe za ukabila.Utetezi wa kesi dhidi ya hizi dhulma unaoendelea Sabaya anasema ilikua maagizo toka kwa JPM ili wafanyabiashara wa Moshi na Arusha waishi kama mashetani!
Kumbuka hii clip ipo online toka Malaika akiwa hai na Sabaya hakuguswa!
Huyo Panone anaemtaja ni mmiliki wa petrol station kadhaa Tanzania ambazo ni petrol stations plus motels plus mini markets combined!
Naye anakiri kuwa muathirika wa dhulma na akamshauri atoe tu ampe Sabaya!
Mind u hawa wote wafanyabiashara wa Moshi na Arusha! What a coincidence..
Hatuhitaji Marshalling yard bandarini mazingira yetu na nyinyi hayafanani na usitake tufanane maana mzigo yote ya Uganda, Burundi, Rwanda, Zambia Malawi, Congo yote lazima ipite kwala marshalling yard na block trains zitapangiwa hapo for onward movement.sasa haka ka viaduct kata pitisha tani ngapi ya mzigo? Na kanaelekea wapi na bandari imejaa. Nionyeshe mahali marshaling yard ya dar SGR port iko.
Ona mfano Mombasa port na mgr infrastructure take iko kando, hii ni SGR pekee. View attachment 2254435
ww ni mpuuzi kweli kwa taarifa yako SGR cargo train inaanzia bandarini na kwa taarifa fupi baadhi ya maeneo hasa kutokea bandarini SGR inapita chini alaf bara bara zinapita juu 😂😂 ukiwa huelew uliza upewe majibu sahihiHakuna hata space ya kujenga any tangible infrastructure ya kuunganisha port na SGR. Kumebana kila mahali majumba. Dar port imejaa. View attachment 2254378
akikujibu tu nitag😂😂 We jamaa sio bure ni mwehu wewe.. haya kama unaijua Tz, hii line (viaduct mpya inayoonekana ndio inaanza ujenzi) inalekea wapi.? 👇View attachment 2254385ulifkiri unaweza kuijua Dar kupitia google earth.? 😂😂
We endela kufanya wishful thinking. SGR ya Tanzania haifiki bandarini kama ya Kenyaww ni mpuuzi kweli kwa taarifa yako SGR cargo train inaanzia bandarini na kwa taarifa fupi baadhi ya maeneo hasa kutokea bandarini SGR inapita chini alaf bara bara zinapita juuukiwa huelew uliza upewe majibu sahihi