Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daily Dose
Image
 
Kwani hizo bei zimeongezwa kwa wafanyakazi pekee, wakulima, wavuvi na wafugaji wanasaidiwaje ili kupambana na kuongezeka kwa hizo bei?, au wafanyakazi ndio muhimu kuliko hao wengine?, Punguzs ubinafsi mkuu.

Serikali lazima iwajali wananchi wote bila ubaguzi, waliosoma na wasiosoma, walio na ajira na wasiokua na ajira.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unaelewa maana ya mtumishi wa serikali au napoteza wakat tu hapa?kuna sheria za kazi na taratibu za muajiri wewe unaleta hard feelings naona
 
Wacha uongo bana. Huo mchepuko ni wa existing mgr rail. Not unless mnabomoa mgr mujenge SGR. View attachment 2254673
Mbona unashindwa kuelewa? SGR itatumia njia ya MGR kuingia bandarini na MGR imetafutiwa access nyingine ya kuingia bandarini near Kamata station ambapo compensation imeshafanyika na eneo kuwa cleared for ujenzi

Maana ni kwamba kumekuwa na swap ya access route to the port between SGR and MGR.
 
huku pia probox zo hujulikana sana kwa biashara za kiharamu za kimagendo, hasa toka uganda ama sirari. ndo utakuta dirisha zao mingi huwa tinted very dark, kama hio unayoiona hapo .
nb: probox is famous for all the wrong reasons humu.!
Hiyo imebeba miraa inawaisha airport
 
Gari ndogo ukiwa speed huwa ina rev sana na metal structure yake ina vibrate sana kuliko gari kubwa. Hivi vyote huleta discomfort during travel.
i also did physics, with everything to do with centre-of-gravity and so on.. yes.... but hivi unataka kumaanisha kuwa watu wote wenye private cars ikiwemo mercedes na bmw hawana starehe wakiwa kwenye msafara ndefu.? 🤔🤔

nb: mwanzo CG ya mabasi iko raised even higher, hence more discomfort hasa kwenye potholes na bumbs
 
Gari ndogo ukiwa speed huwa ina rev sana na metal structure yake ina vibrate sana kuliko gari kubwa. Hivi vyote huleta discomfort during travel.
🤣🤣🤣🤣 Eti metal structure. Wewe tuliza kuropokwa, huwezi ongelea comfort ya gari na ukose kutaja suspension components. Wewe I doubt kama unajua kuhusu magari.
 
Mbona unashindwa kuelewa? SGR itatumia njia ya MGR kuingia bandarini na MGR imetafutiwa access nyingine ya kuingia bandarini near Kamata station ambapo compensation imeshafanyika na eneo kuwa cleared for ujenzi

Maana ni kwamba kumekuwa na swap ya access route to the port between SGR and MGR.
Mimi naona tu Mashashola na coodip1 mkitumia neno mchepuko. Mimi sijui mchepuko ni nini pengine mnielezee.
 
Mkuu, ninarudia tena na tena, humtendei haki Magufuli, sijui alikukosea kitu gani, Hilo kosa lilifanywa na mkuu wa wilaya mmoja tu, Kati ya zaidi ya wakuu wa wilaya 14 wanaopatikana katika hiyo mikoa ya kaskazini, Kwanini Kama kulikua na kampeni chafu ya kuadhibu watu toka Kaskazini wakuu wengine wasifanye Hilo?, Sabaya anajulikana kwa tabia zake mbovu hata kabla ya kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya, mkuu Kuna kila dalili kwamba wewe umetokea mikoa hiyo, na ninaanza kuamini kwamba mkuu una chembechembe za ukabila.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
siyo Sabaya tu, kuna mtangulizi wake pia DC wa Hai Bwn Gelacius Byakanwa!


Mzee maoni yangu si lazma uyajibu ki-shallow jibu kwa points! Jamaa yako alikuwa mkabila aliyepitiliza na roho ya ajabu utafikiri alipewa guarantee ya kuishi milele!

Inanishangaza kutojali maovu waliyotendewa wengine. Hawakuwa Watanzania nn? Azory Gwanda wa Mwananchi aliyepotezwa mwili wake upo wapi?

BTW nafurahi kunibatiza Umachame! Sioni ubaya maana ni Watanzania pia! Mama yupo Biharamulo kusimikwa uchifu! Washam-denounce JPM na sera zake za Usukumagang!

 
Back
Top Bottom