SGR itatumia njia ya MGR kuingia bandarini na MGR imetafutiwa njia nyingine ya kuingia bandarini ambayo inachepuka baada ya kamata chini ya ile viaduct pale Gold Star.Nimeona hio diversion inayokwenda bandarini ila barabara ya reli hapo mbele imezibwa na majumba. Majumba haya yatabomolewa lini? Maana hapo kwa port hakuna nafasi ya reli kupita itabidi majumba kadhaa yabomolewe.