Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Ni kweli ipo kisheria lakini Wakenya wengi hawakupendezwa na tukio hilo. Media zote za Kenya ziliiangazia hilo jambo.Hili lipo kisheria usichanganye madesa!
Ni kweli ipo kisheria lakini Wakenya wengi hawakupendezwa na tukio hilo. Media zote za Kenya ziliiangazia hilo jambo.Hili lipo kisheria usichanganye madesa!
Kilaza kwa ubora 😂 😂 😂 😂 😂 .., did u even understand what I posted? wewe ni wa vipicha I had forgetten.,😂😂😂😂😂., it's economics idiot😂😂😂.., mimi sihitaji unionyeshe vipicha vya Musoma, mimi niko na uwezo wa kuikagua Tanzania inside out na upside down, kila eneo, kote kote, I know your level poor thing, tafuta wenzako wenye akili finyu mjadiliane kule vijiweni..,We Jamaa unafurahisha sana hii ni musoma nimepiga picha kwa simu yangu juzi Kati tu wakati nilipokua huko..👇View attachment 2254481View attachment 2254482View attachment 2254483View attachment 2254486View attachment 2254488View attachment 2254489in the middle of no where barabara kali zipo na umeme upo n.k .. una lipi la kuitisha TZ we mpuuzi wa kikunya.?
Magufuli hated kenya and anything Kenyan to the core. I remember his comments when we were on partial lock down. Man, his hatred towards Kenya was an open secretHakuna mkenya anamkubali mchoma vifaranga, hio ni sympathy wanaonyesha kwa marehemu.
Kaka, unapaswa kuwafikiria watanzania 92% ambao sio waajiriwa serikalini, Japan kujifikiria ninyi tu, hivi hujisikii vibaya kuona kwamba 2% ya watanzania wanapewa 40% ya mapato ya nchi?.Wewe kinachokuuma ni SSH Kuongeza mishahara,mimi nilalamike nn wakati nimeshapata % zangu, ooh waangalie uzalishaji blablah yani unathubutu kiniita mbinafsi alafu ww ni mchoyo na mnafiki kwenye hili suala
Sisi hatutaki kufanya biashara na ninyi, our biggest business partners are SADC members, ninyi mnalazimisha mashirikiano kwasababu "you have nor alternative in Africa"[emoji23][emoji23][emoji23]Wakenya tuliwacha kumkubali Magufuli alipoanza kuchoma vifaranga vyetu na kunadi ng'ombe zetu na kufunga border na kutatiza biashara kati ya nchi hizi mbili.
Wakenya wa kawaida waliendelea kumpenda kutokana na kuwatetea wananchi wa kipato cha chini na tabia yake ya kutembea vijijini na kusikiliza matatizo ya watu wa chini na kuwatafutia ufumbunziNi kweli ipo kisheria lakini Wakenya wengi hawakupendezwa na tukio hilo. Media zote za Kenya ziliiangazia hilo jambo.
Sasa mbona jamaa akifungua southerb bypass was busy claiming huwezi wekea maasai mipaka walishe their cattle, and speaking of maasais the number of tz maasais in nairobi ni wengi sanaHili lipo kisheria usichanganye madesa! Hata leo ukiingiza mifugo kiholela fine inakuhusu ukishindwa kulipa inapigwa mnada! Pia bila kupitishwa na watu wa veterinary incineration inahusu.
Vipanya ni kama zile matt wanatumianga from Namanga to Arusha?Kwa hivyo nyie hamna vipanya huko kwenu? Mbona wewe na Lwiva mnajifanya kana kwamba hakuna kipanya Tanzania?
Wameleta mifugo shamba ya mtu?Sasa mbona jamaa akifungua southerb bypass was busy claiming huwezi wekea maasai mipaka walishe their cattle, and speaking of maasais the number of tz maasais in nairobi ni wengi sana
Hehehe. Nadhani wanaita all types of matatu vipanya isipokuwa buses. So mathree ndogo kabisa for example mololine shuttle na hata hizo minibuses zao wanaziita vipanya.Vipanya ni kama zile matt wanatumianga from Namanga to Arusha?
Hapa umenena ukweli game over. Lakini huyo mwizi Sabaya asiwachiliwe. Ingekuwa Uchina angekuwa ameshatiwa kitanzi. Lakini hapa Africa tulivyo wapuuzi, ushingae huyo Sabaya atawachiliwa na mwishowe kugombea urais na kushinda.He is part of that system, and he is just their loyal guy. Mind you he will be set free in no time. Remember in that jpm regime that they now pretend to be against it,
It is only JPM ndio ameondoka, all the rest from parliament to top ministers are there in the system.
His PM ndiye president now
JPM’s minister of Finance ambaye ndiye mhusika mkuu na kufungwa kwa hayo maduka ya bureau huko Arusha is Now a SSH’s Prime minister (he got promoted [emoji3])
Thé JPM’s Prime minister is still SSH’s prime minister,
Waziri wa sheria wa wakati wa jpm ndiye waziri wa fedha wa Samia now.
Huwezi ambia watu kuwa JPM was doing what they say he did akiwa man alone,
it means they were part of his decisions kuanzia our current President, PM and everyone in the system.
Imagine same guys in the system were busy praising JPM and went far planning to extend his terms of presidency kwa kuvuruga katiba,
Halafu haohao leo wanasema JPM was bad.
African politics is all about filling the bellies of politicians and their families.
Ile yake ilikua ni wivu wa kike, lakini mwishoe aka deady Nairobi.Magufuli hated kenya and anything Kenyan to the core. I remember his comments when we were on partial lock down. Man, his hatred towards Kenya was an open secret
Kenyans and Tanzanians hate each other since Nyerere and Jommo Kenyatta, don't try to blame Magufuli alone, we don't get along in anythingMagufuli hated kenya and anything Kenyan to the core. I remember his comments when we were on partial lock down. Man, his hatred towards Kenya was an open secret
Mnapaswa kufuata Sheria za Nchi yenu hampaswi kusikiliza maneno, ndio sababu kila nchi inatengeneza Katiba yake ili viongozi wasiwe wanaotumia mapenzi Yao katika kuongoza nchiSasa mbona jamaa akifungua southerb bypass was busy claiming huwezi wekea maasai mipaka walishe their cattle, and speaking of maasais the number of tz maasais in nairobi ni wengi sana
Well informed and clear facts.Kwani Azory Gwanda alitokea kaskazini?, Nilikuambia kwamba Magufuli alikua ni mtu katili, kiburi na alikua anakandamiza uhuru wa kisiasa, lakini hakuwa akilenga jamii Fulani, vitendo vyake vya kikatili walifanyiwa watu wote bila kujali kabila Wala jamii Fulani, kwanini umewekeza nguvu nyingi huko Kaskazini?.
Hili shamba la Mbowe, sababu za kuharibiwa zimeelezwa wazi kwamba alilima katika chanzo cha maji, jambo ambalo limekatazwa na Katiba ya nchi, alipewa miezi 4 kusitisha kilimo lakini hakutii Sheria za Nchi, yeye ni nani asichukuliwe hatua?, Mbona huzungumzii kitendo cha Mo Dewji kunyang'anywa mashamba ya Mkonge kule Tanga baada ya kushindwa kuyaendeleza, mbona huzungumzii kunyang'anywa mashamba ya Sumaye kule Morogoro, au kuchukuliwa kwa viwanda toka kwa matajiri walioshindwa kuviendeleza nchi nzima, wewe umekazania Kilimanjaro"specifically Mbowe?"
Mdude kutoka mkoa wa Mbeya, wanunuzi wa korosho huko Mtwara na Lindi, wote waliathirika kwa namna Moja au nyingine, Rugemarila na Seith, wote walikutana na Joto la utawala wa Magufuli, Nape Moses Mnauye alitolewa bastola hadharani, Kinana na Makamba walitukanwa hadharani na Musiba bila hatua zozote kuchukuliwa, kwanini usiwatetee hao wote badala yake unashikilia watu wa Kaskazini?, mkuu wewe una chembechembe za ukabila sio bure.
Mkuu, kusimikwa kwa Samia kuwa chief Mimi inanihusu nini, tunazungumzia Magufuli hapa, Samia ameingiaje, kwanini unataka kujishusha kiasi hicho?," I thought you are much better than this".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kama ambavyo Uhuru na Rutto walivyotetewa na wakenya baada ya kuwachoma moto wakenya kanisani na kusababisha vifo vya zaidi ya wakenya 1300, baadae pesa za serikali zikatumika kuwahonga na kuwaua mashahidi ili wasiende kutoa ushahidiHapa umenena ukweli game over. Lakini huyo mwizi Sabaya asiwachiliwe. Ingekuwa Uchina angekuwa ameshatiwa kitanzi. Lakini hapa Africa tulivyo wapuuzi, ushingae huyo Sabaya atawachiliwa na mwishowe kugombea urais na kushinda.
Hivi uamuzi wa shamba kuwepo au kutokuwepo kwenye chanzo cha maji huamuliwa na NEMC au DC? JPM alikuwa mkabila aneyependelea Wasukuma wa Chato na victims wake wengi walikuwa watu wa Kaskazini. That's a fact can never be denied! Nilete evidence?Kwani Azory Gwanda alitokea kaskazini?, Nilikuambia kwamba Magufuli alikua ni mtu katili, kiburi na alikua anakandamiza uhuru wa kisiasa, lakini hakuwa akilenga jamii Fulani, vitendo vyake vya kikatili walifanyiwa watu wote bila kujali kabila Wala jamii Fulani, kwanini umewekeza nguvu nyingi huko Kaskazini?.
Hili shamba la Mbowe, sababu za kuharibiwa zimeelezwa wazi kwamba alilima katika chanzo cha maji, jambo ambalo limekatazwa na Katiba ya nchi, alipewa miezi 4 kusitisha kilimo lakini hakutii Sheria za Nchi, yeye ni nani asichukuliwe hatua?, Mbona huzungumzii kitendo cha Mo Dewji kunyang'anywa mashamba ya Mkonge kule Tanga baada ya kushindwa kuyaendeleza, mbona huzungumzii kunyang'anywa mashamba ya Sumaye kule Morogoro, au kuchukuliwa kwa viwanda toka kwa matajiri walioshindwa kuviendeleza nchi nzima, wewe umekazania Kilimanjaro"specifically Mbowe?"
Mdude kutoka mkoa wa Mbeya, wanunuzi wa korosho huko Mtwara na Lindi, wote waliathirika kwa namna Moja au nyingine, Rugemarila na Seith, wote walikutana na Joto la utawala wa Magufuli, Nape Moses Mnauye alitolewa bastola hadharani, Kinana na Makamba walitukanwa hadharani na Musiba bila hatua zozote kuchukuliwa, kwanini usiwatetee hao wote badala yake unashikilia watu wa Kaskazini?, mkuu wewe una chembechembe za ukabila sio bure.
Mkuu, kusimikwa kwa Samia kuwa chief Mimi inanihusu nini, tunazungumzia Magufuli hapa, Samia ameingiaje, kwanini unataka kujishusha kiasi hicho?," I thought you are much better than this".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app