Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i also did physics, with everything to do with centre-of-gravity and so on.. yes.... but hivi unataka kumaanisha kuwa watu wote wenye private cars ikiwemo mercedes na bmw hawana starehe wakiwa kwenye msafara ndefu.?

nb: mwanzo CG ya mabasi iko raised even higher, hence more discomfort hasa kwenye potholes na bumbs
Gari kubwa centre of gravity iko high so distance from the road friction to passengers cabin ni kubwa hence vibrations zina kuwa dissipated easily kabla ya kufika kwenye passengers cabin pili engines za gari kubwa za diesel ni low rev engines mostly the car can be speeding on little throttle.

Lastly yes the bigger the car the more comfortable it is. Sasa wewe endesha Benz saloon halafu uendeshe na range rover au land cruiser uone utakuwa comfortable wapi.

Hii ni kwa vyombo vyote hata ndege, meli etc mfano the bigger the jet comfortability inakuwa kubwa
 
Mkuu upo biased Sana kwa Magufuli, hivi watanzania wote waliokua wanamkubali ni watu toka Kanda ya ziwa?, Waafrika wote waliomlilia, mfano PLO wa Kenya, pia alifaidika kwa mujibu wako?, Rudi YouTube na angalia clips za wakenya walivyokua wanamkubali, wote hao ni wajinga au walifaidikaje Moja kwa Moja?. mkuu jitathmini katika hilo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app

Mkuu mimi Sijui kwanini mnaendelea kujibizana kwa hili, why not just let it go?

Huyo geza ana mambo ya kiboya ya mtu wetu syndrome. Sisi tulishamsoma,
sababu ni kuwa humu wengi wanaonekana kutomkubali mama ndio unaona nae anakuja juu kujifanya anamshambulia jiwe,
Huyo boya wakati wa JPM alifungua nyuzi nyingi kuliko yeyote humu za kumsifia jpm,
Baada ya kufa jpm leo eti anajifanya anageuza kidogo. Wazee kama hawa mimi huwadharau sana hasa nikigundua ni watu walioenda age halafu wanakuwa ni wapumbavu.

My take: let’s not talk about this anymore. Haitusaidii chochote. Tusiendelee kuwajibu hawa wapumbavu,
 
Eti metal structure. Wewe tuliza kuropokwa, huwezi ongelea comfort ya gari na ukose kutaja suspension components. Wewe I doubt kama unajua kuhusu magari.
Acha kujiabisha hapa ukweli unaujua gari kubwa ni more comfortable than gari ndogo huwezi kulinganisha saloon car iwe merc au bmw na range rover au land cruiser vx hii hata kwenye ndege ni hivyo hivyo kama huwa unapanda ndege lakini.
 
siyo Sabaya tu, kuna mtangulizi wake pia DC wa Hai Bwn Gelacius Byakanwa!

Mzee maoni yangu si lazma uyajibu ki-shallow jibu kwa points! Jamaa yako alikuwa mkabila aliyepitiliza na roho ya ajabu utafikiri alipewa guarantee ya kuishi milele!

Inanishangaza kutojali maovu waliyotendewa wengine. Hawakuwa Watanzania nn? Azory Gwanda wa Mwananchi aliyepotezwa mwili wake upo wapi?

BTW nafurahi kunibatiza Umachame! Sioni ubaya maana ni Watanzania pia! Mama yupo Biharamulo kusimikwa uchifu! Washam-denounce JPM na sera zake za Usukumagang!

Geza uneshakuwa mmachane tayari
 
Huyo Sabaya ni vizuri afungwe kifungo kirefu sana gerezani. Watu kama hao ni wahujumu wa uchumi. Wahujumu wa uchumi wanaoitisha wafanyibiashara hongo huko China hunyongwa. Hii ni economic crime. Hujuma dhidi ya uchumi wa Tanzania. Wafanyibiashara wanaamua kufunga biashara zao kwa sababu ya usumbufu wa mtu mmoja. Mwishowe uchumi wa Tanzania unaumia na kufifia kwa sababu ya huyo Sabaya.

He is part of that system, and he is just their loyal guy. Mind you he will be set free in no time. Remember in that jpm regime that they now pretend to be against it,
It is only JPM ndio ameondoka, all the rest from parliament to top ministers are there in the system.
His PM ndiye president now
JPM’s minister of Finance ambaye ndiye mhusika mkuu na kufungwa kwa hayo maduka ya bureau huko Arusha is Now a SSH’s Prime minister (he got promoted )
Thé JPM’s Prime minister is still SSH’s prime minister,
Waziri wa sheria wa wakati wa jpm ndiye waziri wa fedha wa Samia now.

Huwezi ambia watu kuwa JPM was doing what they say he did akiwa man alone,
it means they were part of his decisions kuanzia our current President, PM and everyone in the system.
Imagine same guys in the system were busy praising JPM and went far planning to extend his terms of presidency kwa kuvuruga katiba,
Halafu haohao leo wanasema JPM was bad.
African politics is all about filling the bellies of politicians and their families.
 
Mkuu, Tunapo zungumzia m0 m1, m2,m3,m4 depend on specified country , kwenye money supply hizi hutumika kuelezea money liquidity na si vinginevyo mfano M1(narrow) is more liquid than M2 na M3(broad),
M1=CU(notes,coins)+DD(net deposity held by commercial banks)
M2=M1+ s(savings)
Nb; neno M0,M1(narrow) halikumanisha ufinyu wa pesa kwenye mzunguko bali urahisi wa kuitumia pesa
Neno M2,M3(broad)halikumanisha uwingi wa pesa kwenye mzunguko bali ni ugumu wa kuweza kutumia pesa husika sababu mara nyingi zinakuwa kwenye mfumo usio raisi kuzitumia au kuzipata
Mkuu kwa mada hii sidhani kama ulipaswa kuhusisha na liquidity of money wakati ulikuwa u aongelea shortage of money.Mkuu tafadhali kapitie quantity theory of money, tuje tubonge kidgo
Sasa kama serikali haijaongeza mshahara kwa muda mrefu si kunakuwa na ufinyu wa kutumia pesa kwenye mzunguko lakini wakati huohuo serikali ina hela ambayo cannot be readily converted into liquid cash. Na pia mishahara ikiongezeka hata urahisi wa kutumia hela huongezeka pia hivyo vyote vina effect kwenye money supply. Hii yote pia hutegemea na monetary policy ya country husika as for us Tanzania with regards to money supply we base mostly kwenye M1,M2 and M3.
 
Mnyonge mnyongeni aki yake mpeni mkuu unajua awamu iliyo pita inflation ilikuw stead sana pamona na badhi ya piza kypanda kwa kipindi flani lakini over all inflation ilikuw vyema,mfano kwa miaka 5 nauli za usafiri hazikubadilika kabisa
Having a small inflation sometimes sio tija kwenye uchumi inflation inatakiwa iendane na hali halisi ya uchumi. We had a small figure kwasababu uchumi ulidorora the demand for things was not there cause money supply ilikuwa curtailed consumer hawezi kununua na producer haagizi raw materials na uchumi ukawa on the decline.
 
Kwani Kenya Kuna SGR?, tunaomba muache kushusha hadhi ya neno "SGR" tafadhali Sana, pamoja na "technical specifications", SGR inabema maana zaidi ya hiyo.

SGR lazima iwe na sifa zifuatazo;
1)Speed
2)Modernity
3) Beautiful
4)Electricity
5)Continuous welded

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unaua inzi kwa rungu mkuu. Continuous welded rail ingetosha tuu.
 
So itabidi mtabomoa bomoa kila kitu in the name of sgr kufika port? Mgr imebana space zote reli inaeza pitia.
Sababu mimi bado sioni space ya kujenga marshalling yard kando ya port kwa hii mabishano yako yote.
Mara ngapi nikuambie geography ya kwetu na yenu ni tofauti kwa nini unataka tujenge marshalling yard port? Port yenyewe inakuwa served na line 3 SGR, MGR na Cape Gauge hence ziko line za kutosha tuu hapo. Magari yote yatokayo DSM kwenda nje ya TZ na reli zote zinazotoka DSM kwenda mikoani lazima zipite Ruvu 60km from port ambapo marshalling yard itakuwepo. Hivyo lorries zote zitachukua mzigo from ruvu na kudrop empty containers ruvu lorries hazitaingia mjini tena except zile za kupeleka mizigo within Dar tuu.
 
Mkuu mimi Sijui kwanini mnaendelea kujibizana kwa hili, why not just let it go?

Huyo geza ana mambo ya kiboya ya mtu wetu syndrome. Sisi tulishamsoma,
sababu ni kuwa humu wengi wanaonekana kutomkubali mama ndio unaona nae anakuja juu kujifanya anamshambulia jiwe,
Huyo boya wakati wa JPM alifungua nyuzi nyingi kuliko yeyote humu za kumsifia jpm,
Baada ya kufa jpm leo eti anajifanya anageuza kidogo. Wazee kama hawa mimi huwadharau sana hasa nikigundua ni watu walioenda age halafu wanakuwa ni wapumbavu.

My take: let’s not talk about this anymore. Haitusaidii chochote. Tusiendelee kuwajibu hawa wapumbavu,
Point noted
Tony254
The best 007
NDINDA
Geza Ulole
7seven
ichoboy01

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
but it's a common knowledge eversince tht kenya is the heartbeat of eastern africa.! and without Kenya east africa yote kwisha.!!

View attachment 2254812

kenya $124b= tz$67+ug$41b+rw$12b+bu$3b+ss$3b

visavie;

russia=nato (us+uk+fr+ge+it+sp+ca+)

bonge la methali hapa
View attachment 2254819

yatafakari hayo
Kenya 114 vs tz 77 uzo figure zako umezitoa wap? Hata kama ni estimation hamjacross 120 bado
 
Nimefanya kazi serikalini kwa zaidi ya miaka 15, sidhani Kama unanizidi kuzielewa hizo Sheria na taratibu za ajira serikalini, nadhani unachonizidi ni ubinafsi na kulalamika tu.

Ni haki kwa wafanyakazi kote duniani kulalamika maslahi zaidi, ndio sababu ya kuanzishwa Sheria ya kuanzishwa vyama vya wafanyakazi duniani, lakini ni haki ya muajiri kuwalipa wafanyakazi kutokana na kile kinachozalishwa Kama kinamuwezesha kuongeza mishahara zaidi, hakuna Sheria yoyote inayosema ni lazima kwa muajiri kuongeza mishahara, ndio sababu ni hiari kwa mtu kuajiriwa, ukiona maslahi ni madogo hulazimishwi kuendelea kufanya kazi, na wewe hupaswi kulazimisha kuongezewa mishahara, ni hiari yake.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe kinachokuuma ni SSH Kuongeza mishahara,mimi nilalamike nn wakati nimeshapata % zangu, ooh waangalie uzalishaji blablah yani unathubutu kiniita mbinafsi alafu ww ni mchoyo na mnafiki kwenye hili suala
 
Mkuu upo biased Sana kwa Magufuli, hivi watanzania wote waliokua wanamkubali ni watu toka Kanda ya ziwa?, Waafrika wote waliomlilia, mfano PLO wa Kenya, pia alifaidika kwa mujibu wako?, Rudi YouTube na angalia clips za wakenya walivyokua wanamkubali, wote hao ni wajinga au walifaidikaje Moja kwa Moja?. mkuu jitathmini katika hilo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna mkenya anamkubali mchoma vifaranga, hio ni sympathy wanaonyesha kwa marehemu.
 
Mkuu upo biased Sana kwa Magufuli, hivi watanzania wote waliokua wanamkubali ni watu toka Kanda ya ziwa?, Waafrika wote waliomlilia, mfano PLO wa Kenya, pia alifaidika kwa mujibu wako?, Rudi YouTube na angalia clips za wakenya walivyokua wanamkubali, wote hao ni wajinga au walifaidikaje Moja kwa Moja?. mkuu jitathmini katika hilo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wakenya tuliwacha kumkubali Magufuli alipoanza kuchoma vifaranga vyetu na kunadi ng'ombe zetu na kufunga border na kutatiza biashara kati ya nchi hizi mbili.
 
Wakenya tuliwacha kumkubali Magufuli alipoanza kuchoma vifaranga vyetu na kunadi ng'ombe zetu na kufunga border na kutatiza biashara kati ya nchi hizi mbili.
Hili lipo kisheria usichanganye madesa! Hata leo ukiingiza mifugo kiholela fine inakuhusu ukishindwa kulipa inapigwa mnada! Pia bila kupitishwa na watu wa veterinary incineration inahusu.
 
Back
Top Bottom