Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Luxury buses zs Tanzania na za kenya ni mbingu na chooni πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

View attachment 2253987View attachment 2253988
chongchung mbona wewe ni mwehu siku zote?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, eti clasic buses ni luxury? boss hizo si luxury buses πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., mbona ukaacha na hizi? πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ungejumuisha yote., cherry picking what suits your propaganda kisha unajipiga kifuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, mko ovyo sana, hamjiamini kabisaa, lazima mtumie propaganda kujikweza, na kupotoshaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mie ndawaumbua na kuwanyoosha., jikubalini tu na muwe proud of where u are and what u have.,

SuchπŸ‘‡πŸ‘‡ are not a big deal ba mzee to give u orgasms.., tuondolee ushambaπŸ˜‚πŸ˜‚
1654679059125.png

1654679161211.png

1654678697339.png

1654679580714.png

1654677600620.png

1654677991496.png

1654678542172.png

1654678132975.png

1654677611427.png

1654677621129.png

1654677633955.png

RISE OF TECH-SAVVY BUSES​

How technology is changing long-distance bus transport​

Bus owners have had to adjust to the changing tastes of the millennium rider, giving modern conveniences that make the travel experience almost comparable to an aeroplane​

In Summary
β€’ With the changing demands of modernity, bus companies plying long-distance routes have been forced to adapt to catch up with their riders’ technology
β€’ Technologies adopted range from pneumatic doors to CCTV cameras, WiFi access to air conditioners, and in-built extinguishers operated at the touch of a button
Passengers at one of the modernised Yutong Dreamline buses, featuring tablets, WiFi, USB ports and air condition system
Passengers at one of the modernised Yutong Dreamline buses, featuring tablets, WiFi, USB ports and air condition system
Image: ANDREW KASUKU
Moments after checking in to our bus, my seatmate immediately put his phone-charging cable to a USB port at his seat. Mohammed Mustafa wanted to do a WhatsApp video call and his phone was running out of power.
The bus tablets switched on after we had left the stage. He picked his earphone and plugged it in one of the tablets fixed at the back of a chair in front of him.
 
Sisi tuko mbali kwenye transport matters. We don't buy tickets like you do in Kenya we have our own online system kama ile Galileo ya airline ticket system kwa upcountry buses za Tanzania. You buy ticket online you wait for departure time kwenye world class facility full AC with restaurants, bars and shopping areas.
Ungefanya utafiti kwanza kabla ya kukurupuka, sio jambo geni..,
 
Mishahara haijaongezwa kwa miaka zaidi ya 5 huku inflation ikiongezeka kila mwaka pia gharama za maisha zikiendelea kupanda kila mwaka. Wakati JPM anachukua nchi mafuta yalikuwa sh 1300 kwa lita leo ni sh 3300 bado unataka mishahara ibakie hapo hapo tuu. Suala la kuongeza Mishahara si suala la mapenzi ya mtu ni takwa la kusheria pia husaidia kuchochea ukuaji wa uchumi meaning people will be able to afford vitu vinavyozalishwa viwandani hivyo kusaidia kuongeza production ambayo itapelekea kuongezeka kwa ajira zaidi na kiasi cha makusanyi ya kodi kuongezeka pia.
LIONGO likubwa wewe hata aibu huna!!
Sio magu alopunguza kodi kwe mishahara? Je tulete inflation rate ya magufuli af tulinganishe na samia? sema suu.........
 
Hivi nikikuuliza ubaya wa Samia ni nini? Au ni chuki binafsi tuu?
Nyuma ya kifo cha jpm huyo mpuuzi yupo ...samia kamwacha huru jambazi no 1 singasinga ,samia anatumiwa na wauza ngada , sa100 anatumika pamoja na mafisadi wa kiarabu wanao fanya juu chini ili serikali iwe mikononi mwao
 
Hii video nimeisikiliza na imenihuzunisha sana. Huyo Sabaya ni shetani wa aina gani? Na mbona aruhusiwe kunyanyasa wafanyibiashara namna hii?

Utetezi wa kesi dhidi ya hizi dhulma unaoendelea Sabaya anasema ilikua maagizo toka kwa JPM ili wafanyabiashara wa Moshi na Arusha waishi kama mashetani!

Kumbuka hii clip ipo online toka Malaika akiwa hai na Sabaya hakuguswa!

Huyo Panone anaemtaja ni mmiliki wa petrol station kadhaa Tanzania ambazo ni petrol stations plus motels plus mini markets combined!

Naye anakiri kuwa muathirika wa dhulma na akamshauri atoe tu ampe Sabaya!

Mind u hawa wote wafanyabiashara wa Moshi na Arusha! What a coincidence..
 
Mishahara haijaongezwa kwa miaka zaidi ya 5 huku inflation ikiongezeka kila mwaka pia gharama za maisha zikiendelea kupanda kila mwaka. Wakati JPM anachukua nchi mafuta yalikuwa sh 1300 kwa lita leo ni sh 3300 bado unataka mishahara ibakie hapo hapo tuu. Suala la kuongeza Mishahara si suala la mapenzi ya mtu ni takwa la kusheria pia husaidia kuchochea ukuaji wa uchumi meaning people will be able to afford vitu vinavyozalishwa viwandani hivyo kusaidia kuongeza production ambayo itapelekea kuongezeka kwa ajira zaidi na kiasi cha makusanyi ya kodi kuongezeka pia.
Usisahau inflation ilkua flat +πŸ‘‡
20220608_122830.png

Hivi kunamaana gani kuongezwa pesa inayoishia kwe petroll na cooking oil? +transport fee iko juu. Hii inashiria uwezo wa current government kiuongozi (kiakili) bora yupi sasa?
 
LIONGO likubwa wewe hata aibu huna!!
Sio magu alopunguza kodi kwe mishahara? Je tulete inflation rate ya magufuli af tulinganishe na samia? sema suu.........
Hivi unajua inflation inavyofanya kazi kweli wewe? Kama inflation rate ni 4% kwa mwaka it means ndani ya 5 years purchasing power imeporomoka kwa 20% sasa maana yake nini kwa mfanyakazi? Hii inamaana uwezo wa mfantakazi kumudu gharama za maisha umepungua kwa asilimia 20%. Ikiwa hivyo huyu mfanyakazi atafidia vipi hizi gharama za maisha zilizoongezeka kama sio kula rushwa na kulisababishia taifa hasara. Kwani hukuona report ya CAG Assad kuhusu 1.5tn unaccounted for kiufupi hiyo hela imeliwa na Taifa limepata hasara including you
 
LIONGO likubwa wewe hata aibu huna!!
Sio magu alopunguza kodi kwe mishahara? Je tulete inflation rate ya magufuli af tulinganishe na samia? sema suu.........
Unatakiwa ubishe kwa facts uache mihemko isiyokuwa na tija.
 
Hutaki ama? Tembea uone acha kujificha hapo kibera na kuamini kila propaganda unayolishwa kuhusu Tanzania
Ona ata uwezo wa kuelewa hauna, unajibu nini? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Suluhisho sio kutoongeza mishahara kwa miaka kumi, suluhisho ni kuongeza pato la taifa kwa kupanua tax bracket. Nchi za Kiafrika zina informal sector kubwa sana. Unakuta watu wa jua kali wanatengeneza vitanda, dawati za mashule, maelfu ya viti vya mashule, wanatengeneza mamilioni ya masufuria na vijiko na hawatozwi ushuru. Kuna wakulima wengi sana ambao hawatozwi ushuru katika nchi zetu. Unakuta mkulima analima mboga ya kabeji au nyanya anavuna, anaipeleka sokoni, anaiuza yote kisha anapeleka pesa yote kwa benki bila kulipa ushuru. In fact majority ya wakulima hawalipi ushuru hata wakulima wakubwa wanakwepa kulipa ushuru. Halafu kuna wafanyibiashara wakora wanaokwepa kulipa ushuru ilhali wanamiliki viwanda vikubwa vya kutengeneza juice au pombe na kadhalika. Hawa wanastahili kufuatwa kwa nguvu zote ili walipe ushuru. Kila nchi ina wafanyibiashara wajinga wasiotaka kulipa ushuru, hata Marekani wapo na huwa wanafungwa gerezani. Hata sisi tuanze kufunga hawa watu gerezani ili walipe ushuru.
Magu alifanya hiviπŸ‘‡ sio kwamba hakufanya kitu
20220608_122830.png
 
Nyuma ya kifo cha jpm huyo mpuuzi yupo ...samia kamwacha huru jambazi no 1 singasinga ,samia anatumiwa na wauza ngada , sa100 anatumika pamoja na mafisadi wa kiarabu wanao fanya juu chini ili serikali iwe mikononi mwao
Mama mwenyewe alitaka kupigwa darzi na wajanja hapo namuondoa kwenye hilo hausiki.
 
Back
Top Bottom