Huyo Sabaya ni vizuri afungwe kifungo kirefu sana gerezani. Watu kama hao ni wahujumu wa uchumi. Wahujumu wa uchumi wanaoitisha wafanyibiashara hongo huko China hunyongwa. Hii ni economic crime. Hujuma dhidi ya uchumi wa Tanzania. Wafanyibiashara wanaamua kufunga biashara zao kwa sababu ya usumbufu wa mtu mmoja. Mwishowe uchumi wa Tanzania unaumia na kufifia kwa sababu ya huyo Sabaya.
Kama jambazi no 1 east africa kaachiwa na serikali ya kifisadi ya huyu mjambiani mpumbavuu kwanini unataka sabaya afungwe ....yani haachiwe baraba na yesu asurubiwe....sijui kama unamjua huyo jambazi singasinga.
Yaani Uganda itaingia middle-income in the next two years hata kabla ya ujenzi wa EACOP kukamilika. Yaani kilimo pekee kimewapeleka Uganda hadi middle income bila kutegemea mafuta. Kenya pia ilikuwa middle income bila kutegemea madini. Tusipuuze sector ya agriculture kwa sababu hio sector ni muhimu.
Inflow ya oil investment mbona ipo Uganda kwa muda! Hebu fanya uchunguzi refinery n oil exploration n acquisitions in Hoima around Lake Albert! Imeongiza blns of US $!
Kwahiyo wewe unafikiri nchi ni masikini kwa sababu ya nini au sababu ya wamachinga ....umasikini au utajili wa nchi yoyote ile ni matokeo ya wafanyakazi wa serikali
Hivi unajua inflation inavyofanya kazi kweli wewe? Kama inflation rate ni 4% kwa mwaka it means ndani ya 5 years purchasing power imeporomoka kwa 20% sasa maana yake nini kwa mfanyakazi? Hii inamaana uwezo wa mfantakazi kumudu gharama za maisha umepungua kwa asilimia 20%. Ikiwa hivyo huyu mfanyakazi atafidia vipi hizi gharama za maisha zilizoongezeka kama sio kula rushwa na kulisababishia taifa hasara. Kwani hukuona report ya CAG Assad kuhusu 1.5tn unaccounted for kiufupi hiyo hela imeliwa na Taifa limepata hasara including you
Inflow ya oil investment mbona ipo Uganda kwa muda! Hebu fanya uchunguzi refinery n oil exploration n acquisitions in Hoima around Lake Albert! Imeongiza blns of US $!
Imagine hapa ndio mwisho wa SGR na ndio main station. Yani danganyika hakuna mpangilio kila kitu kimechanganyikiwa. Reli haina connection ya port na marshalling yard iko 100km from Dar
chongchung mbona wewe ni mwehu siku zote?😂😂😂, eti clasic buses ni luxury? boss hizo si luxury buses 😂 😂 😂 😂 ., mbona ukaacha na hizi? 👇👇👇 ungejumuisha yote., cherry picking what suits your propaganda kisha unajipiga kifua😂😂😂😂😂, mko ovyo sana, hamjiamini kabisaa, lazima mtumie propaganda kujikweza, na kupotosha😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mie ndawaumbua na kuwanyoosha., jikubalini tu na muwe proud of where u are and what u have.,
How technology is changing long-distance bus transport
Bus owners have had to adjust to the changing tastes of the millennium rider, giving modern conveniences that make the travel experience almost comparable to an aeroplane
In Summary
• With the changing demands of modernity, bus companies plying long-distance routes have been forced to adapt to catch up with their riders’ technology
• Technologies adopted range from pneumatic doors to CCTV cameras, WiFi access to air conditioners, and in-built extinguishers operated at the touch of a button
Passengers at one of the modernised Yutong Dreamline buses, featuring tablets, WiFi, USB ports and air condition system
Image: ANDREW KASUKU
Moments after checking in to our bus, my seatmate immediately put his phone-charging cable to a USB port at his seat. Mohammed Mustafa wanted to do a WhatsApp video call and his phone was running out of power.
The bus tablets switched on after we had left the stage. He picked his earphone and plugged it in one of the tablets fixed at the back of a chair in front of him.
Wananchi wa Biharamulo wagomea jina la Burigi Chato Natioral Park! Samia awaahidi gate lao!
Sikiliza kuanzia dk 24
MY TAKE
Hizi ndo zile siasa za controversy za JPM ninazosema! Yaani siasa chafu!!
Ziwa Burigi lipo Biharamulo mkoa wa Kagera ambapo ni km 82 toka Chato (km 116 toka Chato Airport) ila imelazimishwa kuwa hifadhi Burigi Chato na gate likawekwa Chato km 82 toka ziwa Burigi na kuna mji wa Biharamulo (mkubwa zaidi ya kijiji cha Chato) ulio km 16 toka ziwa Burigi na hamna gate la kuingilia mbuga ya Burigi Chato!
Ikumbukwe mji wa Bharamulo upo chini ya km 20 kutoka Biharamulo GR na Kimisi GR halafu
Hii ni moja ya weakness ya JPM alikuwa analazimisha vitu bila maarifa ndo maana hakufanikiwa hapa hata kuanzisha mkoa wa Chato haitafanikiwa!
Luxury kwa bus ni model ama starehe which is enhanced by comfort and other entertainment accessories? lishamba kweli, jipe shughli na upotelee mbali 😂 😂 😂 😂 😂 😂
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.