Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyegezi vp haijakamilioka maake kuna mahala zimebananishwa kule Buhongwa sio poa
 
Nyuma ya kifo cha jpm huyo mpuuzi yupo ...samia kamwacha huru jambazi no 1 singasinga ,samia anatumiwa na wauza ngada , sa100 anatumika pamoja na mafisadi wa kiarabu wanao fanya juu chini ili serikali iwe mikononi mwao
Wapuuzi sana yani walipindisha sheria kwa muda ili wanyama waliowagawa bure kwa washkaji zao waweze kisafirishwa af walvomaliza wanazuga kukurupuka sa100 ni jizi tuu
 
Unautaalamu gani wa mambo ya kitaalamu kama hayo?,wewe bingwa wa matusi sababu hauna akili inayoreason kama mtu
Matusi yangu yana akili kuliko hekima yako weka hizo reason zako hapa tuzione
 
Utetezi wa kesi dhidi ya hizi dhulma unaoendelea Sabaya anasema ilikua maagizo toka kwa JPM ili wafanyabiashara wa Moshi na Arusha waishi kama mashetani!

Kumbuka hii clip ipo online toka Malaika akiwa hai na Sabaya hakuguswa!

Huyo Panone anaemtaja ni mmiliki wa petrol station kadhaa Tanzania ambazo ni petrol stations plus motels plus mini markets combined!

Naye anakiri kuwa muathirika wa dhulma na akamshauri atoe tu ampe Sabaya!

Mind u hawa wote wafanyabiashara wa Moshi na Arusha! What a coincidence..
Huyo Sabaya ni vizuri afungwe kifungo kirefu sana gerezani. Watu kama hao ni wahujumu wa uchumi. Wahujumu wa uchumi wanaoitisha wafanyibiashara hongo huko China hunyongwa. Hii ni economic crime. Hujuma dhidi ya uchumi wa Tanzania. Wafanyibiashara wanaamua kufunga biashara zao kwa sababu ya usumbufu wa mtu mmoja. Mwishowe uchumi wa Tanzania unaumia na kufifia kwa sababu ya huyo Sabaya.
 
Hivi unajua inflation inavyofanya kazi kweli wewe? Kama inflation rate ni 4% kwa mwaka it means ndani ya 5 years purchasing power imeporomoka kwa 20% sasa maana yake nini kwa mfanyakazi? Hii inamaana uwezo wa mfantakazi kumudu gharama za maisha umepungua kwa asilimia 20%. Ikiwa hivyo huyu mfanyakazi atafidia vipi hizi gharama za maisha zilizoongezeka kama sio kula rushwa na kulisababishia taifa hasara. Kwani hukuona report ya CAG Assad kuhusu 1.5tn unaccounted for kiufupi hiyo hela imeliwa na Taifa limepata hasara including you
Kipindi cha kikwete watu waliongozewa mishahara ila wizi ulikua pale pale na zaidi na mfumuko wa bei ulikua juu kuliko awamu yoyote ile, mkuu kuongeza mshahara sio jambo baya ni zuri ila liwe kwenye uwezo wetu
 
SSH Jana kaupiga mwingi kwa kupokea utambulisho wa Mabalozi wa Nchi 4
yani hilo ajuza linajionaga jiarabu kwelindiyo maana kwenye ile katuni ya royal tour amebembeleza hadi katajwa kuwa "mweupe " woman in white colour" wakati hapo kapaka mikorogo ya kila aina ila wapi ...sura kama anajikamua
 
Ongezeko la mishahara linasaidia kuongeza money supply kwenye economy hivyo Tz kwa miaka mitano iliyopita money supply was below recommended margins. Aliyesoma uchumi atajua maana ya broad and narrow money supply M1 M2 and even M3
Hivi akili yenu inajua hesabu za uwiano bora kuzuia mfumuko wa bei na kuporomoka kwa shilingi kuliko kuongeza mishahara
Sasa ukitazama mama ajaongeza chochote tazama hata mabando yamepanda kwa mara 2 , umeme wa REA hakuna , elimu bure imefutwa ,ufisadi umeongezeka x20 ya alivyo acha jpm,
 
Kuna watu wapuuzi sana humu ndani! Watu wanafikiria patriotism inajengwa na grandiose monuments alone! Miaka mitano bila nyongeza ya mshahara huo si uuaji?
Aisee ukisema wewe au mimi tutaambiwa ni wabinafsi,kumbe wabinafsi ni hao ambao hawataki wengine wapate...
Nimeajiriwa nilikua nanunua sukari 1kg 1800 hadi Sasa sukari 1kg nanuua 2800...
Kipindi icho mafuta ya petrol 1lita ilikua 1900 hivi sahivi 2900 lakini mshahara ulibaki uleule na posho ziliminywa tukawa tunaishi kibishi sana
 
Back
Top Bottom