joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kwahiyo wewe umeamua kuegemea upande ambao unaendana na matakwa yako sio?Halafu joto la jiwe huwa anadanganya Wakenya humu JF kwamba Tanzania hakuna ukabila. Eti ukabila upo Kenya tu. Madudu ya Tanzania yanaonekana sasa japo huwa yamefichwa kwa ustadi mkubwa. joto la jiwe nisiwahi kukusikia tena ukisema kwamba Tanzania hakuna ukabila.

. Nimemuomba aweke ushahidi wenye kuashiria kwamba kulikua na dalili za ukabila lakini ameshindwa, katika Mambo yote aliyolalamikiwa Magufuli, kosa la ukabila halipo kabisa, ushahidi mzuri ni wewe mwenye, ni Leo tu ndio unaanza kutoa shutuma hizo baada ya kuzisikia toka kwa Geza Mimi huwa ni muumini mzuri Sana wa UN and International bodies reports, hakuna hata Moja Kati ya hizo ambayo ilishawahi kumlaumu Magufuli kwa ukabila, nyingi zililalamikia kuhusu uvunjaji wa haki za binadamu, authoritarianism, na Demokrasia, lakini kuhusu ukabila, huo ni uzushi wa watu, hilo halikuepo ni upuuzi mtupu.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
