The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Hilo jamaa ni taahira, limefungia macho haya yote Magufuli aliofanya Tanzania nzima na kufungua macho kwenye fake petty excuseNonsense
Angalia hii video imerikodiwa kutoka Moshi, jamaa anasema ni kipindi cha mwaka mmoja uliopita vijiji vyao vimepata barabara za lami na umeme, ningetemea kwa akili yako finyu hapa pawe lake zone, Magufuli hachafuki ila utanuka wewe.JPM alikuwa controversial kinoma humu wengi wanaomshangilia kwa nguvu ni jamaa wanaotoka kanda ya ziwa yaani beneficiary wake in one way or another! Ukitaka ujue true colours za JPM kuwa mtu wa nje alafu itikadi za kichama uwe upinzani haswa CHADEMA! Si mtu aliyeheshimu hard working and business accumenship!
Jamaa wa hii lodge
Aliifunga na kukimbilia SA!
barabara za Kilimanjaro ni za Kikwete!Angalia hii video imerikodiwa kutoka Moshi, jamaa anasema ni kipindi cha mwaka mmoja uliopita vijiji vyao vimepata barabara za lami na umeme, ningetemea kwa akili yako finyu hapa pawe lake zone, Magufuli hachafuki ila utanuka wewe.
Kila mtu anajua hii ni photoshop. 🤣 🤣 Hakuna siku kampuni ya Kenya ikatengenezewa
achana na hao watumwa wa kila kituHuku Tanzania Marais wote waliopita kuanzia Nyerere hadi Samia Suluhu wote wamesoma Shule za serikali, na Celebrities wote wamesoma Shule za serikali, wakati ninyi mkijinasibu ma kundi dogo linaloishi maisha ya kifahari, sisi tunajinasibu na kundi kubwa lenye kuishi maisha halisi ya kiafrika
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni, itakuchukua uhai kumchafua msafi!barabara za Kilimanjaro ni za Kikwete!
tangu enzi za ukoloni, mkapa na kikwetebarabara za Kilimanjaro ni za Kikwete!
😂😂😂😂😂 😂😂barabara za Kilimanjaro ni za Kikwete!
Naona muarabu rostam tayari amekulambisha asali ili kudumisha juhudi ya kupambana na MAREHEMU ILA NAONA TEAM YENU INAZIDI KUFIFIA KWA SABABU SA100 ana nyota ya mafii abebeki, sisi tunasubiri dakika ya 65 ndiyo tuna anza vita kamili na waarabu wote walio jimilikisha ccm na serikaliHukumu ya mahakama iliyokuwa inaendeshwa na Magufuli sio? Mashamba ya kilimanjaro veggies hayakuharibiwa kwa hukumu ya mahakama bali DC ambaye alipata promotion baada ya uharibifu!
Kuna vodeo sema sikumbuki ni barabara gani mbowe alkua anamshukuru magu kwenye mkutano wa hadharaMnyonge Mnyongeni haki yake mpeni, itakuchukua uhai kumchafua msafi!
Hii ni Buchosa awamu ya Kikwete
View attachment 2253932
Fact.Mm ktk maisha yangu yote hapa duniani nimejitathmini nimegundua siwezi kuyajali maisha yangu binafsi nikaacha watu wangu wakiteketea, niko hivyo na nahisi nitaendelea kuwa hivyo mpk naingia kabulini, yn mm maendeleo yangu binafsi hayana maana yoyote ikiwa lundo la watu wanaonizunguka wanataabika.
Wewe mpumbavu geza ulole ....jua tu kuwa chifu mafii hakuna mtz mwema anaye mkubali huyo anapendwa na mafisadi ,wauza ngada ,vyeti feki , na waarabu mafisadi kina rostam na singasinga ,subiri uone siku vinavyo kwenda muda utaongeaWacha wee ati imepata nguvu kipindi cha JPM labda TAHA ya Chato! BTW cargo plane imeagizwa budget 2021-2022 after JPM is dead! Hivi unajua TAHA walishawahi kukodisha cargo plane kabla 2009?
TAHA plans to establish flower centre in Arusha | ProVerde
The Tanzania Horticultural Association (Taha) will set up a processing and packaging facility at the Kilimanjaro International Airport (KIA). The airport is the main exit point for export of horticultural products, mainly cut flowers, to markets abroad. Ms Jacquiline Mkindi, Taha executive...proverde.nl
Hata hii kafanya mkoloni na Kikwete huko Ukerewetangu enzi za ukoloni, mkapa na kikwete
Angekuwaa Nyerere leo angekupa mkono wa hongera kwa kuwa na mitazamo kama yake, Tz ilipata uhuru mapema lakini Nyerere hakuona manufaa ya uhuru ule ikiwa wezetu wako chini ya ukoloni , akamua kuacha kujenga Tz akapeleka nguvu kazi kwenye kukomboa nchi nyingine.Mm huwa najiuliza mtu unawezaje kusherehekea maslahi binafsi ilihali Lundo la watu linataabika?
masikini ni nani? kati ya Tanzania inayojitosheleza kwa chakula na kuuza ziada nje ikiwamo kenya au kenya kila mwaka ni habari ya dunia kwa watu kufa njaa na kipindupindu?Mumezoea umaskini hadi ime affect the way you reason. 🤣 🤣 🤣
Ni haki ni haki ni haki kuwa pokonya mali zao zote watanzania wasio wazalendo kwa wanatumiwa kuhujumu nchi yetu kwa mikono ya mafisadi wa ndani na nje. Mtu kama tundu lissu ni takataka tuBaba yake mbowe alikuwa anamiliki kiwanja pale samora avenue ilipojengwa posta na simu jengo la extelcoms Nyerere akaomba kile kiwanja akambadilishia na kumpa kingine hapo nyuma yake ndio akajenga bilicanas sasa ile kumyanganya ni dhuluma tuu kesi ya ngedere unampelekea nyani nadhani majibu utajua tuu yata favour nani.
hio mazingira ya kiwanda pekee inakaa sana kenyaland. ata usishangae hapo ni mombasani.. 🤔
Huyo ni rais ajaye tz tunataka ma dictator wazalendoHii video nimeisikiliza na imenihuzunisha sana. Huyo Sabaya ni shetani wa aina gani? Na mbona aruhusiwe kunyanyasa wafanyibiashara namna hii?
Zipo barabara nyingi za lami Magufuli kazijenga KilimanjaroKuna vodeo sema sikumbuki ni barabara gani mbowe alkua anamshukuru magu kwenye mkutano wa hadhara