Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


🤣🤣🤣🤣🙌 Lamlee, Mwaiofhawaii...njoo muone TPDF iliyo chukua nafasi ya 6 kwa majeshi bora duniani,... hii isiwapite jamaa..View attachment 3703853View attachment 3703854
🤣🤣🤣🤣 ze besti
1793738671129.jpeg
 
Katembelee kiwanda utaona.
sioni hata wakitangaza kua wamefanya production ya kiasi gani kwa mwaka kama walivoanza walikua kwenyw media all the time mbona wale faw wa kibaha tunaona japo bado watu wanaagiza faw kutoka china
 
Acha maneno yako wewe. Wanaunda engine? Wanaunda gearbox? Wanaunda axles? Hizo air suspension kiwanda gani kinatengeneza hapo Kenya? Kama hawaundi hivyo vitu basi wanaviunganisha tu kama assembly plant yoyote ile.
wapi nimesema wanaunda engine na gearbox shida yako unanijibu kwa kupanic,hata hebu niambie wale faw ni wapi wanachonga zile pannel za body au wana design zaidi zinakuja hapa vipande wanafanya kuonganisha tu, wale wenzetu wana anza from scratch ku design body inaundwa body ya bus pale pale alaf ndio vinafuata vitu vya ku assemble

sio dhambi kuwapa maua yao hata kam japo inauma kuona kwetu tumeshindwa ku maintain jambo kama hilo
 
Back
Top Bottom