Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Nani anamjua huyu 👇mtu mrefu zaidi Tz
Kwa hicho kiramani I dont see road network of even 5kKenya Roads Board wako na website, kila kitu wameanika maps na how to measure, wewe mwenyewe unapima, nilisema kila mti mtakwea utateleza., sasa ukidhibitisha Kenya has 23,000km tafadhali njoo uhadithie na wenzako kama vile baba levo alishuhudia Nairobi akakuja kuwahadithia kupitia wasafi radio., alishangaa hizo uchafu mnapost huku kuhusu Nairobi kwa ground sio vile
Home
www.krb.go.ke
View attachment 2249265
34. Dodoma > Bonga 276 kilometers
🛣️. 2783 km
Unamaanisha sluggish economyUzuri umekubali kwamba Kenya ina uchumi mzito.

Tuna freedom of speech 👆👆
juzi imewekwa picha ya giraffe restaurant Moshi na naweza kusema inaipiga bao hii ya Nairobi kwa uzuri!Mnyonge mnyongeni ila Girrafe Manor ni Bonge la Idea ..na tourism site ...i would love Tz iwe na sehemu kama hyo
These guys never complete their roads look at these unfinished roads

Barabara hata hizo lane separation ziko naked hazijafanyiwa kazi mpaka leo huu ni ulipuaji wa kaziSasa roads za jua kali tangu ujenzi wake ndiyo za kulingia? Kwnn unasema muonekano wake wa sasa? Nyie ni mabingwa wa jua kali projects, hata Thika pia ni jua kaliView attachment 2249310
Mda sio mrefu tunawapiku kwenye icho kipenhele👇Mnyonge mnyongeni ila Girrafe Manor ni Bonge la Idea ..na tourism site ...i would love Tz iwe na sehemu kama hyo
Huhitaji ruhusa ya mtu kupost barabara hata kama inajengwa ya km 20 we post tu tuone mzee...Ni wajinga. Wanashangilia Mlazy mwenzao kwa jina la chongchung anayepost barabara ambazo bado zipo under construction halafu bado wanataka battle. Chongchung alishakataza Wakenya kupost barabara chini ya 100 km ilhali yeye anapost ya 20 km.
Mbona nimeitafuta online na sijaiona? Au hawana online presence? Mimi naona tu ya Nairobi online.
cc Tz_one
Yah iyo ndo babalao inakuja kumpiku giraffe mannorSawa nimeona inaitwa Serval willdlife.
Tumechoka na makaratasi weka vitu on groundKilaza atapinga, ni fala., mimi nimeleta link ya Kenya Roads Board, bado hawataki, naleta pia yao ya TANROADS., hii hapa
Mtu asikudanganye., whatever tanroads say is true same na Kenya KNBS na KRB.., mchezo nilimaliza
Nyie mlisema Kenyatta kajenga 11k kilometers of road network sasa tunaomba tuzione hapa.Ni wajinga. Wanashangilia Mlazy mwenzao kwa jina la chongchung anayepost barabara ambazo bado zipo under construction halafu bado wanataka battle. Chongchung alishakataza Wakenya kupost barabara chini ya 100 km ilhali yeye anapost ya 20 km.
Hiyo kajenga kibaki
Dah marehemu kesha kufa bado unapiga risasi tuu mkuu.19. Njombe > Moronga 54 kilometers
. 1593 km