Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Uzuri umekubali kwamba Kenya ina uchumi mzito.Kwa Jinsi wanavyoongea watu wa Huu mji nilitegemea Kuendane na maneno yao.
Kwenye Video Properly marked roads ni mtihani , Full of Chaos na hii ni Jumapili je siku za kazi inakuaje. Pia inaonekana Mikokoteni inalipa maana ipo kila kona, Jiji halina Bus la maana hata moja na malori yaliyogeuzwa kubebea abiria yapo kila kona . Wana kamera barabarani ambazo zinasaidia mengi pamoja na kuweka order ila sidhani kama zinatatua mambo hayo. ( Traffic na Police wangekusanya rundo la pato kutokana na kuwaadabisha wanao sababisha kutokua na order mfano maeneo ya pedestrian na kusimamisha magari ovyo kila eneo hasa ya abiria. Moi avenue imesifiwa na mwenye video kwamba ni properly marked road lakini kwa Taifa la uchumj mzito hivyo haina maajabu yoyote.
Pia swala la ukusanyaji taka ni majanga, kuna taka kila eneo.
Ule ugonjwa wa Dar wa Machinga pembezoni mwa Barabara naona tumewaachia wao.
Naona huu mji hauheshimu hata kidogo Pedestrian, wanavuka ovyo hakuna maeneo yao muhimu ya kuvukia na wengine wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248867
View attachment 2248868
View attachment 2248869
View attachment 2248870
View attachment 2248871
View attachment 2248872
View attachment 2248873
Machinga Kambi popote .
View attachment 2248874
View attachment 2248875
Watu wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248876
View attachment 2248877
View attachment 2248878
Typical Third world city type with African broken streets.
View attachment 2248883
View attachment 2248884
View attachment 2248885
View attachment 2248886
View attachment 2248887



, poleni watani sio kwa kupenda kwetu, ni Kenya ilivyo.