23. Kidatu > Ifakara 67 kilometers
🛣️ 1813 km
Usiache kitu.. ongezea hii ya samia
23. Kidatu > Ifakara 67 kilometers
🛣️ 1813 km
Mombasa ni level ya Dar wacha kujitekenya.., wameonesha barabara zote, check the key idiot 🤣 🤣 😂 😂 😂 😂😂😂😂 Kumbe hata kusoma hiyo ramani hujui 😂😂 sikia TZ kuna bodi mbili za barabara ambapo tuko na TANROADS (kwaajili ya barabara kubwa tu) na TARURA (barabara za ndogo ndogo za ndani) .. hizo ramani umepost hapo zinaonyesha barabara kubwa tu zinazounganisha mikoa (Regional roads network). Kwahyo kama ARUSHA iko na hiyo network hiyo Mombasa ni vichekesho 😂😂😂
Kwahiyo huoni barabara hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanakagua ujenzi wacha ujinga. Huu sio uzinduzi. Huu ni mchezo wa kitoto sasa. Unataka Wakenya wapost uzinduzi ilhali wewe unapost ujenzi. Akili kichwani basi.
23. Kidatu > Ifakara 67 kilometers
🛣️ 1813 km
Nashangazwa sana na hawa Jamaa 😂😂😂 barabara wanazopost humu kila siku hazifiki nne na ni hizo hizo kila siku ndio wanapostRuhusa kupost hata za ukaguzi. Ongeza za uzinduzi, ongeza za kutiwa sain (ila onyo, msizirudie). Tunataka kuona 11000km za barabara zenu alizosema Uhunye. Mbona issue nyepes tu ila mnalialia
Hawa wajinga ni waongo kichiz.. mbona jambo jepes tu.. imagine unajinadi una barabara 23,000km afu unashindwa hata kujitetea kwa baadhi ya posts za hizo barabara.. nilitegemea rate ya posts za barabara ya 23,000km itakuwa kubwa kuliko zetu za 12,000kmKwahiyo huoni barabara hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uzinduzi iwe na nyasi, wakati thika road inazinduliwa nyasi haikuwa imemea kama hivi,👇👇 mazingira yalikua yamearibiwa na ujenzi, idiot🤣 😆 😆 😆 😆 😂 😂 ., leo nakunyonga hadi basi..,Unapost picha za uzinduzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
24. Lusitu > Mawengi 50 kilometers
🛣️. 1863 km
Kwa mtandao wabarabara za TARURA ARUSHA imekula lami karibu kila kona, we tumia google earth tu, usijitie ujuaji utachekwa, mana huo utakua ni upumbavu kuzungumzia vitu usivyovijua.. tumia google earth ukishindwaMombasa ni level ya Dar wacha kujitekenya.., wameonesha barabara zote, check the key idiot 🤣 🤣 😂 😂 😂 😂
alafu TANROADS data are not limited to major roads nyambaf, tarura wana manange barabara ndogo ndogo., TANROAD is the main body kama Kenya Roads Board(KRB).., even though kuna KENHA na KURA, body ni KRB.., wacha ufala wewe, mtajua hamjui roundi hii, nyambaff😆😂😂😂😆
Unasema Arusha CBD ama Arusha region? less than km street connections😆 😆 😂 😂 ,Kwa mtandao wabarabara za TARURA ARUSHA imekula lami karibu kila kona, we tumia google earth tu, usijitie ujuaji utachekwa, mana huo utakua ni upumbavu kuzungumzia vitu usivyovijua.. tumia google earth ukishindwa
25. Sanya Juu > Elerai 32 kilometers
🛣️. 1895 km
Hilo jedwal kwa chin ambalo hujapost lote ndo hii au nyingine?Kweli umelemewa, sasa hizi ni upuzi gani unapost? ukimaliza post na data from your roads body total paved network, usiogope., wacha niendelee kukup facts naona umekwepa unatafuta pakutokea sasa..,
The best 007 ., usikimbie..,
View attachment 2249306![]()
Economic Survey 2022 - Kenya National Bureau of Statistics
Real Gross Domestic Product (GDP) is estimated to have grown by 7.5 per cent in 2021 compared to a contraction of 0.3 per cent in 2020. Most economicwww.knbs.or.ke
View attachment 2249307
View attachment 2249308
Note the highlighted bit., as at June 2021.., 👇 👇 👇
View attachment 2249311
Nacheka mpaka basi 😂😂 unakula kichapo mpaka hujui namna ya kutoka .. by the way, tunataka kuona 10k km alizodai uhunye amejengaUnasema Arusha CBD ama Arusha region? less than km street connections😆 😆 😂 😂 ,
tafuta kazi ingine dogo🤣😆😆😆
26. Mpanda > Vikonge 35 kilometers
🛣️. 1940 km
Kwani ni uongo., in 2018 tarmacked road ukilinganisha na total number ya road network ambayo ni 160,000km, not tarmacked will be slightly more than 90%., kama kwa sasa only 23,000km iko tarmacked, out of 160,000km plus., ukifanya hesabu utapata percentage ngapi? more than 86% is not tarmacked., umechunguza na ya Tanzania.., total road network vs tarmacked? yaani mko na over 90% not tarmacked in 2022., yaani unajaribu kujitekenya lakini wapi., ama ulitaka tupinge? still mnabakia kwa mkia wetu., hadi raha 😂 😂 😆
27. Kikusya >Matema Lot l 34 kilometers
🛣️. 1974 km
Tunataka kuona barabara zenye ziko tarmacked.. zipo wapi mbona tusizione 😂😂.?Kwani ni uongo., in 2018 tarmacked road ukilinganisha na total number ya road network ambayo ni 160,000km, not tarmacked will be slightly more than 90%., kama kwa sasa only 23,000km iko tarmacked, out of 160,000km plus., ukifanya hesabu utapata percentage ngapi? more than 86% is not tarmacked., umechunguza na ya Tanzania.., total road network vs tarmacked? yaani mko na over 90% not tarmacked in 2022., yaani unajaribu kujitekenya lakini wapi., ama ulitaka tupinge? still mnabakia kwa mkia wetu., hadi raha 😂 😂 😆
Maelezo mengi wakati kila kitu kipo wazi 😂😂😂Kwani ni uongo., in 2018 tarmacked road ukilinganisha na total number ya road network ambayo ni 160,000km, not tarmacked will be slightly more than 90%., kama kwa sasa only 23,000km iko tarmacked, out of 160,000km plus., ukifanya hesabu utapata percentage ngapi? more than 86% is not tarmacked., umechunguza na ya Tanzania.., total road network vs tarmacked? yaani mko na over 90% not tarmacked in el2022., yaani unajaribu kujitekenya lakini wapi., ama ulitaka tupinge? still mnabakia kwa mkia wetu., hadi raha 😂 😂 😆
Niliweka link mkague yote kuhusu Kenya., sisi sio CCM.., niliweka section inayo onyesha total paved roads.., na kuonyesha inatoka wapi.., kazi kwako.., everything about kenya iko hapo., ukitaka ingia google earth udhibitishe, leo nawanyonga nyote 😆Hilo jedwal kwa chin ambalo hujapost lote ndo hii au nyingine?
what is minor road, special purpose road, unclassified roads?
View attachment 2249425