Hatuwezi kujishusha to feed your idiocy, yaani ni post barabara alafu niandike eti 200km., huo ni upuzi, dhibitisha na body husika kama ya ujenzi wa barabara., kwanza body ya tanzania (Tanroads) walisema mko na around 9000km paved, so nyie ni kelele tu mtapiga hapa., mimi nitaamini Tanroads.., ona vile wameweka mambo wazi wazi..,
Kwa mfano in their website click a region., kisha utaona kila kitu, from paved to others, mfano nime click Arusha
View attachment 2249341
Matokeo from pdf.., paved ni hiyo black., ona vile Arusha one of Tanzania major town imejaa vumbi
View attachment 2249343