Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Hapo sio Buruburu jomba. Unaijua buruburu au unaisikia tu?Hapa ni wapi? 🤔
View attachment 2245807
Hapo sio Buruburu jomba. Unaijua buruburu au unaisikia tu?Hapa ni wapi? 🤔
View attachment 2245807
Ni KRA. Umefurahi sasa?Wewe ulisema kwenye previous post yako kama lpg inakuwa charged 8% VAT hapo mpakani KRA wana haki ya kuingilia hili sakata. Sasa ndio nilikuwa nataka kujua anaye charge 8% vat for Kenya inbound goods ni TRA au KRA? Jibu kama mwanaume acha kutafuta kichaka cha kujificha.
Sawa NDINDA Dar is a slum imeishinda Nairobi. Umefurahi sasa?Kwa Jinsi wanavyoongea watu wa Huu mji nilitegemea Kuendane na maneno yao.
Kwenye Video Properly marked roads ni mtihani , Full of Chaos na hii ni Jumapili je siku za kazi inakuaje. Pia inaonekana Mikokoteni inalipa maana ipo kila kona, Jiji halina Bus la maana hata moja na malori yaliyogeuzwa kubebea abiria yapo kila kona . Wana kamera barabarani ambazo zinasaidia mengi pamoja na kuweka order ila sidhani kama zinatatua mambo hayo. ( Traffic na Police wangekusanya rundo la pato kutokana na kuwaadabisha wanao sababisha kutokua na order mfano maeneo ya pedestrian na kusimamisha magari ovyo kila eneo hasa ya abiria. Moi avenue imesifiwa na mwenye video kwamba ni properly marked road lakini kwa Taifa la uchumj mzito hivyo haina maajabu yoyote.
Pia swala la ukusanyaji taka ni majanga, kuna taka kila eneo.
Ule ugonjwa wa Dar wa Machinga pembezoni mwa Barabara naona tumewaachia wao.
Naona huu mji hauheshimu hata kidogo Pedestrian, wanavuka ovyo hakuna maeneo yao muhimu ya kuvukia na wengine wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248867
View attachment 2248868
View attachment 2248869
View attachment 2248870
View attachment 2248871
View attachment 2248872
View attachment 2248873
Machinga Kambi popote .
View attachment 2248874
View attachment 2248875
Watu wanatembea juu ya Fly over .
View attachment 2248876
View attachment 2248877
View attachment 2248878
Typical Third world city type with African broken streets.
View attachment 2248883
View attachment 2248884
View attachment 2248885
View attachment 2248886
View attachment 2248887
Kwa vile it is the first of its kind., roger that..,Mbona Nairobi expressway ina picha luluki kweli a significant road project ikose picha hata moja ni kichekesho.
I can't feed this idiocy 😆 😆 😆 😆 🤣 🤣 🤣Tukienda hivyo unavyofanya wewe hata Dar Mwanza ni 1000km lete evidence ya inauguration ya hizo barabara zote za 11k km
Leo hamuna fact ya kuleta mmebaki kutukana tu 😂😂😂 kweli mmeshinkwa pabayaI can't feed this idiocy 😆 😆 😆 😆 🤣 🤣 🤣
Kufurahi sio nia yangu what I needed was enlightenment hiyo ndio na treasure kwasababu nachukia ignorance.Ni KRA. Umefurahi sasa?
Challenge accepted, natumai na upande wa pili wataiga, hatimae tukate mzizi wa fitna 👍Mkuu chongchung hongera kwa kazi iliyotukuka ya kuwabana hawa wahuni.. ebu wape mfano..post barabara zote za bongo zilizozinduliwa kuanzia sasa kurudi nyuma hadi 2015.. post na distance.. kila unapopata nyingine, jiqoute afu jumlisha hizo distance..mwingine atakaekuquote asisahau kujumlisha distance
I challenge kenyans to do the same
Uhuru Kenyatta ndio dawa yenu. Yaani tangu Tuesday hatujakuwa na amani humu? Yaani mumewashwa na kauli yake ile mbaya.Challenge accepted, natumai na upande wa pili wataiga, hatimae tukate mzizi wa fitna 👍
Dawa yenyu nyie mafalamanga msioweza kuainisha hata 5,000 km kati ya 11,000 km alizoropoka!Uhuru Kenyatta ndio dawa yenu. Yaani tangu Tuesday hatujakuwa na amani humu? Yaani mumewashwa na kauli yake ile mbaya.
Mkuu budgets zake hizi hapa 😂😂😂Tupe budget ya serikali on roads construction kwa hiyo period uliyosema that most roads were built. Tukipata budget zake tutajiridhisha na kukubali.
Hapo umekamata kende moja tuu wanapiga kelele je ukikamata na ya pili si itakuwa kilio kikubwa![]()











Hahaha. Punguzeni hasira basi? Mnataka kulipuka kwa hasira?Dawa yenyu mafalamanga msioweza kuainisha hata 5,000 km kati ya 11,000 km alizoropoka!
😂😂😂😂 Dah mtandao wa 11k umeyeyuka kimasihara aiseeHapo umekamata kende moja tuu wanapiga kelele je ukikamata na ya pili si itakuwa kilio kikubwa![]()
Kenya Roads Board wako na website, kila kitu wameanika maps na how to measure, wewe mwenyewe unapima, nilisema kila mti mtakwea utateleza., sasa ukidhibitisha Kenya has 23,000km tafadhali njoo uhadithie na wenzako kama vile baba levo alishuhudia Nairobi akakuja kuwahadithia kupitia wasafi radio., alishangaa hizo uchafu mnapost huku kuhusu Nairobi kwa ground sio vile😜😂😂😂😂😂Tumeleta data za WB kuhusu urefu wa barabara na pia data za Kenya road board ikionesha mtandao wa barabara ambazo ni paved Kenya ni 12k km bado mmpeginga na kushikilia alizo sema Uhuru kwa mdomo. Nani mbishi sasa kati yenu na sie mnabishia hata facts.
Hapa hutopata mtu 😂😂😂😂😂Lete budget ya road sector kwahiyo last 4 years tulinganishe na ujenzi wa hizo kilometers.