Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

uongo utaacha pia na ww... hii climate kama ya kericho ama limuru mli toa wapi.!? hivi hakuna mahali tanzania inaweza kua na cool and temperate climate kama hii, kile najua nikwamba 95% tz has a tropical climate thts hot and humid all year round

nashuku sana kama hapa ni bongo View attachment 2244550
Endelea kushuku 😁😁😁😁
 
Halafu hao samaki mnatoa wapi Naivasha?

Mchina kashapata soko 😁😁😁😁😁
Screenshot_20220531-062924_Chrome.jpg
 
Wewe wacha ujinga. Sentensi "Tuma na ya kutolea au tuma na ya kutoa." Ilianza Kenya. Kumbuka Mpesa ilivumbuliwa Kenya na sio Tanzania. Mpesa ilivumbuliwa Kenya na Safaricom April 2007. Technolojia hii ilizinduliwa Tanzania mwaka mmoja baadaye mwanzoni mwa 2008. Kwa hivyo sentensi hio ilitumika Kenya sana kabla hata teknolojia hio haijafika huko kwenu.
View attachment 2245085



View attachment 2245082
Una kichaa wewe, hilo neno limeanza kama memes Tanzania

Leta uthibitisho lilitoka Kenya kisha mimi nitaleta kutoka Tanzania
 
Back
Top Bottom