The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Naona electric poles za miti zikitapakaa Nairobi nzima 




















Tafuta report ya Kenya bureau of statistics ya ilio chapishwa 2022 ujisomee road network so far.., over 20,000.., Tanzania bado., ila hapa wanasema percentage ya growth rate in Tz na Lesotho is leading in Africa, sio eti mko na more km than any other country.., kuna kilaza naona amekimbia ku quote na hana uelewa..,Kuna hii habari hapa...Tanzania na Lesotho tunafanya vizuri kwenye road connectivity kwa 15% na Lesotho 24%...
Hilo jambo la kuunganisha mikoa na wilaya ambalo hua tunalizungumzia humu na jamaa zetu wanaona kama tunacheza ila sasa manufaa yake yameanza kuzaa matunda
Sikuacha na report ya kenya...labda mtuambie izo 10k kms ambazo Uhuru aliplan kujenga mmefikia wapi na kwann msiongoze kwa connectivity kama Tanzania na Lesotho???View attachment 2244367View attachment 2244368View attachment 2244369









Waambie kabisa hapo ni Dar na sio Dodoma mana wameanza kuiogopa Dodoma cku hzAmazing neighborhood
View attachment 2244468View attachment 2244469View attachment 2244470View attachment 2244471View attachment 2244472View attachment 2244473View attachment 2244474View attachment 2244475View attachment 2244476View attachment 2244477View attachment 2244478View attachment 2244479View attachment 2244480View attachment 2244482View attachment 2244483View attachment 2244484View attachment 2244485








Hawawezi kuthubutuWaambie kabisa hapo ni Dar na sio Dodoma mana wameanza kuiogopa Dodoma cku hz![]()
wakenya hawatafurahia 😂😂
Fool.Uko na uhayawani wa kutoeleweka nenda kaambie mamalaya wenzio klabu namanga...wanatuletea utopolo mtupu![]()
Hizo picha zajuu hao wasomali toka lini wakawa watz we fool?..
Mnaoneshwa ukweli mnakataa sijui hamuelewi au ...
Angalia tarehe humo ni ya juzi na ni huu mwaka..
View attachment 2244357View attachment 2244358View attachment 2244360
Ni vyema kukua na ndoto.., just type "East Africa's regional economic hub" utapata jibu..,
Sasa raisi wa nchi anasema wamejenga km 14000 tu, wale vizuuu wakutuambia wamejenga 20000 wapoooKuna hii habari hapa...Tanzania na Lesotho tunafanya vizuri kwenye road connectivity kwa 15% na Lesotho 24%...
Hilo jambo la kuunganisha mikoa na wilaya ambalo hua tunalizungumzia humu na jamaa zetu wanaona kama tunacheza ila sasa manufaa yake yameanza kuzaa matunda
Sikuacha na report ya kenya...labda mtuambie izo 10k kms ambazo Uhuru aliplan kujenga mmefikia wapi na kwann msiongoze kwa connectivity kama Tanzania na Lesotho???View attachment 2244367View attachment 2244368View attachment 2244369







uongo utaacha pia na ww... hii climate kama ya kericho ama limuru mli toa wapi.!? hivi hakuna mahali tanzania inaweza kua na cool and temperate climate kama hii, kile najua nikwamba 95% tz has a tropical climate thts hot and humid all year round
Usiniletee makasiriko!Ni vyema kukua na ndoto.., just type "East Africa's regional economic hub" utapata jibu..,
Ukishaona mtu anatumia matusi ku-argue na wewe jua kuwa uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo, hutakiwi kuendelea naye maana na wewe ukijibu kwa matusi utaonekana umepungukiwa hekima.Kwa heshma na taadhima naomba nku ignore
How can u survive duniani kwa akili hiyo?